Hope huko serikalini wamekerwa na Hamas kama watanzania tulivyokerwa na hiyo video.

Anything short of Tanzanian government denouncing support of Hamas, ni sawa na kututukana watanzania.

Kuna namna zingine nchi inaweza support Palestine diplomatically, but without Hamas in the equation ni genge la wahuni hilo.
 
Sioni sababu ya Tanzania kuendelea kuwa na ubalozi na urafiki wowote na nchi hizi mbili, inatosha sasa.
Lakini kwa sababu waliopoteza maisha ni wa Tanzania na si raia wa marekani basi hakuna kitakachosemwa.
 
Kwahiyo tufanyeje ? Tumia akili
 
M
Ila umeona hiyo chupi yenye rangi ya jeshi????? Hivi ungekuwa wewe ndiyo Mosad ukutane na raia kavaa nguo

Waislam wapo bilioni 2 sasa hivi ni
Dini inayokuwa kwa kasi mtapata ugonjwa wa moyo bure.
Hawa wote wameamua kwenda kuzimu then jehana...Yesu kristo ndio njia pekee ya uzima wa milele..Jesus Christ is the only way to heaven
 
Tushughulike na Hamasi ya Tanzania (ccm) ambayo ikiwa chini ya jiwe imeua akina Azory Gwanda, Ben Sa8, Akwilina na kuwapigia risasi akina Lisu,

Hamasi ya Tanzania (ccm) chini ya uongozi wa jiwe ikiwatumia akina Makonda, Gambo, Mnyeti, Hapi na Sabaya pia ilitesa, iliteka, ilipora, ilifilisi na kuua watu wengi sana.
 
Wewe sheria za kimataifa umeziona baharini tu huko Gaza huoni zikivunjika?
 
Acha mihemko mkuu. Vita ya kupigania uhuru wa palestina ilianza mwaka 1948 baada ya kuundwa kwa taifa Fake la Israeli na haijawahi kusimama . Tarehe 7 October ni mwendelezo tuu .

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazayuni wanapoka maeneo nyie mnalia mnafanya vita wajukuu wa mudi akili zenu ni kuendea chooni na kubong'oka msikitini jinga kabisa wewe
 
Nchi haiendeshwi hivyo Mkuu.

VITA NI USHETANI (KATAA VITA).

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Hiyo inaonesha wazi inayopigwa risasi maiti.


Mazayuni wamelikoroga wakaona bora watengeneze sinema kutafuta support.


Kwanini zaidi ya miezi miwili haijatoka itoke leo?

Hiyo staged kabisa.

Sidanganyiki kijinga.
Acha ushabiki na madini yenu Hayo ya Watu weupe.. Huyo huoni Kuwa Ni MTU mweusi akinyanyaswa.. Ndio Maana Warabu waliwatawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…