Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
- Thread starter
- #41
Nilimwambia nataka nimuoeKosa lenu mnawaambia wadada mnawapenda ndio maana mnapigwa mizinga
Wewe mwanamke ukimtaka mwambie unachotaka akupe umtoe muachane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimwambia nataka nimuoeKosa lenu mnawaambia wadada mnawapenda ndio maana mnapigwa mizinga
Wewe mwanamke ukimtaka mwambie unachotaka akupe umtoe muachane
Mamndenyi anadai tusio na pesa tukae mbali!si ukatili huu?Mkuu siku hizi nikikutana na mdada salamu inatosha tu...hata jina siulizi
Nishauri mkuuThread Zingine inabidi uchekee tuuh!
Daaah pole mwaya, basi uje uchukue cm[emoji87]Mwenzio sina simu [emoji12] sijui itakuwaje
Hii kali walahindo zao ..........mwambie una salon aje umnyoe bure
Hivi ndio maana ya mwendokasi mkuu?SASA NA WEWE SI ULITAKA UKUBALIWE HARAKA NA YEYE KAPIGA MZINGA WA HARAKA
Umeua mkuu!#mamndenyi
inaonekana na wewe ndo tabia zako hizi.
:x
Mkuu ulitaka mkopo nin?Hivi ndio maana ya mwendokasi mkuu?
Kumbe??daahMwambie aje achukue, halafu hiki kiwango sijui kiliwekwa kisheria yaani wote ni buku 30.
Hapana mkuu,yaani jana na leo tu tayari kanataka buku 30!!!?mwisho katataka gari sasa.........ndomana wanaachwaga kumbeMkuu ulitaka mkopo nin?
Usife moyo kuna dada zetu wengine pesa wanazo..maskini wa pesa ndo husubiria kuhongwaMamndenyi anadai tusio na pesa tukae mbali!si ukatili huu?
Mkuu inaonekana una uzoefu nao sana Hawa akina hawa.Mwambie aje achukue, halafu hiki kiwango sijui kiliwekwa kisheria yaani wote ni buku 30.
Aisee nitawapataje au nitawatambuaje mkuu?Usife moyo kuna dada zetu wengine pesa wanazo..maskini wa pesa ndo husubiria kuhongwa
Afu anakuja kulia lia hapa kama ataki kumpa si amjibu hukoooUnatongoza wa nini wakati unajuwa mfuko wako ni wa wasiwasi;
Itabidi nimuombe ushauri zaidi hapaMkuu inaonekana una uzoefu nao sana Hawa akina hawa.