Ndiyo mjue tulipofika. Unapopiga kura ya aina hiyo unaunga mkono ugaidi.
Video inasikitisha sana. Serikali ijitathimini.
 
Pamoja na kwamba Vijana Wetu wamekuwa ni wahanga wa mzozo wa Palestine na Israel ila inatuma ujumbe maumivu yaliyopo hapo Kwa Wapalestina.

Maumivu yaliyotupata Watanzania Kwa Vijana Wetu Kuuwawa ndio hayo hayo yanawakuta Wapalestina Kwa kuuwawa na kuporwa Ardhi Yao na Wayahudi.

Ndio maumivu hayo hayo yanawakuta raia wasio na hatia Kwa kuuwawa na Kukaliwa na Waasi wanaofadhiliwa na Rwanda huko DRC.

My Take
Tusimame na watu wote wanaoonewa,maana madhara yake ni mtambuka.Mifano mibaya Iko Russia,Israel,Rwanda nk.

R.I.P Vijana Wetu.
 
Mkuu umeenda mbali sana...

Huyu balozi anawakilisha mamlaka ya Palestine (PA) na sio Hamas, halafu hakuna sehemu mamlaka ya Palestine imeunga mkono mauaji yaliyofanywa na Hamas kule Israel

Waarabu wanajua michezo ya PLO kutolaani HAMAS ndiyo maana unaona nchi za kiArabu serikali zake zinaiweka PLO, HAMAS, PFLP na vikundi vingi vya wapalestina mbali nao wao waarabu, sababu ni kuwa hawa jamaa wanaweza kufanya lolote kwa manufaa yao binafsi .


ASILI YA WAPALESTINA KUTOUNGWA MKONO, PIA KUOGOPWA SANA NA MATAIFA YA KIARABU

Dr Edward SAID professor wa chuo cha The College de France jijini Paris Ufaransa, mpalestina aliyewasili miaka ya 1950 katika jiji hili tajwa la ulaya Magharibi


View: https://m.youtube.com/watch?v=7g1ooTNkMQ4
Akiwa na kiu ya kujiendeleza kimasomo baada ya kuwasili akiwa kijana asiye na certificate wala diploma yoyote amezaliwa 1935 katika familia tajiri hivyo kusomeshwa shule nzuri na baadaye kwenda ngambo kusoma katika vyuo tajwa duniani nchini Marekani vya Princeton na Harvard kisha kuwa professor University of Columbia New York US.

Akiwa ngambo masomoni alizungukwa na marafiki wengi wa karibu wa kimagharibi na kiyahudi pia ingawa nje ya kundi hilo alionekana kama adui mkubwa kwa kukumbatia ugaidi wa wapalestina.

Wazazi wake Prof. Edward Said yaani mama yake alizaliwa Nazareth huku baba mzaliwa wa Jerusalem. Baadaye wazazi wake walihamia Lebanon na kuwa raia wa huko Lebanon ingawa vyeti vyao vinaonesha walizaliwa Palestine nchini Israel.

Prof. Edward Said mpalestina mkristo anaendelea kuelezea uaina wa watu waliozaliwa eneo hilo la Mashariki ya Kati wenye mchanganyiko mwingi wa kihistoria, kijamii na muingiliano wa mataifa mengi kutokana na mambo mengi yaliyojitokeza.

Prof. Edward Said katika maandiko yake kuhusu mtizamo wa Magharibi kuhusu Mashariki uwe katika vitabu, michoro, picha, simulizi, aina ya fikra za Mashariki kuwa yanafanana na kuweza kuiva katika chungu kimoja bila kutibua ladha ni mtizamo usio onesha hali halisi.

Prof. Edward Said anasema mwenyeji wa Egypt ana tabia tofauti na sema mwenyeji wa Syria vile vile wa kutoka Jordan wana mtizamo tofauti na wa kutoka Tunisia au Saudia.

Prof. Edward Said katika mihadhara yake na uandishi umeleta malumbano mengi moto na kuvutia wengi kusikiliza pia kusoma.

Prof. Edward Said kuhusu kuwepo vitabu vingi vya jiografia na historia vipya ambavyo vimejaribu kufuta ya zamani na kuandika vitu vingi vipya kwa sababu maalumu zenye manufaa kwa ....

