Kijana asiye na makuu
Member
- Apr 26, 2021
- 39
- 74
Kijana anataka kukakilisha wokovu wakeWe to mber, ukichoka anza kula mitura. Unataka uache ili ugundue nini? Peleka moto mpaka ufie kwenye ki nena.
Mimi nakunywa daily Kila jioni lazima ninywe konyagiiii ndogo moja.."Kuokoka" sio sababu ya kutosha kuushinda uraibu. Kwani ukiokoka unatakiwa uwe mkamilifu? Si unatubu tu.
Ongeza sababu; labda hutaki maradhi, labda unabana matumizi, labda unataka kuwa timamu kwa ajili ya shughuli zako nk.
Sijakushauri ila nimeona niseme haya tu.
Dah Asante ,kubwa sana hii kaka 👐1. Unapaswa muda mwingi uutenge ktk kutafakari neno la Mungu na maombi. Penda sana kuhudhuria ibada na wewe upate muda wa kufanya ibada. Ukiwa mtu wa ibada, kuliishi neno lazima uwe moto. Ule moto ndani utakufanya usitamani mambo ya kipumbavu.
2. Oa, biblia inasema ombeni nanyi mtapewa kisha mbele inasema tafuteni nanyi mtaona/mtapata. So maombi pekee haitoshi mkuu. Unapaswa uingie hatua nyinyine ya pili ya kuchukua hatua.
3. Ikishindikana kuoa, fanya sana maombi ya utakaso wa nafsi na mwili na kujitengeneza ktk nguvu za uraibu/vifungo kama hivyo
Huwezi kuacha hapo unaweza ukaacha kimoja tu ila kingine huwezi kuacha utachagua mwenyewe unaacha kipi unaendelea na kipi acha pombe endelea kununua malaya maana hata ukioa utaendelea kuwanunua mkeo lazima atazingua akikunyima mbunye unawahi site bila shakaNimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu kununua Malaya na pombe.
uwa hunatumiha site ipi kununuha maraya ?Huwezi kuacha hapo unaweza ukaacha kimoja tu ila kingine huwezi kuacha utachagua mwenyewe unaacha kipi unaendelea na kipi acha pombe endelea kununua malaya maana hata ukioa utaendelea kuwanunua mkeo lazima atazingua akikunyima mbunye unawahi site bila shaka