HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Mi nawashangaa sanaUpstairs uko sawa kweli? Magaidi wa Hamas wanachafuliwaje?
Hebu tueleze nini kilichotokea October 7?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nawashangaa sanaUpstairs uko sawa kweli? Magaidi wa Hamas wanachafuliwaje?
Hebu tueleze nini kilichotokea October 7?
😥Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.
Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.
Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.
R.I.P mdogo wetu
Daaaah!!! Nadhani haujaelewa kitu gani nimemaanisha Mimi napingana na mtoa mada ambaye anataka tuilamu Israel badala ya Hamas....Mimi naungana na watu wenye Akili kuilaaani magaidi wa HAMASAkili za wasomi wa Madrasa kuu pale MUM. Umefurahia kijana mdogo tena aliyekuwa anatoka shambani akiwa na kibaiskeli chake kukatizwa ndoto zake na yale Magaidi kisa tu bwana wenu muarabu kafanya hivyo? Pathetic usiwapangie mods wa JF. Kama hutaki hizi habari na sisi kutoa machungu yetu, nenda kasome hadith Idadi 16,245 Mkuu hapo Madrasa. Usitupangie vya kujadili. Hatupo msikitini hapa.
Mleta mada tuna mashaka na uwezo wako wa akili na kufikiriNiliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.
Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.
Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.
R.I.P mdogo wetu
Ni maumivu makubwa sana kwetu kama watz ,ndugu na jamaa,Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.
Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.
Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.
R.I.P mdogo wetu
Hivi wewe pumbavu unaona ni sawa mtanzania ameuawa na waislamu wenzio, unayo akili wewe mjingaMleta mada tuna mashaka na uwezo wako wa akili na kufikiri
Kwanza hata hiki ulichokiandika hukielewi umekurupuka tu chuki zako za kidini na kisiasa
Uwe unajipa muda wakufatilia majambo kabla yakuja kuleta pumba humu jf
Pumba kawape kuku au wapelekee watoto kule uso wa kitabu
Pole kwa familia ya mollel pole kwa watanzania wote
Ila nikiwa kama mpenda haki naungana na hamas kwenye kudai haki yao
Hakuwa na makosa yoyote ni mwanafunzi tu kisa hajui kuongea kiarabu na rangi yake nyeusi imepelekea hayaTanzania mtu wetu ameuawa kishenzi na hao HAMAS, amekosa nini? Hata kama amekosa anapaswa kupelekwa mahakamani. Wizara ya mambo yetu ya nje bado hamjawafukuza au kuwaita balozi wa Palestina au kufunga ofisi zao? Mnasubiri nini kuwafukuza hao wapalestina. Waisrael waendelea kuwaua hao washenzi
Mimi nadhani viongozi wa juu hawana uchuku na huyu mtanzania mwenzetu au kisa wenye nchi ndo wenye dini hio nadhani hili lingetokea Kenya now ubalozi wa Palestina ungekuwa unafuka moshi.
Israel fagia hao mbwa Tena futa hilo taifa kwenye ramani ya duni
Uandishi huu lazima uwe bwana utamu tu watakukanda mpaka akili ikukae sawaMleta mada tuna mashaka na uwezo wako wa akili na kufikiri
Kwanza hata hiki ulichokiandika hukielewi umekurupuka tu chuki zako za kidini na kisiasa
Uwe unajipa muda wakufatilia majambo kabla yakuja kuleta pumba humu jf
Pumba kawape kuku au wapelekee watoto kule uso wa kitabu
Pole kwa familia ya mollel pole kwa watanzania wote
Ila nikiwa kama mpenda haki naungana na hamas kwenye kudai haki yao
Kuna video inayoonyesha mtu akiuawa kikatili na wanaodaiwa kuwa ni Hamas
Hapa siwatetei Hamas ila natala kuuliza maswali haya
1. Mtu anayeuawa hajaonyeshwa sura, sasa imejulikana vipi ni Joshua Mollel?
2. Kwa sura ya Joshua Molel niliyoiona, anaonekana ni kijana mweusi, lakini kwenye video ya mtu anayeuawa anaonekana ni kwa rangi ya mikono yake(maana sura haionekani) kuwa ni mtu mwenye ngozi nyeupe kuliko Molell
3. Hiyo Video imetolewa na nani? Ni Hamas ndio wameua mtu wakaipost online? Ili iwasaidie nini?
Ila kabla sijasahau mjinga mwenyeweHivi wewe pumbavu unaona ni sawa mtanzania ameuawa na waislamu wenzio, unayo akili wewe mjinga
KaribuUandishi huu lazima uwe bwana utamu tu watakukanda mpaka akili ikukae sawa