Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
Hiyo wakati Wana mhoji walimpa salam..... "Assalam alaykum " hakuwa anajibu ila alikuwa anajitetea Tu daah hiyo box ina asilimia 20 za kuuwawa na watu haoHaya ni mawazo yako!
PoleInaumiza sana...
Natamani Palestine ya Gaza ifutwe yote kwenye ramani ya dunia ... yaani kizazi chote kiwe ni Israel by force... maana kupitia wao wakibakishwa... yata zaliwa magaidi mengine.. Palestina ibaki ile ya West bank..
GOD BLESS ISRAEL
Gaidi mwingine wa bongo huyu hapa!!Kama mauaji ni mabaya kwann ww unashabikia mauaji ya wapalestina?
Mm nikategemea utafurahi kama unavyo furahia mauaji wa watu wengine.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unaongelea JF.nenda uwanja wa vitaUtakufa na usahaulika wale nguruwe hawapati uhuru wwte mark my word na hali yao itazidi kuwa mbaya simbilisi wew
HAwa na alshabab wote magaidi tu hawana la maana unaua mtu ukitaja allah akbar dini gani hiyo?Kwani hii alshabab ninayosikia ni tofauti na hili kundi au inamaana nyingine..naojua hicho kiarabu
waondoke kiukweli sihitaji hata kuon ozi yo winga hawa.Naomba tupaze sauti yule balozi wa palestina alihojiwa na clouds tv juzi afukuzwe na ofisi zao zifungwe hapa tanzania inauma sana kuua ndoto za kijana kama huyu
View: https://twitter.com/AmiramKrasner/status/1736370468939030841?t=NmWTXKMrCE__jRwLmV6Ybg&s=19
PoleMachozi yamenitoka ase for innocent boy kuuawawa na haya magaidi
Israeli usiwahurumie haya magaidi
Akili zipi si useme ? Video wametoa israel kwa na kuandika ni Hamas wewe ungeona tu ungejua?
Fala mamako na babako waliozaa nguruwe kama wewe uliekosa utu wa kupoteza ndugu yako wa damu nguruwe kabisaUnaongelea JF.nenda uwanja wa vita fala wewe.
Huyu bibi ni wa kuzaba vibao vinne vikali tu!!!!kwanini tusianze na mtoto wa wakala wao faizafoxy eti
Huijui historia wewe, Israeli ni ardhi asili ya wayahudi na sio hao the so called wapalestina au waarabu , rejea historia uisome uieleweStill makosa ni ya Israel kulazimisha kukaa kwenye ardhi ya watu mpaka wanawaponza wasio na hatia.
Hisia zingine zinaniambia huyu dogo alikuwa anaandaliwa kuwa jasusi maana hata hiyo boxer aliyovaa inaonesha alishaingia kwenye system ya ujasusi.
Pumzika kwa amani kijana, umeponzwa na watu wala sio kosa lako,tangu lini kilimo kikapatikana jangwani badala ya Africa.
Nizaidi ya unyama .... In human na ukatili ulio pitiliza (mwarabu ni kumbe katili sana na hajawai kumpenda mtu mweusi) pia Radical islam ni Tatizo hapa ulimwenguni
vipi tukianza kudeal na wapumbavu wanaoshabikia ugaidi hapa kwetuThis is very painful, ata kwa muonekano tu alionesha sio mtu wa huko Israel ! Hawa Hamas walimuua wakijua kabisa sio adui Yao ! Kwani sisi waTZ tuna ugomvi nao mpaka watuulie ndugu yetu vibaya hivi ?? Then kuna waTZ sijui wana tumia akili gani kuimba pray for Hamas! They should rote in hell ! Magaidi wakubwa
Unadhani ni inawezekana kuwafuta Hamas hapo Gaza ?....HAMAS ni mgambo walioasi na kutwaa eneo la Palestine, ndiyo maana PLO wanasubiri Israel wamalize operesheni yao halafu Palestine Authority irudi tena kutawala eneo la Palestine la Gaza lililotwaliwa na vikaragosi vya Iran yaani HAMAS.
Viongozi wakuu wa vikundi vya PLO, PFLP n.k vinasubiri siku hiyo ifike waondokane na HAMAS. Kiongozi wa PLO Mahmoud Abbas na baraza lake wanataka kuwa kiongozi wa Palestine moja isiyo na magaidi, Palestine moja iliyokuwa na ukanda wa Gaza na Ukanda wa Magharibi.
Usijifanye una uchugu sana ni mtanzania mwenzetu tunatoa pole kwa familia yake kifo chake kina utata serikali inatakiwa kutoa maelezo zaidi.Usituletee maswali! Ehe utuambie hiyo boxer inahusiana nini na kifo chake!??