Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
You can’t predict the future, but you can influence the outcome if you are prepared to do something.

Hata kama unaunga mkono free Palestine state na whatever methods they use; kitendo cha kuona mtoto wako asie na hatia kuuwawa vile na genge la wahuni lazima uweke mipaka.

Tanzania has to denounce Hamas wameshatuonyesha ni watu wa aina gani, na lazima itumie regional politics kupata community support kukikana hiko kikundi.

Haina maana atuwezi support democratic movements zingine za Palestine free state, hila kwa Hamas shortfall of denouncing that group as a terrorists group kwa hiyo video ni kutukosea watanzania.

Hata huyo mtoto wetu mwingine god forbid video ya kifo chake ikija akitokuwa tofauti.
 
dogo hana baya na yeyotee....walivomfanyiaa sasaa!!
20231217_233214.jpg

FB_IMG_1702848882520.jpg
FB_IMG_1702848879776.jpg
 
Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.

Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.

Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.

R.I.P mdogo wetu
Binafsi nachukia hizi takataka zinaitwa DINI, nna miaka almost 12 sitaki kujihusisha kabisa lakin sijawa na huu moyo wa kikatili...ntasoma gazeti la SANI lakini sitapungukiwa na kitu
 
Balozi wa palestina tz anasemaje

Media zimfate zimhoji

Ova
 
Nasikitika sana naungana na wazazi wa Joshua Mollel kuhusiana na kifo cha mtanzania mwenzetu..

Yapo maswali na sintofahamu nyingi na utata kuhusiana na taarifa za kifo cha Joshua ambapo si vibaya sisi kama watanzania tukahoji ingawa marehemu hatorudi lakini tusiwe ni kizazi cha kupokea tu bila kuhoji tutakuwa wajinga. Yapo mambo mawili ambayo yanahitaji ufafanuzi hapa.

Mosi huyu mtanzania mwenzetu tulipata taarifa kuwa amechukuliwa mateka na Hamas huko Gaza lakini leo tumeoneshwa hapa kuwa aliuwawa na Hamas nadhani tarehe 7.10.2923 ndani ya mipaka ya israeli.

Pili kama aliuwawa tangu tarehe 7.10.2023 kwanini serikali ya Israeli haikutoa taarifa ya kuuwawa kwake hadi leo walipotuletea hii clip?

Mwisho kabisa hii clip imekuja baada ya balozi wa palestina hapa nchini kuhojiwa na kituo cha radio cha clouds FM je kuna nini nyuma ya pazia? Naomba tujadili bila jazba wa mihemko.

Natoa Pole za dhati sana kwa familia ya Joshua Miller na watanzania wote kwa pamoja kwa kumpoteza Mtanzania mwenzetu.
mkuu hii clip ni Hamas wenyewe ndio waliipost leo kwenye telegram channel yao. Na ni wao ndo waliifilm
 
...afu clip imekatwakatwa vipande.

Aya mambo ya vita + hizi media Acha kabisa...

Anyway vita ni vita haichagui wapi pa kupiga na yupi.....imesomba vitoto,vizee,wagonjwa na vijana wengi uko Palestina
Ni Hamas wenyewe ndio waliifilm iyo clip wakaipost kwenye telegram channel yao na ndio hapo ilipopatikana
 
Balozi wa palestina tz anasemaje

Media zimfate zimhoji

Ova
Kwani hiyo picha ni Palestina hiyo?

Hivi macho yenu hayaoni au mnajitia wazimu tu kwa kuwa wajomba wa mungu wenu wanachezea kichapo?
 
TUMIA AKILI

Sio kila mada/topic/jambo unaloliona kwa macho yako ndivyo lilivyo, kiuhalisia linaweza kuwa tofauti kabisa.

Kuna matukio unapoyaona hutakiwi kutanguliza hisia kuya judge, bali akili tu, unapotumia hisia&mihemko unaharibu sehemu ya akili kulitafakali hilo jambo.

