Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kwani huoni !? Hata wew ni mjinga unadanganywa kabisaWhich military? Fundamental Muslims mna mtindio WA ubongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huoni !? Hata wew ni mjinga unadanganywa kabisaWhich military? Fundamental Muslims mna mtindio WA ubongo
Kama mauaji ni mabaya kwann ww unashabikia mauaji ya wapalestina?Na nyie kina FaizaFoxy mje kuelimika huku
huwa mnadanganywa kirahisi sana na hawa magaidi wanaotumia dini iwe mwamvuli wa kutenda maovu, mtanzania mwenzetu kapigwa risasi lakini wakaona haitoshi wakaongezea tisa za ziada.
Before Oct 7 kulikuwa na ceasefire agreement.Israel ni warzone... wapo vitani baada ya kuchukua maeneo ya wa Palestine
Mnaoenenda huko mtambue ili...
Ugaidi tu huuHivi Hawa Hamas wanafanya haya kumkomoa nani? Huyo mtu ni Muizrael? Inasikitisha sana.
Wapalestina tumewapigania miaka mingi lakini wameua ndugu yetu kikatili bila kujali. Serikali itoe tamko kali otherwise tuvunje uhusiano.
Damu ya Mtanzania haiwezi kupotea bure. Watuambie hao missionaries wao wana maelekezo sahihi au wahuni tu?
Wamemuua mwenzetu kikatili na kikatili sana. They must pay or apologise!
Yes Israel Diaper Forces is the TERRORISTTerrorist
Like no new vocabulary.Dah wajukuu wa allah wanamuua mtoto wa watu tena wana shout allah wakubariiiii.
Kwahiyo hapo unaona wanacheza?Kuuliwa kuko wapi hapo?
Unatetea wauaji tu. Yani hata kama wana vita na Israel, walitakiwa kujua huyu si Mu Israel.Inasikitisha sana! Lakini hata hivyo sidhani kama Hamas walimwua kana kwamba wanachuki na Watanzania.
Huenda walijua ni adui yao!
Ni kama vile IDF walivyoua juzi Mateka wao, waliamini ni maadui!
Kwenye Vita huwezi kumwamini mtu akiwa upande wa adui!
Hata hivyo inahuzunisha kwa kweli.
You're Hamas sir.....it's that simpleYes Israel Diaper Forces is the TERRORIST
IDF lipo huko linafanya kazi yake sawasawaNenda kawasaidie kupigana .unaonesha ujasiri JF nenda kwenye battlefield
Nadhani wameiona tayariMungu wangu, hii video wazazi na ndugu zake wasiione tafadhali, wanasema mmama yeyote aliyewahi kuzaa hua na huruma kwa watu maana anajua uchungu wa mtoto, Sasa kuna huyu mama wa humu akiiona hii video atafurahi
Unadhani nini labdaSth is not right.. why was he sacrificed.
Hapana..
Kuna shida.