Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Daaaaa hawa jamaaa balozi wao afukuzwe mara moja.................afai kubaki tanzania tena
 
Still makosa ni ya Israel kulazimisha kukaa kwenye ardhi ya watu mpaka wanawaponza wasio na hatia.

Hisia zingine zinaniambia huyu dogo alikuwa anaandaliwa kuwa jasusi maana hata hiyo boxer aliyovaa inaonesha alishaingia kwenye system ya ujasusi.

Pumzika kwa amani kijana, umeponzwa na watu wala sio kosa lako,tangu lini kilimo kikapatikana jangwani badala ya Africa.
Huijui historia wewe, Israeli ni ardhi asili ya wayahudi na sio hao the so called wapalestina au waarabu , rejea historia uisome uielewe
 
This is very painful, ata kwa muonekano tu alionesha sio mtu wa huko Israel ! Hawa Hamas walimuua wakijua kabisa sio adui Yao ! Kwani sisi waTZ tuna ugomvi nao mpaka watuulie ndugu yetu vibaya hivi ?? Then kuna waTZ sijui wana tumia akili gani kuimba pray for Hamas! They should rote in hell ! Magaidi wakubwa
vipi tukianza kudeal na wapumbavu wanaoshabikia ugaidi hapa kwetu
 
HAMAS ni mgambo walioasi na kutwaa eneo la Palestine, ndiyo maana PLO wanasubiri Israel wamalize operesheni yao halafu Palestine Authority irudi tena kutawala eneo la Palestine la Gaza lililotwaliwa na vikaragosi vya Iran yaani HAMAS.


Viongozi wakuu wa vikundi vya PLO, PFLP n.k vinasubiri siku hiyo ifike waondokane na HAMAS. Kiongozi wa PLO Mahmoud Abbas na baraza lake wanataka kuwa kiongozi wa Palestine moja isiyo na magaidi, Palestine moja iliyokuwa na ukanda wa Gaza na Ukanda wa Magharibi.
Unadhani ni inawezekana kuwafuta Hamas hapo Gaza ?....
 
Back
Top Bottom