These idiots wanajaribu kufuta Jewish history in the Levant region. Please don't argue with them
Ni kamkakati kao kakishenzi na mataifa ya kishenzi kutaka kufanya Israel kuonekana kama haijawah kuwepo.

Kuipinga Israel, ni Kumpinga Mungu.


TUNDU A LISSU, KWA UJINGA WAKE HUO , ASAHAU KATAKATA KUA RAIS WA JMT, ASAHAU KATAKATA, HATA KAMA CCM ITAKUJA KUONDOKA MADARAKANI, HATOKAA KAMWE KUA RAIS, KWA SABABU HIII TU YA KULIKUFURU TAIFA LA ISRAEL.


URUSI ni URUSI, ila hawaikufuru Israel, UCHINA pamoja na uwekezaji wake Kwa Waarabu, ila hawaikufuru Israel.


Wewe ni nani ??.
 
Nchi za kiarabu nyingi sio salama kuishi au kwenda kimasomo, na sisi watu weusi hutujifunzi yanayiwapata wenzetu.kwa mfano Kenya watu wengi hasa wafanyakazi walitoa malalamiko ya kuteswa na kunyimwa chakula lakini Bado watu weusi hatujifunzi tu mwarabu sio ndugu yako yeye kuchinja ,kumwaga damu ni kawaida kwake.
R.I.P Joshua
 
Unaongea ujinga mtupu. Israeli haikuwepo kabla 1948 . Palestina ina haki ya kupigania uhuru wa taifa lake.
 
Taifa lipo kwenye majonzi mtanzania mwenzetu kauwawa kikatili wewe unaendeleza mabishano yasiyo na tija, unajua kabisa hio ni siku ambayo magaidi yalivamia Israel na kuua watu kinyama ila unajizima data.
Hiyo biblia yako inakufundisha kuwa unatakiwa kuwahurumia watz wenzako ila wa nchi nyingine hawatakiwi kuhurumiwa?

Alafu watu weusi siwanauawa kila siku na polisi nchini Marekani mbona hujawahi kuichukia Marekani ?punguza undina.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…