The same kwa Tukio hili waTanzania tulitakiwa kutumia akili na sio hisia ili tujue ukweli na undani wa hilo tukio ka kifo.

Dunia ya leo mambo hayatokei kwa bahati mbaya, kuna matukio yanapikwa then yanaachiliwa wazi na kila mtu atatafsiri matukio hayo kulingana na uwezo wa akili yake kuchanganua mambo.

Kuna watakao tumia hisia ambao kwa ulimwengu wa sasa hawa ndio main Target ya mpika matukio maana hawa kwa population ni more than 90% ya watu na hawa ndio wale wasio chambua mambo wala kuyatafakali zaidi ya kuendeshwa na mihemko na hisia kali zinazozalishwa baada ya kuliona tukio ambalo mpikaji alipenda liwe hivyo na lilete matokeo gan kwa jamii baada ya kuona hilo tukio.

Kuna asilimia ndogo sana ya watu ambao hayo matukio yanayoibuka dunian hata yapikwe vipi hayawaendeshi kutumia hisia&mihemko maana wanajua michezo yote ya wajanja.

Anaecontrol media ndiye anaecontrol mienendo mizima ya matukio iwe vipi, na kuteka attention ya watu kiasi gani wakubaliane na ujumbe wa tukio.

Back to topic, kwa anaetumia akili tu na sio mwenye mihemko, ukiitizama hiyo video inaleta maswali mengi na kuibua viulizo kuhusu undani wa kinacholazimishwa kuaminisha watu waamini ndivyo au sio.

[emoji117] labda kinyonga aliponzwa na rangi yake ndipo balaa likampata(kijana huyo huenda hakuwa na tatizo lolote na hao wanaosemekana ni Hamas lkn kwakuwa tu ni mweusi, kama ijulikanavyo watu weusi hawapendwi dunian, hivyo rangi yakeikamponza.

[emoji117] labda nguo yake ya ndani aliyovaa(boksa) yenye rangi ya kijeshi ilimponza kwa kuwafanya hao wanaosemekana ni Hamas kumfyeka kwa kuamini ni miongon mwa mwanajeshi wa kiisrael.

[emoji117]labda nae alikuwa sehemu ya jeshi la siri/mpelelezi kutoka israel ndiomaana kifo kikampata, haimake sense mtu wa kawaida tu kumiliki jezi/vazi la kijeshi.

[emoji117]labda hilo ni tukio la kupikwa na waisrael wenyewe kwa kutafta uungwaji mkono na mataifa yasiyowasapoti kwa kujenga chuki dhidi ya palestina na wanamgambo wa Hamasi, kwa kuua baadhi ya raia wa nchi zisizo isapoti israel na kusingizia ni hamasi wamefanya matukio hayo.

[emoji117]labda ni kweli ni Hamas wametenda hilo tukio lakin bado kunaibuka maswali, haiwezekan raia wa kawaida asiye na siraha wala mjeshi wa kiisrael kuuliwa kinyama vile itakuwa kuna viashiria fulani walivyoviona kutoka kwa huyo raia na kuhisi hatari au mamluki wa kiisrael na hapa tunarudi kule kule kwenye viashiria vya kipelelezi/mamluki kupitia vazi la jezi ya kijeshi au chuki tu ya kibaguzi wa rangi.

Tukio hilo litizamwe kiumakini kwa akili timamu na sio hisia ili tusibase kwenye mihemko na kujikuta tunasapoti ujinga ambao umepikwa na mpikaji katimiza ajenda zake za kueneza chuki.

Hii ni kwaajili ya wenye akili tu na sio vilaza
 
Tumieni akli kidogo, mliambiwa kashikwa na Hamas, sasa leo vipi tena?
Ndio hata mwili bado watumwa wa Allah wameushikiria kutimiza nguzo za shetani... maana haramu nyie mashetani human animal.. inabidi Zamu ya saudia ikifika ni kufumua kaaba black stone na kumtoa shetani na kumchoma moto uwe mwisho wenu shenz mlilaaniwa muwe wajinga
 
Ile picha ni uongoi mtupu, hakuna watu wanaocheza na media kwa kuwajaza watu ujinga kama wayahudi.

