Nimeombwa hela ya kusukia

Hasa nyie mnataka wanawake wanini na kugharamia huwezi,yani 30 tu una mblck je ungeombwa vikubwa zaidi ya hiyo?mjini hamna cha bure,huu mchezo hauwitaji hasira
hahaha kwani ameuziwa nini mpk amchaji 30,000?
 
Mkuu sijakuelewa..
 
hahhaaaaaahhhaaaa!!duuhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…