Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
uko sahihi kabisa.... Pale Israeli na Palestina ni kama NO GO ZONE tu, kifupi lolote linaweza kutokea upande wowote na lazima utegemee vitu kama vile.

wanasema wamakonde "charity begin at home"
 
Ile scanario ya kutekwa wengi wanadai palikuwa na Tamasha mambo ya show na hapo palikuwa na raia wa kigeni kibao .

Hata rocket za Hamas ziliua watu wachache na inakadiriwa mateka 200 na kitu walichuliwa ni kutokana na yule dogo aliyetoa ushuhuda ni Mtanzania ..

Inakuwaje pawe na special treatment wote wachukuliwa vizuri halafu huyu wamammalize na mwili wake waondoke nao ,mpaka sasa wanasema mwili upo kwa Hamas sasa ngoja tuone?

Kumbuka HAMAS walisharelease mateka kweny batch ya kwanza ,sasa iwejw wabaki na maiti!?
Hiyo ishu ya part..Israel ndo waliwauwa hao watu kwa chopa siyo Hamas wala Wapalestina waliowauwa..na Israel walikiri baada ya video za tukio kuvuja..coz wapalestina hawana chopa sasa hii chopa inauofanya air raid ni ya nani ...ndo wakakiri hapo..otherwise zigo walishatwishwa palestina.
 
Ninyi mtusaidie tuu hayo maneno wanayotamka kwenye hiyo video kwa hilo lugha mnayotumia ninyi na majini mnayosema ni ya mnyaaaaanzi anayependa damu za watu kwa kuamrisha wafuasi wake wachinje wanyama na watu ili ile damu ainywe yeye. Hayo mengine tutamlilia Jehova shami atashugulika na huyu mpenda kafara za ddmu za watu
Lugha yeyote anaweza jifunza
 
Kupigwa bomu kwa AZROY NGWANDA nani aliywajibishwa? Au kupaza sauti au hadi nao tungeona video zao
Eti Azoru alipigwa bomb? Wapi? Huyu tunajua alipotezwa na utawala wa mabavu wa CCM, lakini hakupigwa bomu
 
Kiukweli kuhusu ile video mimi hata sijaona panapohitaji kusikitika naona jamaa amefariki fair tu kisitumiize kuona VIDEO ya MAUAJI yake tena naona ameuwawa kawaida sana walimuhurumia

Je umeshawahi kujiuliza mfano tungeona VIDEO ya MAUAJI ya ALPHONCE MAWAZO CHEMU tungejisikiaje nani alipaza sauti mawazo alipouwawa kule busanda?

Kupotea kwa BEN SAANANE nani aliyehoji aliko? Na serikali ilichukua hatua gani?

Kupigwa bomu kwa AZROY NGWANDA nani aliywajibishwa? Au kupaza sauti au hadi nao tungeona video zao

WATANZANIA TUACHE UNAFIKI LIKITOKEA NCHINI KWETU TUNAKUWA WAKIMYA YAKIWATOKEA WENGINE MNATOLEA MACHO
Wejamaa hujielewi, hojazako ni za kipumbavu sana.

Hakuna mtu anaeumizwa alafu watu wakakaa kimya.
Hao wote ulio wataja watu wanapazasauti zao humu kila wakati na sio haotu wapo wengitu wengi tu walioumizwa na watu wanawalilia.

Niujinga kufikiri sehemu hisiazako zilipo basi na kilamtu anahisi sawasawa na wewe.
Ndio maana utaona mahali flani kunamsiba watu wanalia na wengine wanakula bata.
Maisha yapo hivyo.
Ukitaka kilamtu alie na wewe, acheke na wewe then utakuwa kichaa.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Atafanya hekima yao kuwa upumbavu

Mnaondelea kubishaa mnasikitisha
 
Google picha za ALPHONCE MAWAZO aliyouwawa kwenye nchi yake au yeye hakuwa mtoto wa mtu?

Your level of stupid is very good and surprising

Tunalala kitanda kimoja mpaka ukadirie uchungu wangu katika matukio?

This is a young boy in a foreign country, killed by terrorists, hata mwili wake haujulikani ulipo, wa Mawazo tulikuwa nao, na aliuwawa kwa ujinga na mihemko ya police.

This is a pre meditated murder, planned and well executed, Dogo kauwawa eti, in a foreign land, surrounded by terrorists, very bad experience, his last few seconds were the hardest.
 
Si mlisema kashikwa mateka?

Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.

Hollywood hiyo.
Hivi we mwanamke una akili timamu kweli? Mapemzi yako na dini yako ndio yanakufanya unakua mtumwa wa kifikra namna hii? Acheni kutetea ugaidi mavi nyie mnakera sana. Hebu rudini kwenye sense zenu muanze kufikiri kama binadamu mmekua wanyama sana😡😡
 
Kiukweli kuhusu ile video mimi hata sijaona panapohitaji kusikitika naona jamaa amefariki fair tu kisitumiize kuona VIDEO ya MAUAJI yake tena naona ameuwawa kawaida sana walimuhurumia

Je umeshawahi kujiuliza mfano tungeona VIDEO ya MAUAJI ya ALPHONCE MAWAZO CHEMU tungejisikiaje nani alipaza sauti mawazo alipouwawa kule busanda?

