Nimeokoka ila nashindwa kuacha kununua Malaya na kunywa pombe

Unajua maana ya kuokoka au wasema tu....ajabu aliyekwambia kakuokoa (mchungaji) nae anakunywa pombe
 
Endelea tu huku umeokoka..
Mbona wenzio kina mwamposa wanafanya na maisha yanaendelea..!!
 
Mimi sijaokoka, ila sinunui malaya wala kunywa pombe.
 
Unanunua wale malaya wa mafungu au wa mtandaoni?
 
HATA MIMI NILISHASHINDIKANA,
LAKINI NASHUKURU MUNGU HUU MWAKA WA NNE SIJARURUDI KWENYE ADDICTION YA POMBE NA BANGI.

NINACHOKUHAKIKISHIA HIZO NI NGUVU ZA GIZA.

MIMI NILISAIDIWA NA PASTOR DICKSON KABIGUMILA,,MTAFUTE WHATSAPP
0655466675

Lakini pia jifunze masomo yake YouTube.

Huyo Ndo kiboko wa Addiction yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…