GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Siwezi kukanda mwanaume mwenzangu ungekuwa unavaa baibui sawaKaribu
Wauaji wale ni washenzi.
Kuna video inayoonyesha mtu akiuawa kikatili na wanaodaiwa kuwa ni Hamas
Hapa siwatetei Hamas ila natala kuuliza maswali haya
1. Mtu anayeuawa hajaonyeshwa sura, sasa imejulikana vipi ni Joshua Mollel?
2. Kwa sura ya Joshua Molel niliyoiona, anaonekana ni kijana mweusi, lakini kwenye video ya mtu anayeuawa anaonekana ni kwa rangi ya mikono yake(maana sura haionekani) kuwa ni mtu mwenye ngozi nyeupe kuliko Molell
3. Hiyo Video imetolewa na nani? Ni Hamas ndio wameua mtu wakaipost online? Ili iwasaidie nini?
Hakuna neno jipya utaloongea kijana pole sanaSiwezi kukanda mwanaume mwenzangu ungekuwa unavaa baibui sawa
Waliomuua yule kijana mwenzetu kwenye Clip. Hawajajali utu wala ubinadamu na hawajaheshimu uhai na hata baada ya kuutoa uhai hawakuheshimu maiti. NI WASHENZI.Wauaji kina nani
Huyo mdau aliyesema anamjua mpaka kwao kama yuko upande wa Israeli?Kuna mdau huku anamjua mpk kwao nadhani Alisha comment kuwa ndiye na Kama siye basi familia yao ingekanusha
Sasa kwanini unawalaumu???Hammas wamefika hapo Kwa sababu za dhuluma za hao Wayahudi unaowatetea ndio hasira wanahamiahia Kwa Kila mtu.
Kuna Jamaa amesema walikuwa wanamwambia dogo atamke maneno ya kutukuza Hammas/Uislamu ila Kwa kuwa hajui lugha wakaona labda ni kiburi wakamuua kikatili.
Hamas Wanaongoza Serikali ipi? Hamas ni magaidi kama magaidi wengine,huwezi laumu Palestine Kwa vitendo vya magaidi wa Hamas ambao sio tuu wamewaua Vijana Wetu kikatili Bali pia wanawasababishia maafa raia wa Palestine wasio na hatia.
Imeniuma sana Hawa mbwa wa Hamas kuua raia wasio na hatia.
Msimamo wa Serikali yetu ni wazi kupinga mauaji ya watu wasio na hatia ambao inafanywa na Israel na Hawa Hamas.
Haki gani na wewe tangu 1948 mpka leo mnachapikaHakuna neno jipya utaloongea kijana pole sana
Hamas waendelee kuipigania haki yao
Ukiambiwa hujitambui utaanza kutukana watuNaomba tupaze sauti yule balozi wa palestina alihojiwa na clouds tv juzi afukuzwe na ofisi zao zifungwe hapa tanzania inauma sana kuua ndoto za kijana kama huyu
View: https://twitter.com/AmiramKrasner/status/1736370468939030841?t=NmWTXKMrCE__jRwLmV6Ybg&s=19
Propaganda ya kipuuzi sana halaf kuna mijitu inaibwiya tuuuDUNIA IMEKUWA SEHEMU YA AJABU SANA KWA UZUSHI NA PROPAGANDA ZA HOVYO SANA,KWA USHAHID GANI SASA KUWA WALIOFANYA HIVYO NI HAMAS??
NA NI MAIN STREAM MEDIA GANI ZA DUNIA KAMA ALJAZEERA,CNN AU BBC WAMERUSHA HIYO HABARI NA KUPROVE KUWA NI SAHIHI??
Pole kijana una hasira sanaHaki gani na wewe tangu 1948 mpka leo mnachapika
Na netanyau amesema operesheni yake imeanza kwa asilimia 5 tu hapo gaza bado 95 zinakuja mtakandwa mpaka mkome
Mpumbavu weweSi mlisema kashikwa mateka?
Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.
Hollywood hiyo.
Wewe hakuna Hamas wala Muislam hapo, ni staged kabisa.
Uongo mtupu huo.
Ndio maana nasema hayo mashenzy yaliyolaaniwa hadi na shetani yadhibitiwe mara moja, na yarudishwe kwao huko Germany na Poland kwa mashoga wenzao..Israel katengeneza video hadi za manesi wa Palestina wasiojulikana Palestina sembuse hIyo?
Aibu: Israel na ushahidi wa mchongo Gaza
Alipofeli:
View attachment 2845680
Atawapata mazezeta. Ila ukweli mchungu:
"Hatudanganyiki!"
Tufanye huna uwezo wa kuitambua ile sura kama ni ya Joshua Mollel. Je huoni kama yule ni Muafrika?Kuna video inayoonyesha mtu akiuawa kikatili na wanaodaiwa kuwa ni Hamas
Hapa siwatetei Hamas ila natala kuuliza maswali haya
1. Mtu anayeuawa hajaonyeshwa sura, sasa imejulikana vipi ni Joshua Mollel?
Picha ipi ya Joshua Mollel uliyoona akiwa na mikono myeupe ili ufanyie reference?2. Kwa sura ya Joshua Molel niliyoiona, anaonekana ni kijana mweusi, lakini kwenye video ya mtu anayeuawa anaonekana ni kwa rangi ya mikono yake(maana sura haionekani) kuwa ni mtu mwenye ngozi nyeupe kuliko Molell
Zipo video zaidi ya 50 za Hamas wakifanya mauaji na kujirekodi, mojawapo ndio hii. Wanapost online kwenye channels zao katika harakati za kuonyesha ushujaa na kumshukuru Allah.3. Hiyo Video imetolewa na nani? Ni Hamas ndio wameua mtu wakaipost online? Ili iwasaidie nini?
Akili za CCM izi. Hawa Hamasi wameanzisha balaaa lililogharimu maisha ya watuHamas Wanaongoza Serikali ipi? Hamas ni magaidi kama magaidi wengine,huwezi laumu Palestine Kwa vitendo vya magaidi wa Hamas ambao sio tuu wamewaua Vijana Wetu kikatili Bali pia wanawasababishia maafa raia wa Palestine wasio na hatia.
Imeniuma sana Hawa mbwa wa Hamas kuua raia wasio na hatia.
Msimamo wa Serikali yetu ni wazi kupinga mauaji ya watu wasio na hatia ambao inafanywa na Israel na Hawa Hamas.