Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Umesema mawazo yangu piaHuyu bwana mdogo ni dhahiri kilichochangia kuuwawa ni ngozi yake tu na sio kingine.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema mawazo yangu piaHuyu bwana mdogo ni dhahiri kilichochangia kuuwawa ni ngozi yake tu na sio kingine.......
Ndiyo mjue tulipofika. Unapopiga kura ya aina hiyo unaunga mkono ugaidi.Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.
Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.
Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.
R.I.P mdogo wetu
Mkuu umeenda mbali sana...
Huyu balozi anawakilisha mamlaka ya Palestine (PA) na sio Hamas, halafu hakuna sehemu mamlaka ya Palestine imeunga mkono mauaji yaliyofanywa na Hamas kule Israel
Huenda alialikwa tu...Sasa anamaana gani kuingia msikitini kuomba waislam wote wawaunge mkono?
Mbona hutoa hoja kuwa na akili..Umekosa hoja sasa daawa imekuingia umeanza matusi shida kubwa wafuasi wa mudi vichwani reasoning hamna kama nguruwe wa hamas wakimtaja allah
Utakufa na usahaulika wale nguruwe hawapati uhuru wwte mark my word na hali yao itazidi kuwa mbaya simbilisi wewHaisadii kuniita mjinga. Palestina lazima ipate uhuru wake.
Wewe mwanamke pumbavu sana , unashabikia wauaji wa mtanzania mwenzetu, kwako dini ni muhimu sana kuliko uhai wa mtanzania!Si mlisema kashikwa mateka?
Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.
Hollywood hiyo.
Asa mkuu mbona bandari mama yenu kawapa!?Nchi za kiarabu nyingi sio salama kuishi au kwenda kimasomo, na sisi watu weusi hutujifunzi yanayiwapata wenzetu.kwa mfano Kenya watu wengi hasa wafanyakazi walitoa malalamiko ya kuteswa na kunyimwa chakula lakini Bado watu weusi hatujifunzi tu mwarabu sio ndugu yako yeye kuchinja ,kumwaga damu ni kawaida kwake.
R.I.P Joshua
sipati video sijui tatizo ni nini.
Hiyo footage ya octeber 7lakini imetolewa na israel baada ya gopro cam iliokuwa na footage ya gaidi mwenzako wa hamas kuuwawaMbona hutoa hoja kuwa na akili..
Matusi gani sasa ? Mbona hoja zako sioni ,zipo wapi?
Sasa soma happ kwa mwili wanao Hamas inaingia akilini kweli?
View attachment 2845334