Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Hiyo ishu ya part..Israel ndo waliwauwa hao watu kwa chopa siyo Hamas wala Wapalestina waliowauwa..na Israel walikiri baada ya video za tukio kuvuja..coz wapalestina hawana chopa sasa hii chopa inauofanya air raid ni ya nani ...ndo wakakiri hapo..otherwise zigo walishatwishwa palestina.Ile scanario ya kutekwa wengi wanadai palikuwa na Tamasha mambo ya show na hapo palikuwa na raia wa kigeni kibao .
Hata rocket za Hamas ziliua watu wachache na inakadiriwa mateka 200 na kitu walichuliwa ni kutokana na yule dogo aliyetoa ushuhuda ni Mtanzania ..
Inakuwaje pawe na special treatment wote wachukuliwa vizuri halafu huyu wamammalize na mwili wake waondoke nao ,mpaka sasa wanasema mwili upo kwa Hamas sasa ngoja tuone?
Kumbuka HAMAS walisharelease mateka kweny batch ya kwanza ,sasa iwejw wabaki na maiti!?
Lugha yeyote anaweza jifunzaNinyi mtusaidie tuu hayo maneno wanayotamka kwenye hiyo video kwa hilo lugha mnayotumia ninyi na majini mnayosema ni ya mnyaaaaanzi anayependa damu za watu kwa kuamrisha wafuasi wake wachinje wanyama na watu ili ile damu ainywe yeye. Hayo mengine tutamlilia Jehova shami atashugulika na huyu mpenda kafara za ddmu za watu
Eti Azoru alipigwa bomb? Wapi? Huyu tunajua alipotezwa na utawala wa mabavu wa CCM, lakini hakupigwa bomuKupigwa bomu kwa AZROY NGWANDA nani aliywajibishwa? Au kupaza sauti au hadi nao tungeona video zao
Tusaidie tuu hayo maneno wanasema nini bila kujali kasema nani? Ili tupngee na Mungu wa kweliLugha yeyote anaweza jifunza
Wapumbavu tuu nyie mnamuua jamaa kwa kisu mnaona haitoshi na bado mnampiga risasi.Utaumia bure tu. Allah akuongoze.
Wejamaa hujielewi, hojazako ni za kipumbavu sana.Kiukweli kuhusu ile video mimi hata sijaona panapohitaji kusikitika naona jamaa amefariki fair tu kisitumiize kuona VIDEO ya MAUAJI yake tena naona ameuwawa kawaida sana walimuhurumia
Je umeshawahi kujiuliza mfano tungeona VIDEO ya MAUAJI ya ALPHONCE MAWAZO CHEMU tungejisikiaje nani alipaza sauti mawazo alipouwawa kule busanda?
Kupotea kwa BEN SAANANE nani aliyehoji aliko? Na serikali ilichukua hatua gani?
Kupigwa bomu kwa AZROY NGWANDA nani aliywajibishwa? Au kupaza sauti au hadi nao tungeona video zao
WATANZANIA TUACHE UNAFIKI LIKITOKEA NCHINI KWETU TUNAKUWA WAKIMYA YAKIWATOKEA WENGINE MNATOLEA MACHO
Google picha za ALPHONCE MAWAZO aliyouwawa kwenye nchi yake au yeye hakuwa mtoto wa mtu?
Your level of stupid is very good and surprising
Hivi we mwanamke una akili timamu kweli? Mapemzi yako na dini yako ndio yanakufanya unakua mtumwa wa kifikra namna hii? Acheni kutetea ugaidi mavi nyie mnakera sana. Hebu rudini kwenye sense zenu muanze kufikiri kama binadamu mmekua wanyama sana😡😡Si mlisema kashikwa mateka?
Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.
Hollywood hiyo.
Shingo haipiti kichwaKiukweli kuhusu ile video mimi hata sijaona panapohitaji kusikitika naona jamaa amefariki fair tu kisitumiize kuona VIDEO ya MAUAJI yake tena naona ameuwawa kawaida sana walimuhurumia
Je umeshawahi kujiuliza mfano tungeona VIDEO ya MAUAJI ya ALPHONCE MAWAZO CHEMU tungejisikiaje nani alipaza sauti mawazo alipouwawa kule busanda?
Kupotea kwa BEN SAANANE nani aliyehoji aliko? Na serikali ilichukua hatua gani?