Ikiwa wamewaza kuwajaza ujinga watu kwa miaka zaidi ya 2,000 kuwa wao ni wajomba wa mungu wao, tuseme nini zaidi?
 
Ndio hata mwili bado watumwa wa Allah wameushikiria kutimiza nguzo za shetani... maana haramu nyie mashetani human animal
Wewe huyo kauliwa na wajomba wa Mungu zenu, kwanza hiyo picha kwanini itoke sasa?

Nani kaitowa?

Wacheni ujinga, miaka zaidi ya 2000 mazayuni hao wanawaaminisha wao wajomba wa mungu zenu hamstuki basi hata huo ujinga mliotumiwa nao hamstuki?
 
Hata ingetoka lini, haibadili ukweli Hamas walimuuq
 
Nasikitika sana naungana na wazazi wa Joshua Mollel kuhusiana na kifo cha mtanzania mwenzetu..

Yapo maswali na sintofahamu nyingi na utata kuhusiana na taarifa za kifo cha Joshua ambapo si vibaya sisi kama watanzania tukahoji ingawa marehemu hatorudi lakini tusiwe ni kizazi cha kupokea tu bila kuhoji tutakuwa wajinga. Yapo mambo mawili ambayo yanahitaji ufafanuzi hapa.

Mosi huyu mtanzania mwenzetu tulipata taarifa kuwa amechukuliwa mateka na Hamas huko Gaza lakini leo tumeoneshwa hapa kuwa aliuwawa na Hamas nadhani tarehe 7.10.2923 ndani ya mipaka ya israeli.

Pili kama aliuwawa tangu tarehe 7.10.2023 kwanini serikali ya Israeli haikutoa taarifa ya kuuwawa kwake hadi leo walipotuletea hii clip?

Mwisho kabisa hii clip imekuja baada ya balozi wa palestina hapa nchini kuhojiwa na kituo cha radio cha clouds FM je kuna nini nyuma ya pazia? Naomba tujadili bila jazba wa mihemko.

Natoa Pole za dhati sana kwa familia ya Joshua Miller na watanzania wote kwa pamoja kwa kumpoteza Mtanzania mwenzetu.
Mkuu, hii makala yako pamoja na maswali yote uliyohoji humu ni matokeo ya kuathirika kwako na kushiriki sana kwenye mijadala ya kushabikia vita.

Nchi zilizo vitani zenyewe ndizo zinajua sababu za kuchelewa ama kuwahi kutoa taarifa, ila video inaonesha alitekwa na Hammas akiwa hai na akaachwa akiwa mfu.

Kuanza kutengeneza makala za maswali ya kupaka mafuta unyama ule ni kukosa utu na heshima kwa Watanzania wenzako walio kwenye maumivu.

Kama huwezi kusikitika nasi ambao tumefiwa, basi usishiriki kutuumiza kwa Kuona kifo cha mpendwa wetu ni sehemu ya kuchezesha maneno kimijadala.

Tuache kwanza hii taswira ya tukio lile la kinyama itoke vichwani mwetu, kisha uendelee na huo ushabiki wako wa vita. Tunakuomba sana.

Ova
 
Ile picha ni uongoi mtupu, hakuna watu wanaocheza na media kwa kuwajaza watu ujinga kama wayahudi.

Ikiwa wamewaza kuwajaza ujinga watu kwa miaka zaidi ya 2,000 kuwa wao ni wajomba wa mungu wao, tuseme nini zaidi?
Kuna uwezekano mkubwa hilo ni tukio la kutengenezwa kwa target za kuwajaza watu chuki dhidi ya palestina&hamas pili kutafuta uungwaji mkono wa watu kuisapoti israel kwa kile inachokifanya.
 
TUMIA AKILI

Sio kila mada/topic/jambo unaloliona kwa macho yako ndivyo lilivyo, kiuhalisia linaweza kuwa tofauti kabisa.

