Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

😄😄unawezakuta umetunga hii kitu alaf unatuumiza kichwa na ushauri

Kama umemhama chumba, amna tendo la ndoa huyo sii mume tena. Piga Chini
 
mkataa pema, pabaya pana muita.
subira yavuta kheri.

kupendana katika shida na raha, afya na magonjwa ndio huko sasa my lady. umeyavulia nguo, ni vyema ukayaoga tu my lady, vinginevyo unaweza kujuta zaidi kwingineko 🐒
 
Dah kwahy umekuja kunisema hadi huku 😭

Anyway, kwahy umesema I'D yako ya siku zote ni Lamomy eee
Wee Mbaga huwa unaniota eti?
Nikuseme mi nna mahusiano na wewe??
Na hiyo new id unayosema yangu una uhakika?

Mimi mke wa mtu bhana tuheshimiane kila mara nakwambia kwann husikii?!!
Yani wewe sijui ukoje nikuandikie uzi niseme live sikutaki ndo utasikia?? 😹😹😹
 
The good man is hard to find and hard man is good to find and remember the glass is greener when you water it. Thanks u
 
Ni bahati mbaya hii stori haina ukweli ila kuna watu wa namna hii wanapitia haya kweli.

Hii ndio kusema binadamu wote tuna udhaifu wa ubinfsi lakini binadamu wa kike ubinafsi wake ume advance zaidi .
Mwanaume anaweza kukaa na mwanamke asie na kazi waka kipato chochote maisha yake yote bila shida yoyote na uaminifu mkubwa ila kwa mwanamke ni kinyume chake kabisa

Hii inazidi kutia nguvu hoja ya kukataa ndoa au mahusiano, maana kwa mwanaume mahusiano baina ya mwanamke kwake si kitu kinacho mpa manufaa zadi sana kinakuwa sababu ya kumkosesha furaha na amani na kwa ujumla wake mwanaume akiisha ingia kwenye mahusiano ni sawa na kuingia kwa ile inayo itwa jehanamu.
 
Njoo pm uniseme ndo ntasikia 😎
 
Aliyekudanganya ukiolewa mzigo wote wa kifamilia ni wa mwanamme ni nani? Unataka kumwacha kwa kuwa hana kazi au hapendi tu kufanya kazi kama vijana wa Dar?
 
Before talaka nimechukua uamuzi ufuatao,ni mwaka sasa nimemhama chumba,nimeacha mfulia wala kujihusisha na chochote kimhusucho nimemwondoa house girl simwachii chakula cha asubuh wala mchana,anavizia cha usiku na weekends ndo anakula.😒
 
Akili mlizoumbwa nazo wanawake ni shida sana.Wewe ungekuwa umeolewa na hauna kazi wala mumeo asingelalamika.Naishia hapo.
 
Wewe ndo umeoa, sasa mbona unataka kukimbia majukumu?
Sawa nenda kajiuze maana mwanaume ukiwa huna hela mwanamke anakuona tàkataka tuu.
 
Mi nadhani utakosea au unakosea sana kumfanyia ulomfanyia kuna haja ya kumpambania akarudi kwenye normal maana inavoonekana hayuko sawa kuna mambo kafanyiwa hasa ya kishirikina saidiana na ndg zake kumkwamua.
 
Una matatizo makubwa wewe,wakati ana kazi ulikuwa unachekelea Leo hii mwenzio Yuko na changamoto unatuuliza umeona au kuolewa,jibu unalo wewe.


Kweli mwanamke sio nduguyo hata kidogo
 
Huyo atakua karogwa sio bure anahitaji msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…