Prof. Edward Said anaikumbuka Beirut ya miaka 1970s na 1980s iliyowakaribisha kwa mikono miwili siyo wapalestina tu bali waarabu kutoka nchi za Egypt, Syria, Jordan, Iraq, Sudan n.k wote walikimbilia Beirut Lebanon lakini baadaye wote walifurushwa kutokana na majeshi ya mgambo ya wenyeji wa KiShiite na Kikristo kuwazunguka na kuwatimua

Na baada ya hapo hasahasa wapalestina hawatakiwi tena katika mataifa ya kiarabu kufuatia nchi zilizowapa ukimbizi kwa wingi kama Jordan na Lebanon kuwaona wapalestina ni wakorofi na wakiwa wakimbizi huamua kujiingiza ktk siasa za wenyeji wao.

Mataifa ya kiarabu kuingia woga kwa imani ya Wapalestina kwenda mbali zaidi kuchukua upande wa moja wa wenyeji wao na kushiriki kwa kutumia silaha kujaribu kupindua serikali za wenyeji wao.

Kwa wapalestina kuamini itapatikana serikali mpya ya kiarabu iliyo majimuni Pan Arabian itakayounga mkono, harakati ya umoja mpya wa Kiarabu kuishambilia Israel, na ifutike ili wapalestina warudi ktk nchi wanayoamini yakwao pekee siyo ya mataifa mawili ya Palestine na Israel yanayoishi sambamba kwa kutambua uwepo wa mataifa mawili kiasili ....

CHAMA CHA POPULAR FRONT FOR THE LIBERATION OF PALESTINE -PFLP

Mkuu wa kitego cha mawasiliano na tamaduni wa Chama cha PFLP (Popular Front for the Liberation of Palestine) katika mazungumzo exclusive. Akielezea tofauti ya kundi lao lililoasisiwa na kiongozi wao George Habash akishirikiana vijana wengine miaka ya mwanzo ya 1970s ...

October 2023
Beirut, Lebanon

View: https://m.youtube.com/watch?v=EqQUOYcJzdsBT's Rania Khalek sat down with Marwan Abdul Al, a member of the Political Bureau of The Popular Front for the Liberation of Palestine (PFLP) and head of the group’s Cultural Department. Initially born out of the Arab nationalist movement, the PFLP adopted Marxism-Leninism and distinguished itself as one of the leading organizations in the resistance to occupation. The interview was filmed in a refugee camp in Beirut, prior to recent events. They discussed the current state of Palestinian resistance in the face of the occupation, the changing world situation, how the PFLP views religion, the strategic tasks of uniting the left, international solidarity and more.
 
Sasa anamaana gani kuingia msikitini kuomba waislam wote wawaunge mkono?
Huenda alialikwa tu...

.halafu yeye kama raia wa Palestine hawezi kubaki kimya wakati raia wenzake wasio na hatia wanauawa hukl Gaza.

Hamas inatawala Gaza na ndio iliyovamia Israel 7/10/2023 na sio mamlaka ya Palestine
 
Umekosa hoja sasa daawa imekuingia umeanza matusi shida kubwa wafuasi wa mudi vichwani reasoning hamna kama nguruwe wa hamas wakimtaja allah
Mbona hutoa hoja kuwa na akili..
Matusi gani sasa ? Mbona hoja zako sioni ,zipo wapi?

Sasa soma happ kwa mwili wanao Hamas inaingia akilini kweli?
 
Lailaa hailalaaah mohamammada rasuuulullah!

Au

Allahu akbar!!



Ingetosha kumuokoa kabisa!!

IPO haja ya kujifunza yote kwanini Imani za kigeni zitugawe!!?

Nawajua sana waislam wenye itikadi wakikutana na mtu wanaeamini ni Kaffir!!aiseh!!

Tuishukuru serikali Kwa amani tuliyonayo!!
 
Si mlisema kashikwa mateka?

Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.

Hollywood hiyo.
Wewe mwanamke pumbavu sana , unashabikia wauaji wa mtanzania mwenzetu, kwako dini ni muhimu sana kuliko uhai wa mtanzania!
Ndiyo maana Mungu akakutana mwanamke
 
Asa mkuu mbona bandari mama yenu kawapa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…