Kupigwa bomu kwa AZROY NGWANDA nani aliywajibishwa? Au kupaza sauti au hadi nao tungeona video zao
WATANZANIA TUACHE UNAFIKI LIKITOKEA NCHINI KWETU TUNAKUWA WAKIMYA YAKIWATOKEA WENGINE MNATOLEA MACHO
Daah halafu kuna mpuuzi anasema usikute ni wazayuni eti wametengeneza hii. Mtoto wa watu hana silaha yoyote amewekwa mtu kati na watu wenye silaha zao wanaongea lugha yawezekana hata haelewi wakaamua kumu execute.
Hapa ndipo naposema niko sahihi kuwaita nyie Waislamu kuwa n wapumbavu na wanafiki, kwahy unaamini Wayahudi ndio wamemuua lkn Hutaki kuamini Waarabu ndio wamemuua.?Si mlisema kashikwa mateka?
Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.
Hollywood hiyo.
Wewe ni poyoyo na punguani wa mwisho na uzao wako sijui unafaidika nini na uwepo wako. Lwa akili hizi unamfumdisha nini mjukuu wako wewe?Wewe hakuna Hamas wala Muislam hapo, ni staged kabisa.
Uongo mtupu huo.
Lakini tukumbuke kwamba kosa Huwa haliuwawi kwa kosa...Kiukweli kuhusu ile video mimi hata sijaona panapohitaji kusikitika naona jamaa amefariki fair tu kisitumiize kuona VIDEO ya MAUAJI yake tena naona ameuwawa kawaida sana walimuhurumia
Je umeshawahi kujiuliza mfano tungeona VIDEO ya MAUAJI ya ALPHONCE MAWAZO CHEMU tungejisikiaje nani alipaza sauti mawazo alipouwawa kule busanda?
Kupotea kwa BEN SAANANE nani aliyehoji aliko? Na serikali ilichukua hatua gani?
Kupigwa bomu kwa AZROY NGWANDA nani aliywajibishwa? Au kupaza sauti au hadi nao tungeona video zao
WATANZANIA TUACHE UNAFIKI LIKITOKEA NCHINI KWETU TUNAKUWA WAKIMYA YAKIWATOKEA WENGINE MNATOLEA MACHO
Hana akili, ana halalisha ujinga kuelezea point muhimu. Point anayo ila amehalalisha point yake kwa kuongea pumba.Umekosea sana katika kujenga mada yako. Kuna fundisho kuwa huwezi kwenda juu kwa kumrudisha chini aliye juu, inabidi wewe upande juu zaidi yake. Kudharau kuuawawa kwa huyo kijana wa kitanzania huku akidhalilishwa kwa kupigwa video na hao maharamia ambao wamesababisha amani ivurugike siyo j\ni jambo la kawaida ni kukosa busara sana. Ni nani mwewingine aliyeuwawa hivyo na watu wa namna hiyo. Ungetafuta lugh nzuri ya kuhuji ben saanana bila kuhusisha na unyama aliofanyiwa kijano huyo. Yaani unataka ku-downgrade ubaya aliofanyiwa mbele ya dunia ili kukuza unaona wewe kuwa ndio ubaya zaidi ambao hakuna video ya kulinganisha bali speculations tu.
Swali la msingi. Kwanini Hamas wamuue mtz.Nasikitika sana naungana na wazazi wa Joshua Mollel kuhusiana na kifo cha mtanzania mwenzetu..
Yapo maswali na sintofahamu nyingi na utata kuhusiana na taarifa za kifo cha Joshua ambapo si vibaya sisi kama watanzania tukahoji ingawa marehemu hatorudi lakini tusiwe ni kizazi cha kupokea tu bila kuhoji tutakuwa wajinga. Yapo mambo mawili ambayo yanahitaji ufafanuzi hapa.
Mosi huyu mtanzania mwenzetu tulipata taarifa kuwa amechukuliwa mateka na Hamas huko Gaza lakini leo tumeoneshwa hapa kuwa aliuwawa na Hamas nadhani tarehe 7.10.2923 ndani ya mipaka ya israeli.
Pili kama aliuwawa tangu tarehe 7.10.2023 kwanini serikali ya Israeli haikutoa taarifa ya kuuwawa kwake hadi leo walipotuletea hii clip?
Mwisho kabisa hii clip imekuja baada ya balozi wa palestina hapa nchini kuhojiwa na kituo cha radio cha clouds FM je kuna nini nyuma ya pazia? Naomba tujadili bila jazba wa mihemko.
Natoa Pole za dhati sana kwa familia ya Joshua Miller na watanzania wote kwa pamoja kwa kumpoteza Mtanzania mwenzetu.