johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Duhtetea ao mbwa wenzako
umefika msibani au unatafuta ujingaEti dogo kaenda kusoma sawa ila angalia script, kwanz walisema katekwa tangu oktoba 7.
Sasa angalia Kama ndio yeye alikuwa na baiskeli ,uliona wapi wapiganiji wa Hamas wakawa wazi wazi tena kipind cha tensiona kama haswa oktoba 14 ? Hao wanafunika nyuso zao.
Dogo kavaa boxer ya jeshi👇
View attachment 2845307
Hao ndio Hamas yaani wamevaa wazi hivyo?
View attachment 2845308
Takataka za mihemko 🤣🤣Balozi wa Palestine nchini Tanzania Mh. Hamdi Mansour Abuali alimwe barua mara moja na kutimuliwa kama persona non grata
Balozi wa Palestina badala ya kwenda wizara ya mambo ya nje kutafuta kuungwa mkono na Tanzania anaamua kuugawa umma wa waTanzania kwa kwenda msikitini kuomba kuungwa mkono na sehemu ya jamii inayounda Tanzania.
Video hapa chini ikionesha Mh. Balozi Hamdi Mansour Abuali akiwa anafanya shughuli zinazohatarisha usalama wq nchi kinyume na mikataba ya Vienna protocol kuhusu kazi za balozi
View: https://m.youtube.com/watch?v=auOKnvgArZ8&pp=ygUSQmFsb3ppIHdhIHBhbGVzaW5h
Waarabu wanawachukulia kwa tahadhari kubwa wapalestina, lakini sisi waswahili tuna fuata mkumbo
Huyu balozi aitwe wizara ya mambo ya nje kuonywa kuacha kukosoa sera za mahusiano kimataifa za Tanzania kutoingilia upande wowote, aache kutaka kuchochea maandamano.
Balozi huyu wa Palestina hajui mipaka yake ya kidiplomasia, muda mwingi anataka kutuamrisha kufanya mambo yasiyokwenda na sera za nchi yetu kimataifa za diplomasia ya kiuchumi, watalii waje wengi kupitia Tanzania Royal Tour, wawekezaji,
Anaweza kutimuliwa kutokana na mienendo yake isiyokuwa ya cheo cha balozi . Kule Chad balozi alitimuliwa kwa kufanya kazi sizizo za kibalozi.
Gov't of Chad orders Gordon Kricke to leave country within 48 hours for 'non-respect of diplomatic customs', ministry says.
Le Monde.fr
https://www.lemonde.fr › 2023/04/10
Chad expels German ambassador, blaming 'impolite attitude'
10 Apr 2023 — The German ambassador to Chad, declared persona non grata by the government for his "impolite attitude", was
kwani hapo ameuwawa na dini, au aneuwawa na Hamas?Wew mama ni mtu mzima usitake matusi saiz jioni. Hiyo dini yenu ya kigaidi inawaondoa mpaka akili. Jinga kabisa
Very stupid arguments!Tumieni akli kidogo, mliambiwa kashikwa na Hamas, sasa leo vipi tena?
Waarabu ni wabaguzi sana kwa watu weusi, kwao mtu mweusi ni laana na si dhambi kumdhuruHivi Hawa Hamas wanafanya haya kumkomoa nani? Huyo mtu ni Muizrael? Inasikitisha sana.
Waulize hilo swali eti halafu ni Oktoba 7 ambapo vita imepamba moto ,hata ukisema alikuwa israel mashambani jiulize hao Hamas wana ubavu wa kuwafuata israel kweny ardhi yao🤣🤣.Hivi alienda kufanya nini Palestina?
This is very painful, ata kwa muonekano tu alionesha sio mtu wa huko Israel ! Hawa Hamas walimuua wakijua kabisa sio adui Yao ! Kwani sisi waTZ tuna ugomvi nao mpaka watuulie ndugu yetu vibaya hivi ?? Then kuna waTZ sijui wana tumia akili gani kuimba pray for Hamas! They should rote in hell ! Magaidi wakubwa
Nendeni mkalime si mumesema Kuna mashamba huko?Waarabu ni wabaguzi sana kwa watu weusi, kwao mtu mweusi ni laana na si dhambi kumdhuru
Duh au unatania?Kuuliwa kuko wapi hapo?
Punguza ujinga danganya wajinga wenzio hizo sura zote unaweza kuzoom uliona wapi Hamas wapo uso wazi ..umefika msibani au unatafuta ujinga
DohPunguza ujinga mashamba wanayofanyia field yapo Gaza au ndani ya israel ?
Hamas hawajawahi kuvuka mpaka na kuingia israel baada ya oktoba 7.
Hamas waache sura zao nje hivyo ?
View attachment 2845310
🤮🤮🤮🤮Si mlisema kashikwa mateka?
Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.
Hollywood hiyo.