Ni vigumu sana kutenganisha Uislamu na Ugaidi, ni vigumu mno kupita kiasi.
Waisraeli sio magaidi??


Kule Ukraine na Russia wale ni waislamu wanaouana??


South Afrika watanzania wanakufa kila siku , wale ni waislamu??


Mikoa ya kanda ya ziwa wanauana mara kwa mara , wale ni waislamu?


Ni chuki zako tu
 
Yaani nimesikitika sana, kwa vitu kama hivi hao mbwa wasakwe na wachakazwe mpaka waishe, unaona kabisa huyu sio muisrael na hajui hata lugha yao ila ndio kwanza unampiga risasi

Ni sawa na kusema katika ugomvi wa mmasai na mbulu umkamate mzungu halafu ummalize kisa umemkuta Ngorongoro

Pumzika kwa amani Joshua
 
Aisee nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi nikweli hatuwezi kumuita balozi wa israeli na kumuhoji kuhusu vifo vya watanzania wenzetu mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda tuwe tumechoka na Maisha. 80% ya Matajiri wa Marekani ni Waisraeli Kiasili na Kiburi kikubwa cha Mama yenu ni Fedha za Misaada kutoka Marekani sasa Tanzania itaanzia wapi Mkuu? Tutabaki / Itabaki tu Kubweka hovyo kama Mbwa Koko asiye na Madhara kwa Maadui na Wapita Njia.
 
Maskini , aliwakosea nini hasa😪, inaumiza najuta kucheki hii video
 
Jama pana kitu lazima alikifanya akakamatwa ndio wakaamua kutoa hukumu hiyo,

Kwanini kwenye hiyo video yeye yuko peke yake eneo hilo,

Kwanini hao jamaa wote kila mmoja anataka kumua attack yeye?
Hata habari hukufuatilia??? Kwani hujui tukio la Hamas kuvamia Israel na kuteka mateka Oktoba 7 ???

Hufahamu kama Joshua na wenzake walienda Israel kujifunza masuala ya kilimo???
 
Hivi lini unaenda kubatizwa? papa si karuhusu mashoga wabatizwe au basha wako hatati?
Masheikh wako wanaokazwa hawa hapa, wanakusubiri ibadani na gauni lako mkamsujudie shetani
 
s
Video ni kuzima sakata hili la kuwaua wale mateka wao wa3
sakata wanataka kulizimia wapi?
video ya mollel inaweza kusimamisha maandamano ya raia israel wanavyoshinikiza serikali?

Pointi yako ni ipi?
 
Basi kaka hajauliwa na hao ni waisraeli wamemuua si ndo unachotaka kusema ila kaa ukijua hao unao watetea mm na video zao kibao wanauana wao kwa wao kisa huyu mshia na huyu msunni hawa watu hiiii
 
Si makundi mnatengeneza wenyewe ili muuchafue uislamu??


Umeona kuna aya inasema watu wachinjwe hivyo??
 
Basi kaka hajauliwa na hao ni waisraeli wamemuua si ndo unachotaka kusema ila kaa ukijua hao unao watetea mm na video zao kibao wanauana wao kwa wao kisa huyu mshia na huyu msunni hawa watu hiiii
Kama unazo video zao mimi nifanyeje?
 
Taifa lina mamb mengi ya msingi ya kufanya hatuwezi kukaa tuna ongea ongea kifo cha mtu mmoja, wakati watu wana kufa kila siku kwa uzembe ma hospitalini
Unakosea mkuu aliyekufa ni mtanzania. Watanzania wana Haki ya kuhoji amekufa kufaje hasa ikizingatiwa serikali ya israeli imekua ikitoa taarifa tofauti juu ya watanzania wenzetu hawa baada ya tukio la tarehe 7 oktoba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ewe Allah wanusuru ndugu zetu Waislam walioko Palestine. Ameen.
Jitu jeusi linaloishi Kingungi linapojifanya lina undugu ma waarabu wasiolifahamu! Hiyo dini ni upumbavu mtupu. Kijarida cha Mudi alichoshushiwa na shetani kimeharibu bongo zenu.
 

Wanugu wenyewe wanashindwa kujisapoti kwenye mambo ya msingi hiyo sapoti yao kwa Palestine is useless. Waanze kujisapoti wenyewe kwanza Kabla hawajarukia yasiyowahusu.

Hiyo miarabu na miyahudi mnayoitetea kila siku don't give a single fvck about y'all. Itawaua in a heartbeat mkijichanganya kwenye anga zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…