Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa

Upuuzi kama huu ndio unawapa shida single mothers kuolewa!
 
Wanawake njoeni hapa mumsome huyu mwanamke mwezenu alafu mumshauri chochote kitu..
 

Hudhuria Vikao,,,
 
Nenda ukaliwe mzima
Nenda alafu ndoa Yako ivunjike huone kama nawewe utapata wa kukuona na mtoto yote iyo.kichwa kikubwa huna akili Kwa ujinga wa wanawake wataenda ukiachika uje utoe mrejesho sawa
 
Wanawake hawana tatizo...tatizo ni huyo boya mwanaume ambaye anaenda kuoa single maza.
Kuanzia sasa inabidi hawa wanaume wote wanao oa single maza nao tuwafukue mitaro na kuwaua maana wanakwenda kinyume na makubaliano ya kikao cha wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…