Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 671
- 1,644
- Thread starter
-
- #121
Hapa gari imefika mwisho! Siwezi nikawa na sleepless night kwa sababu ya mtoto wa mtu. Uzuri ni kwamba hatuna mtoto.Mkuu kila mtu mwenye ndoa,kuna namna anavumilia maudhi ndani ya nyumba, hata hivyo maisha ya kwako binafsi,wewe ndiyo unajuwa utulivu wa akili na amani ndani yako inakuwaje,wengine wote tutabashiri kidogo tu,Hizo ni dalili za mapema zinazoashiria mbele hakuendeki,usisubiri upoteze muda wako boss,tunaishi mara moja tu.
Hahaha! Kanisusia na chumba chenyewe mkuu, ameenda zake kulala chumba cha wageni.Naona uko Online, vipi unakula Mzigo au umenyimwa maelekezo usingizi umekata?
Jaribu kuwa unamuamsha usiku anafanya meditation. Kuna uwezako mkubwa akili yake haipo sawa imejaza takataka ambazo zinampelekea anakuwa na mood swingHuyu wangu itakuwa anasumbuliwa na afya ya akili na mood swing! Nimejaribu kuongea nae ndo kwanza kakimbia na chumba chenyewe.
Pole sana mkuu, nadhani shida imeanzia hapa. Je mmeshawekana wazi kuhusu mahusiano yenu?, Je unapowasiliana na hizo namba ngeni una behave vipi?. Huenda ananuna kwa sababu anapopokea hizo simu unamkaripia/unamgombeza, kama ndivyo kaeni muelekezane vizuri kwa upendo, mtaelewana tu na maisha yatasonga mbele. Miongoni mwa taasisi zenye migogoro mikubwa katika dunia ya leo ni taasisi ya ndoa, ndoa nyingi zina migogoro, huenda humu ndani wanaokupa ushauri ya kuachana na huyo mkeo pia wana migogoro kwenye ndoa zao. So tumia hekima kufanya maamuzi badala ya mihemko.Natamani ningewasikiliza kataa ndoa! Uhuru sina , namba ngeni ikipigwa yeye ni wa kwanza kupokea.
Umeshachelewa.Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!
Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .
Nafikiria kumfukuza arudi kwao.
Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.
Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
Ndio shida ya kuingia kwenye ndoa ukiwa umezoea kubet unadhan Kila mahali Kuna double chance na cash out ...hyo Ngoma inahitaji utulivu WA akili na inaonekana kbisaa ulikuwa haupo tayar kuoa ulifata mkumbo wewe au humsikilizi mwanamke wako tambo nyingNimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!
Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .
Nafikiria kumfukuza arudi kwao.
Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.
Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
Sasa mbona ize jombaa ww kula buyu mok aingie kwenye period nyingine .Kidubashwa kimevishwa na nylon.
Lazima anune, unataka akuchekee wakati ana nyege? Pumbavu.Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!
Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .
Nafikiria kumfukuza arudi kwao.
Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.
Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
Unaipiga vizuri? Unakuta aliziea kupigwa na watano na kuendelea sasa wewe mmoja inabidi ujikaze ipige imwage maji yakutosha uone kama hatakuchekea.Hii ni point . Kesho anarudi kwao
kumfukuza ni kuonesha udhaifu wako kuwa huna njia sahihi za kutatua shida zako ktk ndoa. Hata mkweo /wakwe zako watakudharau wakisikia umemrudisha mtoto wao kwasababu amekununia.Sitaki kuonekana Mzembe. Kesho anarudi kwao
Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!
Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .
Nafikiria kumfukuza arudi kwao.
Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.
Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
Ulidate naye kwa muda gani kabla ya kumuoa?Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!
Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .
Nafikiria kumfukuza arudi kwao.
Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.
Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
Week mbili za ndoa kakimbia chumba ikifika miaka miwili si atakimbia nchi kabisa.Huyu wangu itakuwa anasumbuliwa na afya ya akili na mood swing! Nimejaribu kuongea nae ndo kwanza kakimbia na chumba chenyewe.
Miaka miwili na mieziUlidate naye kwa muda gani kabla ya kumuoa?