Nimeolewa ila huyu mkaka mbaya sana

Nimeolewa ila huyu mkaka mbaya sana

we komaa na ndoa yako..kwa maelezo yako inaonekana mumeo anakupenda ..kinachotaka kukudangisha ni nini hasa? tulia upakuliwe na aliyekupika wewe
 
Moderator muwe mnaangalia na uzi za kuwa huk,mtasababisha tusiwe tunafungua uzi huk
 
we komaa na ndoa yako..kwa maelezo yako inaonekana mumeo anakupenda ..kinachotaka kukudangisha ni nini hasa???????????????tulia upakuliwe na aliyekupika wewe
Ndio eti umejuaje??
Ananipendraa sana nami nampenda sana
 
We mpe tu, kwani sh'ng gapi bimdada..!

Ntakuwa nasubiri mrejesho...wa ama umeachwa na mumeo, au mchepuko au wote wawili,

Na uzuri kadunia ketu hakanaga huruma na kiumbe wa kike, tutakuwa hapa JF tukikenua..!
 
Hii Tabia ya midume kujifanya wanawake itabidi itungwe sheria kali dhidi yao...!
 
Kwa akili yako ndogo ya kuelezea mada ingekuwa mie ndio mme sijui mchepuko ningekupiga chini siwezi kudate mtu kichwani ni pumba kabisa
 
Nadhani mpaka uwe umelewa ndiyo utaelewa hui ujumbe.sijui aliyeandika ana miaka mingapi.madhani ni std seven leaver
 
Nimefanyaje??
Hivi ni kweli mwanamke aliyeolewa na anaiheshimu ndoa yake, atakapo tongozwa na mwanaume wa nje anaomba ushauri afanyaje?

Na vipi kama angekutaka mwanaume ambaye hujavutiwa naye, ungekuja kuomba ushauri ufanyaje?
 
Back
Top Bottom