Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
What i can say is Tanzania tuna viongozi wanafiki na irresponsible.
Angekuwa Rais kafiri ungemsifu si huko kanisani ndio mnambiwa mkiona Rais Muislam mumuite dhaifu 😄

Nyie dawa yenu mpate dictator awatawale ndio mtapata adabu
 
Waisrael ni kama wana macho na mtazamo wa ziada, huenda kuna jambo walikuwa wanalotafiti
Mmh.. bado hainingii akilini mkuu kwasasa vita kwa asilimia kubwa pia inapiganwa mitandaoni. Tumekua tukioneshwa mauaji ya wapalestina na dunia nzima inajua. Israeli nae kwa upande wake anaonesha uovu wa Hamas je ni utafiti gani kwa maiti ya mtanzania mwenzetu kwa muda wote huo walikuwa wanaufanya wasituoneshe hii clip ? Je kwanini hawakutuambia? Serikali yetu idai majibu kutoka Israeli
 
Nasikitika sana naungana na wazazi wa Joshua Mollel kuhusiana na kifo cha mtanzania mwenzetu..

Yapo maswali na sintofahamu nyingi na utata kuhusiana na taarifa za kifo cha Joshua ambapo si vibaya sisi kama watanzania tukahoji ingawa marehemu hatorudi lakini tusiwe ni kizazi cha kupokea tu bila kuhoji tutakuwa wajinga. Yapo mambo mawili ambayo yanahitaji ufafanuzi hapa.

Mosi huyu mtanzania mwenzetu tulipata taarifa kuwa amechukuliwa mateka na Hamas huko Gaza lakini leo tumeoneshwa hapa kuwa aliuwawa na Hamas nadhani tarehe 7.10.2923 ndani ya mipaka ya israeli.

Pili kama aliuwawa tangu tarehe 7.10.2023 kwanini serikali ya Israeli haikutoa taarifa ya kuuwawa kwake hadi leo walipotuletea hii clip?

Mwisho kabisa hii clip imekuja baada ya balozi wa palestina hapa nchini kuhojiwa na kituo cha radio cha clouds FM je kuna nini nyuma ya pazia? Naomba tujadili bila jazba wa mihemko.

Natoa Pole za dhati sana kwa familia ya Joshua Miller na watanzania wote kwa pamoja kwa kumpoteza Mtanzania mwenzetu.
1.Ungeanza kusema ile clip inaonesha wauaji ni akina nani?
2. Je ni edited?
3. Maiti wakabidhowa Israel na Hamas ili waitolee taarifa?.
Acha kuhamisha goli tuwatuhumu isararl kwa kuchelewa kutoa taarifa na Hamas wabaki innocent kwa kumuuakijana mdogo* (junior youth)

Staki kuhisika kujadili ujinga
PERIOD
 
Tusikurupuke kama mazombie na kuanza kulalamika tu ni kweli mwenzetu amefikwa na mauti lakini lazima tuhoji. Hivi serikali ya Tanzania inaweza kumuita Balozi wa Israeli kumuhoji haya maswali ya msingi?
Kama swali gani? Raia wake wenyewe wameuawa. Rubbish
 
Hakuna maswali wala majibu yoyote yatakayo badili ukweli kwamba Hamas ni magaidi na wamemuua mtanzania mwenzetu.
Nimehamini Hamas ni magaidi,wanamuua mtu asiyehusika na Israel!Israel kuanzia sasa nitakutetea daima
 
Tunapaswa kuwa makini sana kama taifa, kuna viashiria vya watu kuupenda na kuunga mkono ugaidi. Utawaona kupitia michango yao kwenye mitandao ya kijamii. Ni dalili mbaya.

Hatupaswi kuwachekea watu wa namna hii, na huwa wanakuja na vijiswali vya kijinga kijinga wakijifanya wanaibua hoja.
Ww ni mpumbavu kwanza iulize serikali ya nchi yako iwapo itakuwa inaitambua Hamas kama kundi la kigaidi.
 
Maswali kuhusu mateka wa Tanzania yapo mengi kuliko hayo na mengine serikali yenyewe ingepaswa kuyatolea ufafanuzi
.Hawa watanzania walikwenda kusoma au walikwenda kufanya kazi mashambani au kazi nyengine za usafi majumbani .Kama walikwenda kusoma walipelekwa chuo gani cha kilimo.
Siku ya tarehe 7 oktoba walikuwa maeneo gani ya Israel.Isijekuwa walikamatwa ndani ya kambi za jeshi za Israel na hivyo Hamas wakawachukulia ni askari wa kawaida wa Israel.Kwa sababu kama hawakwenda kusoma yawezekana walikuwa ndani ya kambi wakifanya kazi nyengine.
Maswali hayo serikali inaweza kujibu kwa kushirikiana na balozi wa Tanzania nchini Israel au na balozi wa Israel nchini Tanzania.

I cringe with embarrasment from your sheer ignorance.
Kabla ya kujikuta mwanafalsafa unahoji, fanya research and have the facts. Yani huna hata basic facts afu unahiji upuuzi.

Kwa kuanzia hebu listen to this clip of a Tanzanian Survivor...then tuanzie hapo mjadala.

View: https://youtu.be/201-AkxoMbk?feature=shared
 
Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.

Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.

Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.

R.I.P mdogo wetu

View: https://t.me/beholdisraelchannel/24765

View: https://t.me/beholdisraelchannel/24766
 
Angekuwa Rais kafiri ungemsifu si huko kanisani ndio mnambiwa mkiona Rais Muislam mumuite dhaifu 😄

Nyie dawa yenu mpate dictator awatawale ndio mtapata adabu
UZuri wa dikteta hachagui dini wala sura au mashangazi mkileta fyoko fyoko mnajua moto wake
Baada ya kuondoka chuma mkarudi mitandaoni kubweka
 
Maswali kuhusu mateka wa Tanzania yapo mengi kuliko hayo na mengine serikali yenyewe ingepaswa kuyatolea ufafanuzi
.Hawa watanzania walikwenda kusoma au walikwenda kufanya kazi mashambani au kazi nyengine za usafi majumbani .Kama walikwenda kusoma walipelekwa chuo gani cha kilimo.
Siku ya tarehe 7 oktoba walikuwa maeneo gani ya Israel.Isijekuwa walikamatwa ndani ya kambi za jeshi za Israel na hivyo Hamas wakawachukulia ni askari wa kawaida wa Israel.Kwa sababu kama hawakwenda kusoma yawezekana walikuwa ndani ya kambi wakifanya kazi nyengine.
Maswali hayo serikali inaweza kujibu kwa kushirikiana na balozi wa Tanzania nchini Israel au na balozi wa Israel nchini Tanzania.

cringe with embarrasment from your sheer ignorance.

Back
Top Bottom