Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
- Thread starter
- #161
Kwa nilivyomsoma sidhani kama ataelewa somo mkuumkuu mwambie aibu aliyonayo kwenye kukubali kutongozwa aitumie hiyo hiyo aibu kwenye kuomba omba fedha, kuanzia sasa asione aibu kuitikia ombi LA kutongozwa na awekeze nguvu kwenye kuijenga aibu ya kuomba omba ela, maana ilivyongu ni bora awekeze nguvu hizo za kuomba kwenye kutafuta