Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
- Thread starter
-
- #81
Dah bila kugegeda mkuu?Mpe mrembo hiyo 30 akasuke bana... Eboo!
Ushauri tu mkuu.....Kwa hyo unaomba mchango au nin mana cjaelewa kilichokuleta
Hata nauli ninayo basi[emoji17]Daaah pole mwaya, basi uje uchukue cm[emoji87]
Kisoda?Sasa ndugu yangu mzinga wa buku 30 tu unakuja kuanzisha uzi? Siku ukipewa kisoda utavumilia kweli?
Stara na uvumilivu ni sifa moja kubwa ya kiume, kinyume na hapo ni dalili za ushoga...
Umeyataka, mtatongoza mpk mashetani, Shenzi type, type ya Shenzi!Huyu dada nimekutana nae juzi kwenye gari kuja Iringa, nikamtongoza akajishaua shaua mwisho akaniambia nimpe namba ya simu atanijibu tukishaachana stand, nikampa.
Jana akanipigia na kudai amekubali ombi langu ila alishindwa kunijibu uso kwa uso kwa madai ana aibu sana. Sasa wakuu jana hiyo hiyo usiku wakati namtafutia usingizi na vidakika vyangu vya ofa mara akaniomba elfu 30 ya kusukia. Nikaeskutiiiiiiiii, yaani leo leo tu?? Nikaona haina shida, nikamwambia nakutumia kesho, yaani leo.
Sasa tangu saa 3 asubuhi anapiga simu mfululizo kuulizia! Kwani deni? Calls zishafika 67 hapa, nimemblock namba sasa anatumia namba tofauti tofauti eti "bebi mbona kimya sasa?!", mimi huyo????
Sjamuelewa kwakweli
Mh.....huko unakoelekeaaa.....Hata nauli ninayo basi[emoji17]
Orodhesha mapungufu yote nione namna ya kufanya honeyHata nauli ninayo basi[emoji17]
Ndio. Kisoda...Kisoda?
Ni speed kama ww uliyoitumia ya kumtongozea, hukufanya ajizi , fasta ukajitosa mtoni.Tatizo hii speed alokuja nayo inanitisha mkuu.....nikupe namba yake?
Kusuka kumepanda bei tena kamuhurumiaBaba unapotongoza ukubali kuhudumia upo, hakuna vya bure siku hizi
Halafu akisema anaskia njaa unakuja mbio kulalamika? Unatania.Wewe!!!najua kutongoza vizuuri tena ile style ya kizamani.....naanza kwa kukuangalia halafu nacheka kidogo,halafu naanza "bibie hujiskii njaa?.......
Atakuwa hanaShida ni nini........?......
Ni elfu 30 huna.......au unasikia uchungu kutoa...........?......
Kile kifuniko cha chupa ya kinywaji?Ndio. Kisoda...
Atakuwa hana
Hapana nilienda ile kizamani tartiiiiiib...Ni speed kama ww uliyoitumia ya kumtongozea, hukufanya ajizi , fasta ukajitosa mtoni.
Mkuu mwambie aje magheton aichukueHuyu dada nimekutana nae juzi kwenye gari kuja Iringa, nikamtongoza akajishaua shaua mwisho akaniambia nimpe namba ya simu atanijibu tukishaachana stand, nikampa.
Jana akanipigia na kudai amekubali ombi langu ila alishindwa kunijibu uso kwa uso kwa madai ana aibu sana. Sasa wakuu jana hiyo hiyo usiku wakati namtafutia usingizi na vidakika vyangu vya ofa mara akaniomba elfu 30 ya kusukia. Nikaeskutiiiiiiiii, yaani leo leo tu?? Nikaona haina shida, nikamwambia nakutumia kesho, yaani leo.
Sasa tangu saa 3 asubuhi anapiga simu mfululizo kuulizia! Kwani deni? Calls zishafika 67 hapa, nimemblock namba sasa anatumia namba tofauti tofauti eti "bebi mbona kimya sasa?!", mimi huyo????
Sjamuelewa kwakweli
Kanihurumia?acha utani,kwani mnasukaga vitu gani?kuna mama hapa jirani kanambia anasuka kuanzia buku!Kusuka kumepanda bei tena kamuhurumia