Kwanini na yeye alivaa nguo ya kijeshi? Hii inawezekana iliwafanya wamhisi ni Jasusi.Ila sio sawa walichomfanyia, ninalaani kitendo hicho walitakiwa wajiridhishe zaidi kabla ya kumuua
 
😥
 
Daaaah!!! Nadhani haujaelewa kitu gani nimemaanisha Mimi napingana na mtoa mada ambaye anataka tuilamu Israel badala ya Hamas....Mimi naungana na watu wenye Akili kuilaaani magaidi wa HAMAS
 
Mimi nadhani viongozi wa juu hawana uchuku na huyu mtanzania mwenzetu au kisa wenye nchi ndo wenye dini hio nadhani hili lingetokea Kenya now ubalozi wa Palestina ungekuwa unafuka moshi.
Israel fagia hao mbwa Tena futa hilo taifa kwenye ramani ya dunia
 
Kuna video inayoonyesha mtu akiuawa kikatili na wanaodaiwa kuwa ni Hamas
Hapa siwatetei Hamas ila natala kuuliza maswali haya


1. Mtu anayeuawa hajaonyeshwa sura, sasa imejulikana vipi ni Joshua Mollel?

2. Kwa sura ya Joshua Molel niliyoiona, anaonekana ni kijana mweusi, lakini kwenye video ya mtu anayeuawa anaonekana ni kwa rangi ya mikono yake(maana sura haionekani) kuwa ni mtu mwenye ngozi nyeupe kuliko Molell

3. Hiyo Video imetolewa na nani? Ni Hamas ndio wameua mtu wakaipost online? Ili iwasaidie nini?
 
Mleta mada tuna mashaka na uwezo wako wa akili na kufikiri
Kwanza hata hiki ulichokiandika hukielewi umekurupuka tu chuki zako za kidini na kisiasa
Uwe unajipa muda wakufatilia majambo kabla yakuja kuleta pumba humu jf
Pumba kawape kuku au wapelekee watoto kule uso wa kitabu
Pole kwa familia ya mollel pole kwa watanzania wote
Ila nikiwa kama mpenda haki naungana na hamas kwenye kudai haki yao
 
Ni maumivu makubwa sana kwetu kama watz ,ndugu na jamaa,

Na maumivu ya hivi ndo ndugu na jamaa wa akina SANANE, IZORY , MAWAZO na wengine waliopotea wanayoyapitia, wasijue wapo hai au walikufa kupitia mateso kama haya achana na Mawazo ambae kaburi lake lipo
 
Hivi wewe pumbavu unaona ni sawa mtanzania ameuawa na waislamu wenzio, unayo akili wewe mjinga
 
Hakuwa na makosa yoyote ni mwanafunzi tu kisa hajui kuongea kiarabu na rangi yake nyeusi imepelekea haya
 
Ukiambiwa hujielewi utaanza kutukana watu
Ila pole sana kijana
 
Uandishi huu lazima uwe bwana utamu tu watakukanda mpaka akili ikukae sawa
 
swali zuri, pia wazazi, ndugu na jamaa zake wako wapi? kwangu mimi ni phantom tu kama ben saanane, mtu apotee katika jamii ya kitanzania asiwe na wazazi, ndugu, jamaa hata marafiki wa kuongelea chochote? whatever happen to ubuntu …
 

View: https://twitter.com/JMakamba/status/1735188462528290932?t=ve2Emu4dIhhLUdLVDrjRog&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…