๐๐๐๐๐Hii dini ni kichefu chefu aiseeDini inafanya watu wanakuwa mapimbi, mara mabikra 72, mara taifa teule, upimbi mtupu.
Nadhani huu utopolo umeandika hivi kwa sababu aliyeuawa ni Mkristu,...afu clip imekatwakatwa vipande.
Aya mambo ya vita + hizi media Acha kabisa...
Anyway vita ni vita haichagui wapi pa kupiga na yupi.....imesomba vitoto,vizee,wagonjwa na vijana wengi uko Palestina
Tufungue akili zetu jamani hata nyumbani huwezi kumtetea mtoto wako kama ni mwizi.Wewe punguani, si mlisema kashikwa mateka, sasa leo imekuwa kauliwa?
Ujinga huo, mnaletewa propaganda za mazayuni.
Huna hojaTunapaswa kuwa makini sana kama taifa, kuna viashiria vya watu kuupenda na kuunga mkono ugaidi. Utawaona kupitia michango yao kwenye mitandao ya kijamii. Ni dalili mbaya.
Hatupaswi kuwachekea watu wa namna hii, na huwa wanakuja na vijiswali vya kijinga kijinga wakijifanya wanaibua hoja.
Ndio maana leo Yemen anapozuia meli kupita red sea inaathiri dunia nzima hata ambao siyo waraabu wala waafrika.
Aisee nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi nikweli hatuwezi kumuita balozi wa israeli na kumuhoji kuhusu vifo vya watanzania wenzetu mkuu?Thubutu......ianzie wapi Mkuu? Haijitaki?
Alakbaru wauaji wa swala 5Sasa mbna vipele vinawasha
Mabasha zenu huko mnawatetea wameuwa watoto zaidi ya 8000 wanafiki wakubwa mnajifanya mnauchungu kumbe mna chuki kali mno na Waislam.Pamoja na kusali Swala 5 kwa siku,mkitoka hapo mnaua na kurusha mabomu makanisani
๐๐๐
Tatizo linanzia hapa.ila kwa kuwa akili ndogo huwezi kujua .Kaungane na hayo magaidi, Israeli anafanya kazi nzuri ya kupunguza hizi nguruwe.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Serikali ya Tanzania lazima ilaani kitendo ambacho HAMAS wamekifanyaโฆ
Unadhani sirikali ya Tanzania inaendeshwa kijinga kwenye suala hili??Serikali ya Tanzania lazima ilaani kitendo ambacho HAMAS wamekifanyaโฆ
Wamechemkaje hebu elezeaNendeni mkawasaidie israhell kuwafuta hamas basi kama munaweza
Maana hao walokua tegemeo lenu washachemka
Hawa ndio Biblia imetukataza hata kula nao.Ni janga la Dunia na wanavojifanya wanajua kusali kila muda utadhani watu wema sana
Wanaojua kiarabu watutafsirie hapo dogo alikuwa anaulizwa niniHiyo ni tar 7/10 na hakukua na mapambano yoyote. Tusitafute utetezi dhaifu. HAMAS wamezingua sana kumuua dogo asiye na hatia.
Let them get fire
Maneno haya tushayazoeaHao mgambo na serikali ya Yemen hawana ubavu wa kuzuia meli, ugaidi wao utakomeshwa ndani ya muda mfupi.
Sheria za bahari za kimataifa zinaifanya Yemen na wahuni mambo wa Houthi kujiweka ktk nafasi ya kupata vipigo toka mataifa yenye uwezo wa kuhakikisha sheria za bahari kimataifa zinaheshimiwa.
Muda siyo mfupi US, Denmark n.k vikosi vyao vya majini vitaanza kuwashughulikia kama HAMAS inavyopigwa muda huu.
Tufts University
https://sites.tufts.edu โบ chapter-six
Chapter 6: Maritime Security, Convention on the Law of the Sea
Maritime security supports an international order that is maintained through rule of law, and relies upon clear regulation of, and adherence to, the
Ipo kwenye mitandao mkuu ingia YouTube clouds FM utaisikiliza mkuu.Naweza kupata link ya mahojiano ya Clouds na Balozi huyo?
Natanguliza Shukrani
Hamas kamatieni hapo hapoWamechemkaje hebu elezea
Hao Palestine wanaohamishwa hamishwa kama mifugo toka 1948 na Israel anaejitawala nani kachemka