Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Haipendezi kuona binadamu akiuwawa ila kuhalalisha kifo cha mtanzania sababu ya wapelestina au waisraeli ni ujuha tu. TUNAPASWA KULAANI HILO TUKIO.
mtoa mada anithibitishie hapa na huzunika na yanayotokea pale Gaza au ndo wale ''piga hao kisibaki kitu''
 
Nchi 14 barani Afrika zimeiondoa Israel kwenye Umoja huo AU.

Nchi zilizokubali uamuzi wa kuiondoa Israel kwenye muungano huo ni; South Africa, Tunisia, Eritrea, Senegal, Tanzania, Niger, Archipelago ya Qamar, Gabon, Nigeria, Zimbabwe, Liberia pamoja na Seychelles.

Hizo nchi zote viongozi wake ni Waislam?
Ahaa! Kumbe???!
 
Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia

 
Si mlisema kashikwa mateka?

Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.

Hollywood hiyo.
Hiyo inaonesha wazi inayopigwa risasi maiti.


Mazayuni wamelikoroga wakaona bora watengeneze sinema kutafuta support.


Kwanini zaidi ya miezi miwili haijatoka itoke leo?

Hiyo staged kabisa.

Sidanganyiki kijinga.
 
Back
Top Bottom