Kuna matukio unapoyaona hutakiwi kutanguliza hisia kuya judge, bali akili tu, unapotumia hisia&mihemko unaharibu sehemu ya akili kulitafakali hilo jambo.

The same kwa Tukio hili waTanzania tulitakiwa kutumia akili na sio hisia ili tujue ukweli na undani wa hilo tukio ka kifo.

Dunia ya leo mambo hayatokei kwa bahati mbaya, kuna matukio yanapikwa then yanaachiliwa wazi na kila mtu atatafsiri matukio hayo kulingana na uwezo wa akili yake kuchanganua mambo.

Kuna watakao tumia hisia ambao kwa ulimwengu wa sasa hawa ndio main Target ya mpika matukio maana hawa kwa population ni more than 90% ya watu na hawa ndio wale wasio chambua mambo wala kuyatafakali zaidi ya kuendeshwa na mihemko na hisia kali zinazozalishwa baada ya kuliona tukio ambalo mpikaji alipenda liwe hivyo na lilete matokeo gan kwa jamii baada ya kuona hilo tukio.

Kuna asilimia ndogo sana ya watu ambao hayo matukio yanayoibuka dunian hata yapikwe vipi hayawaendeshi kutumia hisia&mihemko maana wanajua michezo yote ya wajanja.

Anaecontrol media ndiye anaecontrol mienendo mizima ya matukio iwe vipi, na kuteka attention ya watu kiasi gani wakubaliane na ujumbe wa tukio.

Back to topic, kwa anaetumia akili tu na sio mwenye mihemko, ukiitizama hiyo video inaleta maswali mengi na kuibua viulizo kuhusu undani wa kinacholazimishwa kuaminisha watu waamini ndivyo au sio.

[emoji117] labda kinyonga aliponzwa na rangi yake ndipo balaa likampata(kijana huyo huenda hakuwa na tatizo lolote na hao wanaosemekana ni Hamas lkn kwakuwa tu ni mweusi, kama ijulikanavyo watu weusi hawapendwi dunian, hivyo rangi yakeikamponza.

[emoji117] labda nguo yake ya ndani aliyovaa(boksa) yenye rangi ya kijeshi ilimponza kwa kuwafanya hao wanaosemekana ni Hamas kumfyeka kwa kuamini ni miongon mwa mwanajeshi wa kiisrael.

[emoji117]labda nae alikuwa sehemu ya jeshi la siri/mpelelezi kutoka israel ndiomaana kifo kikampata, haimake sense mtu wa kawaida tu kumiliki jezi/vazi la kijeshi.

[emoji117]labda hilo ni tukio la kupikwa na waisrael wenyewe kwa kutafta uungwaji mkono na mataifa yasiyowasapoti kwa kujenga chuki dhidi ya palestina na wanamgambo wa Hamasi, kwa kuua baadhi ya raia wa nchi zisizo isapoti israel na kusingizia ni hamasi wamefanya matukio hayo.

[emoji117]labda ni kweli ni Hamas wametenda hilo tukio lakin bado kunaibuka maswali, haiwezekan raia wa kawaida asiye na siraha wala mjeshi wa kiisrael kuuliwa kinyama vile itakuwa kuna viashiria fulani walivyoviona kutoka kwa huyo raia na kuhisi hatari au mamluki wa kiisrael na hapa tunarudi kule kule kwenye viashiria vya kipelelezi/mamluki kupitia vazi la jezi ya kijeshi au chuki tu ya kibaguzi wa rangi.

Tukio hilo litizamwe kiumakini kwa akili timamu na sio hisia ili tusibase kwenye mihemko na kujikuta tunasapoti ujinga ambao umepikwa na mpikaji katimiza ajenda zake za kueneza chuki.

Hii ni kwaajili ya wenye akili tu na sio vilaza
Ungeona footage za tarehe 7 Hamas walivyoshambulia watu kwenye tamasha la muziki usingekuja na huu upupu
 
Back
Top Bottom