Nimeombwa hela ya kusukia

Nimeombwa hela ya kusukia

Hasa nyie mnataka wanawake wanini na kugharamia huwezi,yani 30 tu una mblck je ungeombwa vikubwa zaidi ya hiyo?mjini hamna cha bure,huu mchezo hauwitaji hasira
Kwa hiyo wewe ukiombwa unatoa tu mkuu, hakuna hata kuhoji!! , ni kutoa tu, basi wewe ni hatari
 
Ana aibu ya kukubalia tu, kukuomba hela hana aibu?

Halafu hawahawa ndio wanakuja kutaka usawa kati ya wanawake na wanaume? Au tofauti hao?
Ndio hao hao mkuu hawana tofauti.
 
Mwambie utamtumia kidogo kidogo. Tuma 5,000 kwanza
 
Ila watu tumeumbwa tofauti sana.

Mimi kumwomba mtu hela siwezi kabisa.

Hata wazazi kabla sijaanza kutengeneza pesa zangu mwenyewe nilikuwa siwaombi hadi siku moja mama akaniuliza 'wewe mbona huombagi hela?'

Lakini kuna wengine hawaoni ugumu wowote ule.

Malimwengu ya walimwengu hayo.
 
Back
Top Bottom