Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
...afu clip imekatwakatwa vipande.

Aya mambo ya vita + hizi media Acha kabisa...

Anyway vita ni vita haichagui wapi pa kupiga na yupi.....imesomba vitoto,vizee,wagonjwa na vijana wengi uko Palestina
Nadhani huu utopolo umeandika hivi kwa sababu aliyeuawa ni Mkristu,
 
Tunapaswa kuwa makini sana kama taifa, kuna viashiria vya watu kuupenda na kuunga mkono ugaidi. Utawaona kupitia michango yao kwenye mitandao ya kijamii. Ni dalili mbaya.

Hatupaswi kuwachekea watu wa namna hii, na huwa wanakuja na vijiswali vya kijinga kijinga wakijifanya wanaibua hoja.
Huna hoja
Hamas kamatieni hapo hapo
 
Ndio maana leo Yemen anapozuia meli kupita red sea inaathiri dunia nzima hata ambao siyo waraabu wala waafrika.

Hao mgambo na serikali ya Yemen hawana ubavu wa kuzuia meli, ugaidi wao utakomeshwa ndani ya muda mfupi.

Sheria za bahari za kimataifa zinaifanya Yemen na wahuni mambo wa Houthi kujiweka ktk nafasi ya kupata vipigo toka mataifa yenye uwezo wa kuhakikisha sheria za bahari kimataifa zinaheshimiwa.

Muda siyo mfupi US, Denmark n.k vikosi vyao vya majini vitaanza kuwashughulikia kama HAMAS inavyopigwa muda huu.

Tufts University
https://sites.tufts.edu › chapter-six
Chapter 6: Maritime Security, Convention on the Law of the Sea

Maritime security supports an international order that is maintained through rule of law, and relies upon clear regulation of, and adherence to, the

View: https://m.youtube.com/watch?v=mALhZGbopR8
 
sio wataniletea kwa lugha ya kiarabu mkuu
Ipo in English Mkuu
Screenshot_20231217-224315.png
 
Pamoja na kusali Swala 5 kwa siku,mkitoka hapo mnaua na kurusha mabomu makanisani
🙆🙆🙆
Mabasha zenu huko mnawatetea wameuwa watoto zaidi ya 8000 wanafiki wakubwa mnajifanya mnauchungu kumbe mna chuki kali mno na Waislam.
 
Nendeni mkawasaidie israhell kuwafuta hamas basi kama munaweza
Maana hao walokua tegemeo lenu washachemka
Wamechemkaje hebu elezea

Hao Palestine wanaohamishwa hamishwa kama mifugo toka 1948 na Israel anaejitawala nani kachemka
 
Hiyo ni tar 7/10 na hakukua na mapambano yoyote. Tusitafute utetezi dhaifu. HAMAS wamezingua sana kumuua dogo asiye na hatia.

Let them get fire
Wanaojua kiarabu watutafsirie hapo dogo alikuwa anaulizwa nini
Hakuwa na kitambulisho hata cha NIDA
 
Hao mgambo na serikali ya Yemen hawana ubavu wa kuzuia meli, ugaidi wao utakomeshwa ndani ya muda mfupi.

Sheria za bahari za kimataifa zinaifanya Yemen na wahuni mambo wa Houthi kujiweka ktk nafasi ya kupata vipigo toka mataifa yenye uwezo wa kuhakikisha sheria za bahari kimataifa zinaheshimiwa.

Muda siyo mfupi US, Denmark n.k vikosi vyao vya majini vitaanza kuwashughulikia kama HAMAS inavyopigwa muda huu.

Tufts University
https://sites.tufts.edu › chapter-six
Chapter 6: Maritime Security, Convention on the Law of the Sea

Maritime security supports an international order that is maintained through rule of law, and relies upon clear regulation of, and adherence to, the
Maneno haya tushayazoea
 
Wamechemkaje hebu elezea

Hao Palestine wanaohamishwa hamishwa kama mifugo toka 1948 na Israel anaejitawala nani kachemka
Hamas kamatieni hapo hapo
Magaidi wenu waliotekwa mmewakomboa wangapi
 
Back
Top Bottom