Nimeombwa hela ya kusukia

Nimeombwa hela ya kusukia

Sasa ndugu yangu mzinga wa buku 30 tu unakuja kuanzisha uzi? Siku ukipewa kisoda utavumilia kweli?
Stara na uvumilivu ni sifa moja kubwa ya kiume, kinyume na hapo ni dalili za ushoga...
 
Kisoda?
 
Huyu dada nimekutana nae juzi kwenye gari kuja Iringa, nikamtongoza akajishaua shaua mwisho akaniambia nimpe namba ya simu atanijibu tukishaachana stand, nikampa.

Jana akanipigia na kudai amekubali ombi langu ila alishindwa kunijibu uso kwa uso kwa madai ana aibu sana. Sasa wakuu jana hiyo hiyo usiku wakati namtafutia usingizi na vidakika vyangu vya ofa mara akaniomba elfu 30 ya kusukia. Nikaeskutiiiiiiiii, yaani leo leo tu?? Nikaona haina shida, nikamwambia nakutumia kesho, yaani leo.

Sasa tangu saa 3 asubuhi anapiga simu mfululizo kuulizia! Kwani deni? Calls zishafika 67 hapa, nimemblock namba sasa anatumia namba tofauti tofauti eti "bebi mbona kimya sasa?!", mimi huyo????

Sjamuelewa kwakweli
Umeyataka, mtatongoza mpk mashetani, Shenzi type, type ya Shenzi!
 
Shida ni nini........?......
Ni elfu 30 huna.......au unasikia uchungu kutoa...........?......
 
Wewe!!!najua kutongoza vizuuri tena ile style ya kizamani.....naanza kwa kukuangalia halafu nacheka kidogo,halafu naanza "bibie hujiskii njaa?.......
Halafu akisema anaskia njaa unakuja mbio kulalamika? Unatania.
 
Huyu dada nimekutana nae juzi kwenye gari kuja Iringa, nikamtongoza akajishaua shaua mwisho akaniambia nimpe namba ya simu atanijibu tukishaachana stand, nikampa.

Jana akanipigia na kudai amekubali ombi langu ila alishindwa kunijibu uso kwa uso kwa madai ana aibu sana. Sasa wakuu jana hiyo hiyo usiku wakati namtafutia usingizi na vidakika vyangu vya ofa mara akaniomba elfu 30 ya kusukia. Nikaeskutiiiiiiiii, yaani leo leo tu?? Nikaona haina shida, nikamwambia nakutumia kesho, yaani leo.

Sasa tangu saa 3 asubuhi anapiga simu mfululizo kuulizia! Kwani deni? Calls zishafika 67 hapa, nimemblock namba sasa anatumia namba tofauti tofauti eti "bebi mbona kimya sasa?!", mimi huyo????

Sjamuelewa kwakweli
Mkuu mwambie aje magheton aichukue
 
Sasa akikuomba umchangie Damu itakuwaje hapo...! kama tirty imekushinda... Ila Usawa wa Magufuli unajifikiria mara mbili mbili
 
Back
Top Bottom