Kupotea kwa BEN SAANANE nani aliyehoji aliko? Na serikali ilichukua hatua gani?

Kupigwa bomu kwa AZROY NGWANDA nani aliywajibishwa? Au kupaza sauti au hadi nao tungeona video zao

WATANZANIA TUACHE UNAFIKI LIKITOKEA NCHINI KWETU TUNAKUWA WAKIMYA YAKIWATOKEA WENGINE MNATOLEA MACHO
Shingo haipiti kichwa
 
Si mlisema kashikwa mateka?

Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.

Hollywood hiyo.
Hapa ndipo naposema niko sahihi kuwaita nyie Waislamu kuwa n wapumbavu na wanafiki, kwahy unaamini Wayahudi ndio wamemuua lkn Hutaki kuamini Waarabu ndio wamemuua.?
 
Wewe jamaa umekosa ubinadamu sababu siasa zimekuingia sana akilini.
Hujaona kelele zilizopigwa humu mitandaoni na baadhi ya magazeti na majukwaa ya mikutano mbalimbali juu ya vifo vya ulio wataja?
Sasa kwanini unataka tusilaani na kifo Cha huyu dogo Joshua?
 
Wewe hakuna Hamas wala Muislam hapo, ni staged kabisa.

Uongo mtupu huo.
Wewe ni poyoyo na punguani wa mwisho na uzao wako sijui unafaidika nini na uwepo wako. Lwa akili hizi unamfumdisha nini mjukuu wako wewe?

Mkizeeka ndio mnakua majinga kiasi hiki kweli? Shenzi kabisa
 
Kiukweli kuhusu ile video mimi hata sijaona panapohitaji kusikitika naona jamaa amefariki fair tu kisitumiize kuona VIDEO ya MAUAJI yake tena naona ameuwawa kawaida sana walimuhurumia

Je umeshawahi kujiuliza mfano tungeona VIDEO ya MAUAJI ya ALPHONCE MAWAZO CHEMU tungejisikiaje nani alipaza sauti mawazo alipouwawa kule busanda?

Kupotea kwa BEN SAANANE nani aliyehoji aliko? Na serikali ilichukua hatua gani?

Kupigwa bomu kwa AZROY NGWANDA nani aliywajibishwa? Au kupaza sauti au hadi nao tungeona video zao

WATANZANIA TUACHE UNAFIKI LIKITOKEA NCHINI KWETU TUNAKUWA WAKIMYA YAKIWATOKEA WENGINE MNATOLEA MACHO
Lakini tukumbuke kwamba kosa Huwa haliuwawi kwa kosa...
 
Umekosea sana katika kujenga mada yako. Kuna fundisho kuwa huwezi kwenda juu kwa kumrudisha chini aliye juu, inabidi wewe upande juu zaidi yake. Kudharau kuuawawa kwa huyo kijana wa kitanzania huku akidhalilishwa kwa kupigwa video na hao maharamia ambao wamesababisha amani ivurugike siyo j\ni jambo la kawaida ni kukosa busara sana. Ni nani mwewingine aliyeuwawa hivyo na watu wa namna hiyo. Ungetafuta lugh nzuri ya kuhuji ben saanana bila kuhusisha na unyama aliofanyiwa kijano huyo. Yaani unataka ku-downgrade ubaya aliofanyiwa mbele ya dunia ili kukuza unaona wewe kuwa ndio ubaya zaidi ambao hakuna video ya kulinganisha bali speculations tu.
Hana akili, ana halalisha ujinga kuelezea point muhimu. Point anayo ila amehalalisha point yake kwa kuongea pumba.
 
Nasikitika sana naungana na wazazi wa Joshua Mollel kuhusiana na kifo cha mtanzania mwenzetu..

Yapo maswali na sintofahamu nyingi na utata kuhusiana na taarifa za kifo cha Joshua ambapo si vibaya sisi kama watanzania tukahoji ingawa marehemu hatorudi lakini tusiwe ni kizazi cha kupokea tu bila kuhoji tutakuwa wajinga. Yapo mambo mawili ambayo yanahitaji ufafanuzi hapa.

Mosi huyu mtanzania mwenzetu tulipata taarifa kuwa amechukuliwa mateka na Hamas huko Gaza lakini leo tumeoneshwa hapa kuwa aliuwawa na Hamas nadhani tarehe 7.10.2923 ndani ya mipaka ya israeli.

Pili kama aliuwawa tangu tarehe 7.10.2023 kwanini serikali ya Israeli haikutoa taarifa ya kuuwawa kwake hadi leo walipotuletea hii clip?

Mwisho kabisa hii clip imekuja baada ya balozi wa palestina hapa nchini kuhojiwa na kituo cha radio cha clouds FM je kuna nini nyuma ya pazia? Naomba tujadili bila jazba wa mihemko.

Natoa Pole za dhati sana kwa familia ya Joshua Miller na watanzania wote kwa pamoja kwa kumpoteza Mtanzania mwenzetu.
Swali la msingi. Kwanini Hamas wamuue mtz.
 
Back
Top Bottom