Subhanallah

Wallah

Hakuna uislamu unaokubali kuuuwa na kudhulumu nafsi za watu hakuna

Ile video mwana "hamas" anasema shabab ya mashara shabab[emoji24][emoji24] pia akasema asalam alaykum [emoji24]marehemu hapo anaamua kujitetea kwa kiingereza.... Nais alikuwa anasema "I'm innocent, don't kill me"[emoji24]

Vivyo hivyo kijana ameonekana alivaa boxa ya jeshi so sad [emoji24][emoji24][emoji24] wakamchukulia kama kachero daah

Ndugu zangu tuache udini katika hili

Uislam hauruhusu haya mambo Qattu

Daah nimeumia mno
 
Usituletee maswali! Ehe utuambie hiyo boxer inahusiana nini na kifo chake!??
 
Nina maswali mengi sana..
Why him!?
Kwanini wachukua video!?
Ujumbe gani wanautuma Africa!?
Why why!? So many whys!

Alafu walienda kumchinjia mbali huko!? Why was he pointed!?
Kuna kitu..
Kuna kitu. Sth is not right!
Kumbe umejua ile video imechuliwa sio footage kama wanavyodai.
 
Kwani huyo ni muisrael! Inatuhusu nini sisi kama watanzania kwa vyovyote vile haikufaa kuingia mkono Hamas huku wakiwa wamewateka na kuua watanzania.
 
Ni ndugu katika imaan lazima tuwaunge mkono. I
 
Hii ingetokea Nigeria bila shaka wadau wangeonesha hisia hata kwa kuchoma ubalozi wa Palestina hivi.

Hapa kwetu Balozi wao anafanya press na kujifaragua kuwa hao jamaa ni wapigania uhuru.
 
Inasikitisha..
Wanamtaja Allah, dini haijafundisha hivyo, ya nini kumuua mtu kasalimu amri, hajawapiga.. Wanaweza kiwa sahihi kupigania ardhi yao ila kwa hiki si sahihi kabisa, wametenda kosa kubwa.

Apumzike kwa amani.
 
Yeah!.. Wapalestina wamegawanyika sana tu isitoshe hata wao kwa wao wanapingana (Hamas na Fatah).

Ila mamlaka ya Palestine (PA) chini ya Fatah ya Mahmoud Abbas ndio inatambuliwa kimataifa kama wawakilishi wa Wapalestina.
 
Hamas inatawala Gaza na ndio iliyovamia Israel 7/10/2023 na sio mamlaka ya Palestine

HAMAS ni mgambo walioasi na kutwaa eneo la Palestine, ndiyo maana PLO wanasubiri Israel wamalize operesheni yao halafu Palestine Authority irudi tena kutawala eneo la Palestine la Gaza lililotwaliwa na vikaragosi vya Iran yaani HAMAS.


Viongozi wakuu wa vikundi vya PLO, PFLP n.k vinasubiri siku hiyo ifike waondokane na HAMAS. Kiongozi wa PLO Mahmoud Abbas na baraza lake wanataka kuwa kiongozi wa Palestine moja isiyo na magaidi, Palestine moja iliyokuwa na ukanda wa Gaza na Ukanda wa Magharibi.

HOTUBA YA BW. YASSER ARAFAT ILIYOBATIZWA (KAMA ISHARA YA AMANI) TAWI LA MZEITUNI

Hotuba ya kiongozi wa PLO mwaka 1974 mbele ya Umoja wa Mataifa mwezi November 1974 mara baada ya Palestine moja kukaribishwa kuwa na mwanachama katika Umoja wa Mataifa

View: https://m.youtube.com/watch?v=SQrbPhrPJ7I(interpretation from Arabic)
 
🤣🤣🤣Hakuna footage hapo nahisi kijana hata elimu hauna ,unazijua video vya footage wewe?

Hiyo vidoe imeshootiwa katika mfumo wa undercover agent kama alikuwa anashoot.


Ile footage ya kutungua ile ndege uliona walifikia wapi ?
Kwahiyo hayo ni maigizo yanashutiwa huku wakitaja allah akbar safi kabisa
Gaidi wewe unajichekesha bure hii damu joshua italilia kizazi chenu chote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…