Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Wapalestina tumewapigania miaka mingi lakini wameua ndugu yetu kikatili bila kujali. Serikali itoe tamko kali otherwise tuvunje uhusiano.

Damu ya Mtanzania haiwezi kupotea bure. Watuambie hao missionaries wao wana maelekezo sahihi au wahuni tu?

Wamemuua mwenzetu kikatili na kikatili sana. They must pay or apologise!
 
Na nyie kina FaizaFoxy mje kuelimika huku

huwa mnadanganywa kirahisi sana na hawa magaidi wanaotumia dini iwe mwamvuli wa kutenda maovu, mtanzania mwenzetu kapigwa risasi lakini wakaona haitoshi wakaongezea tisa za ziada.
Kama mauaji ni mabaya kwann ww unashabikia mauaji ya wapalestina?

Mm nikategemea utafurahi kama unavyo furahia mauaji wa watu wengine.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Two Tanzanians i reapeat two Tanzanians
Wapalestina tumewapigania miaka mingi lakini wameua ndugu yetu kikatili bila kujali. Serikali itoe tamko kali otherwise tuvunje uhusiano.

Damu ya Mtanzania haiwezi kupotea bure. Watuambie hao missionaries wao wana maelekezo sahihi au wahuni tu?

Wamemuua mwenzetu kikatili na kikatili sana. They must pay or apologise!
 
Inasikitisha sana! Lakini hata hivyo sidhani kama Hamas walimwua kana kwamba wanachuki na Watanzania.
Huenda walijua ni adui yao!
Ni kama vile IDF walivyoua juzi Mateka wao, waliamini ni maadui!
Kwenye Vita huwezi kumwamini mtu akiwa upande wa adui!
Hata hivyo inahuzunisha kwa kweli.
Unatetea wauaji tu. Yani hata kama wana vita na Israel, walitakiwa kujua huyu si Mu Israel.

Hao Hamas ni terrorists tu.Kwenye vita hutakiwi kuua mtu ambaye hana silaha na kajisalimisha, unamchukua mateka.

Wangemchukua mateka pengine angekuwa kati ya mateka walioachiwa.
 
Nenda kawasaidie kupigana .unaonesha ujasiri JF nenda kwenye battlefield
IDF lipo huko linafanya kazi yake sawasawa
Israel wanawamudu ndio maana wapalestina wanahamishwa hamishwa makazi kama wanyama

Mara nendeni kusini,mara kaskazini mpk mwisho wa enzi watakua na maisha ya kutangatanga,hakuna uhuru watakao kuja wapewe hata siku moja.

Hio kauli ya Free Palestine haipo, Israel sio wajinga wawape uhuru wajitawale si watachinja watu hao
 
Mungu wangu, hii video wazazi na ndugu zake wasiione tafadhali, wanasema mmama yeyote aliyewahi kuzaa hua na huruma kwa watu maana anajua uchungu wa mtoto, Sasa kuna huyu mama wa humu akiiona hii video atafurahi
Nadhani wameiona tayari
 
Back
Top Bottom