Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Yani hii thread nasoma huku I cringe with embarrasment from people's sheer ignorance.

Kabla ya kujikuta mwanafalsafa unahoji, fanya research and have the facts. Yani huna hata basic facts afu unahiji upuuzi.

Kwa kuanzia hebu listen to this clip of a Tanzanian Survivor...then tuanzie hapo mjadala.


View: https://youtu.be/201-AkxoMbk?feature=shared
 
Yani hii thread nasoma huku I cringe with embarrasment from people's sheer ignorance.

Kabla ya kujikuta mwanafalsafa unahoji, fanya research and have the facts. Yani huna hata basic facts afu unahiji upuuzi.

Kwa kuanzia hebu listen to this clip of a Tanzanian Survivor...then tuanzie hapo mjadala.


View: https://youtu.be/201-AkxoMbk?feature=shared
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Big NO! Haya ni mauaji ya kudhamiria na siyo vita. Mtu alikuwa katikati ya watu wenye bunduki, yeye hana hata jiwe, kwa nini amuue kinyama hivyo? Kwenye vita siku zote sheria ni kuwa hutakiwi kuua mtu asiye na silaha na haonyeshi upinzani. Halafu haya ni mauaji yaliyofanywa mwanzoni kabla hata haijawa vita. Anayejua lugha atutafsirie wanasemaje?
Dini Nyingi chanzo chake Ni Shetani,, Na mashetani Huwa yanafurahia Vifo
 
Wamechemkaje hebu elezea

Hao Palestine wanaohamishwa hamishwa kama mifugo toka 1948 na Israel anaejitawala nani kachemka
Sasa kama unajua kuwa walikuwa wana amishwa kama mifugo kinacho kufanya ww ukasirike wao wakitetea haki yao ni nn kama sio utahira?

Au ww ungehamishwa kama mifugo kama walivyo fanyiwa wapalestina ww ungefurahi?
 
Kwahiyo tangu tarehe 7 huu mwili ulikuwa wapi?? Je aliyerikodi hii video ninani? Je Israeli wameipataje hii clip? Je kwanini mwanzo tuliambiwa ametekwa na Hamas na kuwa yupo Gaza? Tunahitaji majibu.
Kamulze waziri wako wa mambo ya nje ana taarifa zote mpaka mzazi wa kijana atakuwa yuko huko kufuata mwili wa mwanae
Rc feki na kilaza wa jf
 
Kituo cha Telegram cha South First Responders cha Israel kimetoa video mbili zinazomuonyesha Mtanzania Joshua Molel akikamatwa na kuuawa na kundi la Hamas la Palestina nchini Israel tarehe 7/10/2023.

TIZAMA

View: https://youtu.be/_fS15OrGVXg

Joshua Mollel, mwanafunzi mwenye umri wa miaka 21 kutoka Tanzania, Afrika Mashariki, alikuja Israel katika mpango wa kubadilishana kilimo.

Wiki hii, ilithibitishwa kwamba aliuawa mikononi mwa Hamas, na kwamba mwili wake bado unashikiliwa huko Gaza na magaidi.

Hivi karibuni tutafichua picha zisizoonekana za mauaji yake tarehe 7 Oktoba.

Tunakuonya kuwa kile unachokaribia kuona ni cha picha sana.

Mnamo tarehe 7 Oktoba, magaidi wa Hamas walijirekodi wakimpiga na kumtusi Joshua katika dakika zake za mwisho, karibu na Kibbutz Nahal Oz, eneo la mauaji ya kutisha zaidi ya siku hiyo.

Serikali ya Israel na Tanzania ilitangaza kuwa Watanzania wawili waliokwenda kupata mafunzo ya kilimo waliuawa na Hamas. Ni video chungu lakini ndivyo mambo yalivyo katika uwanja wa vita.

Tanzania ni mhanga wa vita vyote viwili vilivyotokea mwaka huu, Russia na Ukraine tumempoteza Mtanzania mmoja, na Israel tumepoteza Watanzania wawili. Sisi kama sehemu ya ulimwengu tunahitaji kuhimiza kukomesha vita na mazungumzo ya kidiplomasia kuhusu masuala haya.
 
I cringe with embarrasment from your sheer ignorance.
Kabla ya kujikuta mwanafalsafa unahoji, fanya research and have the facts. Yani huna hata basic facts afu unahiji upuuzi.

Kwa kuanzia hebu listen to this clip of a Tanzanian Survivor...then tuanzie hapo mjadala.


View: https://youtu.be/201-AkxoMbk?feature=shared

Hii clip ipo too general mkuu. Tuwe specific kwenye tukio la joshua kama unaweza Fanya summary.
 
