Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Eti dogo kaenda kusoma sawa ila angalia script, kwanz walisema katekwa tangu oktoba 7.
Sasa angalia Kama ndio yeye alikuwa na baiskeli ,uliona wapi wapiganiji wa Hamas wakawa wazi wazi tena kipind cha tensiona kama haswa oktoba 14 ? Hao wanafunika nyuso zao.

Dogo kavaa boxer ya jeshi👇


View attachment 2845307


Hao ndio Hamas yaani wamevaa wazi hivyo?
View attachment 2845308
umefika msibani au unatafuta ujinga
 
Balozi wa Palestine nchini Tanzania Mh. Hamdi Mansour Abuali alimwe barua mara moja na kutimuliwa kama persona non grata

Balozi wa Palestina badala ya kwenda wizara ya mambo ya nje kutafuta kuungwa mkono na Tanzania anaamua kuugawa umma wa waTanzania kwa kwenda msikitini kuomba kuungwa mkono na sehemu ya jamii inayounda Tanzania.

Video hapa chini ikionesha Mh. Balozi Hamdi Mansour Abuali akiwa anafanya shughuli zinazohatarisha usalama wq nchi kinyume na mikataba ya Vienna protocol kuhusu kazi za balozi

View: https://m.youtube.com/watch?v=auOKnvgArZ8&pp=ygUSQmFsb3ppIHdhIHBhbGVzaW5h

Waarabu wanawachukulia kwa tahadhari kubwa wapalestina, lakini sisi waswahili tuna fuata mkumbo



Huyu balozi aitwe wizara ya mambo ya nje kuonywa kuacha kukosoa sera za mahusiano kimataifa za Tanzania kutoingilia upande wowote, aache kutaka kuchochea maandamano.

Balozi huyu wa Palestina hajui mipaka yake ya kidiplomasia, muda mwingi anataka kutuamrisha kufanya mambo yasiyokwenda na sera za nchi yetu kimataifa za diplomasia ya kiuchumi, watalii waje wengi kupitia Tanzania Royal Tour, wawekezaji,

Anaweza kutimuliwa kutokana na mienendo yake isiyokuwa ya cheo cha balozi . Kule Chad balozi alitimuliwa kwa kufanya kazi sizizo za kibalozi.

Gov't of Chad orders Gordon Kricke to leave country within 48 hours for 'non-respect of diplomatic customs', ministry says.
Le Monde.fr
https://www.lemonde.fr › 2023/04/10
Chad expels German ambassador, blaming 'impolite attitude'

10 Apr 2023 — The German ambassador to Chad, declared persona non grata by the government for his "impolite attitude", was

Takataka za mihemko 🤣🤣

Hamas Wana Balozi Tanzania? Hammas Wana Serikali? Hicho ni kikundi tuu Cha kigaidi.
 
umefika msibani au unatafuta ujinga
Punguza ujinga danganya wajinga wenzio hizo sura zote unaweza kuzoom uliona wapi Hamas wapo uso wazi ..


20231217_174410.jpg
 
Back
Top Bottom