mtoa mada anithibitishie hapa na huzunika na yanayotokea pale Gaza au ndo wale ''piga hao kisibaki kitu''Haipendezi kuona binadamu akiuwawa ila kuhalalisha kifo cha mtanzania sababu ya wapelestina au waisraeli ni ujuha tu. TUNAPASWA KULAANI HILO TUKIO.
Huyu hakuuwawa wakati wa vita siku ya shambulio la wale nguruwe hamas dogo alikuwa anatoka shambani na baiskeli yake wakamteka na kumfanyia huo ukatiliVita haina macho,hii iwe fundisho kwa sisi washabikia vita kindaki ndaki.
Hivi Hawa Hamas wanafanya haya kumkomoa nani? Huyo mtu ni Muizrael? Inasikitisha sana.
Ahaa! Kumbe???!Nchi 14 barani Afrika zimeiondoa Israel kwenye Umoja huo AU.
Nchi zilizokubali uamuzi wa kuiondoa Israel kwenye muungano huo ni; South Africa, Tunisia, Eritrea, Senegal, Tanzania, Niger, Archipelago ya Qamar, Gabon, Nigeria, Zimbabwe, Liberia pamoja na Seychelles.
Hizo nchi zote viongozi wake ni Waislam?
Wauaji wale ni washenzi.mtoa mada anithibitishie hapa na huzunika na yanayotokea pale Gaza au ndo wale ''piga hao kisibaki kitu''
NANI WAUAJI NANI WASHENZIWauaji wale ni washenzi.
Naomba tupaze sauti yule balozi wa palestina alihojiwa na clouds tv juzi afukuzwe na ofisi zao zifungwe hapa tanzania inauma sana kuua ndoto za kijana kama huyuHivi Hawa Hamas wanafanya haya kumkomoa nani? Huyo mtu ni Muizrael? Inasikitisha sana.
Ni zaidi ya washenziWashezi
Wewe punguani, si mlisema kashikwa mateka, sasa leo imekuwa kauliwa?tetea ao mbwa wenzako
Aliewamuru kuua mkafiri na watu wasio waislamumbona wanamtaja Allah anahusikaje hapo?
Video inatia hasiraNi zaidi ya washenzi
Wewe punguani, si mlisema kashikwa mateka, sasa leo imekuwa kauliwa?
Ujinga huo, mnaletewa propaganda za mazayuni.
Hiyo inaonesha wazi inayopigwa risasi maiti.Si mlisema kashikwa mateka?
Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.
Hollywood hiyo.