Nimeangalia hiyo video kwakweli inauma sana
Nashindwa kuelezea kwenye uandishi apa kiasi gani nimeumia lakini inauma sana kuona jinsi walivyomfanya kijana wetu


Kuna yule muarabu alikuwa anamkalipia kwa hasira sana as if Joshua ni muisraeli,[emoji3064][emoji3064]
20231217_193120.jpg
 
Dah this is too much,this is too emotional mkuu,sote msiba umetuumiza lakini jizuie kusema baadhi ya maneno mkuu.

Hao jamaa wauwaji wamezingua sana,kama watanzania tulaani matendo haya.

Lakini pia waisilamu tunatakiwa kulaani pia kwa sababu walioyafanya haya kwa dhahiri ni waisilamu,hivyo tunatakiwa kukemea kwani uisilamu hautaki hivyo.

Wale wanaotetea watambue kwamba jamaa hakuna na silaha yoyote,alikuwa ni mja dhaifu asiyeweza kuwashambulia.

UKristo wake haikuwa sababu ya kumuua kwa sababu hata mtume aliishi na wasiokuwa waisilamu kwa amani.

Mtume huyo huyo alisisitiza kwamba hata mkienda vitani mkiwakuta wasiokuwa waisilamu wanafanya ibada zao muwaache msiwaguse,mnatakiwa mudili na wale wanaokupigeni tu.

hili ni tukio bovu sana na ovu sana
RIP Banu Nadir, RIP Khaibar, RIP Banu Qureysh. Ila unaonekana wewe kidogo una utu. Sijui about the prophet kuishi kwa amani
 
Nahisi huenda kulikuwa na masuala ya kidiplomasia yalizingatiwa na hasa kwa nchi kama yetu ambayo mara nyingi huwa haitoi matamko
inawezekana labda. Lakini ni ngumu kuamini israeli wakae na clip ya tukio baya kama hili la Hamas tangu tarehe 7 oktoba hadi leo hii Desemba 17 .hii haingii akilini kwa mtu mwenye akili timamu.
 
inawezekana labda. Lakini ni ngumu kuamini israeli wakae na clip ya tukio baya kama hili la Hamas tangu tarehe 7 oktoba hadi leo hii Desemba 17 .hii haingii akilini kwa mtu mwenye akili timamu.
Sina uhakika sana, ila huenda aliyerekodi alikuwa Hamas na wao waisrael wamechelewa kuipata toka ilikokuwa
 
Upumbavu wangu upi? Kwani Mollel yeye alijua madhara ya kuvaa chupi ya kijeshi??? Hata yeye hatuwezi kumhukumu kwa sababu alikuwa hajui pia. Ila Israel ndiyo inapaswa kulaumiwa. Walipaswa wawape elimu ya ulinzi binafsi kabla ya kuanza kazi. Kijana kafa kifo cha mazingira ya kujitakia bila kujua.
Huwezi ukawa chawa mama alafu ukawa na akili. Jimama la hovyo kuwahi kulishuhudia
 
Haya sasa wapi religion of peace. Mimi kinachonikera mpaka rohoni ni kwamba ukienda sehemu kama Pakistan kwa mfano au hata Nigeria wakisikia mtu kamkufuru Mtume wao huwa wanapatwa na hasira za kipepo za kuandamana kwa hasira zote kutaka auwawe ila mtu akiuwa na kusema allahuakbar hizi hasira hazipo. Huu ukweli usemwe kwa sauti. Enyi wenye dini someni maandiko haya. Haya maandiko ni maagizo kutoka kwa Allah ili muende katika njia iliyonyooka ila Haina shida kuwaita wayahud nyani na nguruwe. This is not okay jamani. Surat At Tawbah ni People of the book tu. Kwani People of the book wamemfanyaje Allah (swt) kwani ana bifu gani? Au kisa AL kitab hawataki kukubali Deen ya kweli?
 
Narudia, Waislamu wote duniani ni magaidi na wapumbavu hivyo wanapaswa kuuawa ili dunia iweze kuwa sehemu salama.
Utakufa utauacha Uislam. Tena Dini inayokuwa kwa kasi. Unajiumiza bure tu. Hamtoweza kuifuta Dini hii tukufu.

Vitimbi vyenu havitashinda. Na Allah ni Mbora wa wenye kuweka mipango.

1702848282297.png


Tamim al-Dari reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “This matter will certainly reach every place touched by the night and day. Allah will not leave a house or residence but that Allah will cause this religion to enter it, by which the honorable will be honored, and the disgraceful will be disgraced. Allah will honor the honorable with Islam, and he will disgrace the disgraceful with unbelief.”

Source: Musnad Aḥmad 16957


Namuomba Allah uwe miongoni mwa watu watakaopata neema ya kuingia katika Dini hii tukufu na kufa ndani yake. Ameen.
 
Back
Top Bottom