Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
DUNIA IMEKUWA SEHEMU YA AJABU SANA KWA UZUSHI NA PROPAGANDA ZA HOVYO SANA,KWA USHAHID GANI SASA KUWA WALIOFANYA HIVYO NI HAMAS??

NA NI MAIN STREAM MEDIA GANI ZA DUNIA KAMA ALJAZEERA,CNN AU BBC WAMERUSHA HIYO HABARI NA KUPROVE KUWA NI SAHIHI??
 
Kuna video inayoonyesha mtu akiuawa kikatili na wanaodaiwa kuwa ni Hamas
Hapa siwatetei Hamas ila natala kuuliza maswali haya

1. Mtu anayeuawa hajaonyeshwa sura, sasa imejulikana vipi ni Joshua Mollel?

2. Kwa sura ya Joshua Molel niliyoiona, anaonekana ni kijana mweusi, lakini kwenye video ya mtu anayeuawa anaonekana ni kwa rangi ya mikono yake(maana sura haionekani) kuwa ni mtu mwenye ngozi nyeupe kuliko Molell

3. Hiyo Video imetolewa na nani? Ni Hamas ndio wameua mtu wakaipost online? Ili iwasaidie nini?

Israel katengeneza video hadi za manesi wa Palestina wasiojulikana Palestina sembuse hIyo?

Aibu: Israel na ushahidi wa mchongo Gaza

Alipofeli:

IMG_1567.jpg

Atawapata mazezeta. Ila ukweli mchungu:

"Hatudanganyiki!"
 
Wauaji kina nani
Waliomuua yule kijana mwenzetu kwenye Clip. Hawajajali utu wala ubinadamu na hawajaheshimu uhai na hata baada ya kuutoa uhai hawakuheshimu maiti. NI WASHENZI.
 
Kuna mdau huku anamjua mpk kwao nadhani Alisha comment kuwa ndiye na Kama siye basi familia yao ingekanusha
Huyo mdau aliyesema anamjua mpaka kwao kama yuko upande wa Israeli?
halafu hapa mleta mada anauliza kuhusu "Joshua anayeuawa" amejulikana vipi kuwa ni yeye kwenye video ambayo mhusika haonekani sura, na hata sehemu inayoonekana rangi yake siyo sawa na Joshua?
Au HAMAS wametaja jina lake kwenye hiyo clip?
 
Hammas wamefika hapo Kwa sababu za dhuluma za hao Wayahudi unaowatetea ndio hasira wanahamiahia Kwa Kila mtu.

Kuna Jamaa amesema walikuwa wanamwambia dogo atamke maneno ya kutukuza Hammas/Uislamu ila Kwa kuwa hajui lugha wakaona labda ni kiburi wakamuua kikatili.
Sasa kwanini unawalaumu???
 
Hamas Wanaongoza Serikali ipi? Hamas ni magaidi kama magaidi wengine,huwezi laumu Palestine Kwa vitendo vya magaidi wa Hamas ambao sio tuu wamewaua Vijana Wetu kikatili Bali pia wanawasababishia maafa raia wa Palestine wasio na hatia.

Imeniuma sana Hawa mbwa wa Hamas kuua raia wasio na hatia.

Msimamo wa Serikali yetu ni wazi kupinga mauaji ya watu wasio na hatia ambao inafanywa na Israel na Hawa Hamas.

EVEN UISLAM NA WAISLAM TUNAPINGA MAUAJI YA WATU WASIO NA HATIA VILE VILE,ILA KATIKA HIKO KINACHOENDELEA HUKO KUSIWE NA DOUBLE STANDARDS,DAMU YA TAIFA TEULE LA MUNGU ISIWE NA THAMANI KUSHINDA DAMU YA WAPALESTINE,NA MVAMIZ BAINA YAO ANAFAMIKA HAPO,UKWELI USEMWE
 
Naomba tupaze sauti yule balozi wa palestina alihojiwa na clouds tv juzi afukuzwe na ofisi zao zifungwe hapa tanzania inauma sana kuua ndoto za kijana kama huyu
View: https://twitter.com/AmiramKrasner/status/1736370468939030841?t=NmWTXKMrCE__jRwLmV6Ybg&s=19

Ukiambiwa hujitambui utaanza kutukana watu
Haya paza hio sauti yako hem tuone matokeo yatakuaje
Mue munafatilia majambo kabla ya kukurupuka nakutaka muonekane muna uchungu kumbe wanafiq na hamuna mujualo
 
DUNIA IMEKUWA SEHEMU YA AJABU SANA KWA UZUSHI NA PROPAGANDA ZA HOVYO SANA,KWA USHAHID GANI SASA KUWA WALIOFANYA HIVYO NI HAMAS??

NA NI MAIN STREAM MEDIA GANI ZA DUNIA KAMA ALJAZEERA,CNN AU BBC WAMERUSHA HIYO HABARI NA KUPROVE KUWA NI SAHIHI??
Propaganda ya kipuuzi sana halaf kuna mijitu inaibwiya tuuu
Pole kwa familia ya mollel
 
Wewe hakuna Hamas wala Muislam hapo, ni staged kabisa.

Uongo mtupu huo.

WAPUUZI TUH NDIYO WATAKAA WAAMINI HIKO KITU,HABARI MBAYA KAMA HIYO MAIN STREAM MEDIA WAACHE KUIRUSHA??

ETI HABARI INAZAGAA MTANDAO WA X NA KWINGINE HUKO KISHA USIMAMIE KUWA NI YA KWELI??
 
Kuna video inayoonyesha mtu akiuawa kikatili na wanaodaiwa kuwa ni Hamas
Hapa siwatetei Hamas ila natala kuuliza maswali haya

1. Mtu anayeuawa hajaonyeshwa sura, sasa imejulikana vipi ni Joshua Mollel?
Tufanye huna uwezo wa kuitambua ile sura kama ni ya Joshua Mollel. Je huoni kama yule ni Muafrika?

Sasa Hamas inauaje Muafrika na ilhali inajua kabisa hawezi kuwa Myahudi wala Muisraeli.
2. Kwa sura ya Joshua Molel niliyoiona, anaonekana ni kijana mweusi, lakini kwenye video ya mtu anayeuawa anaonekana ni kwa rangi ya mikono yake(maana sura haionekani) kuwa ni mtu mwenye ngozi nyeupe kuliko Molell
Picha ipi ya Joshua Mollel uliyoona akiwa na mikono myeupe ili ufanyie reference?
Kwenye picha inayosambaa ya Mollel amepiga akiwa kwenye low light, ndani. Humo uso lazima uonekane ukiwa mweusi zaidi. Na vilevile uso wake ulikuwa na mabaka hasa upande mmoja, hivyo weusi unazidi. Na bado inajulikana kabisa mikono upande wa karibu na bega huwa ina weupe kutokana na kufunikwa na nguo muda mrefu. Hivyo hapa unatafuta utetezi uchwara wa magaidi wenzio.
3. Hiyo Video imetolewa na nani? Ni Hamas ndio wameua mtu wakaipost online? Ili iwasaidie nini?
Zipo video zaidi ya 50 za Hamas wakifanya mauaji na kujirekodi, mojawapo ndio hii. Wanapost online kwenye channels zao katika harakati za kuonyesha ushujaa na kumshukuru Allah.
Na mara nyingi wakishaua hupiga simu kuwataarifu watu wao wa karibu kwamba wameua kafiri kadhaa. Hiyo clip utaona mwishoni kuna jamaa kapiga simu.
 
Hamas Wanaongoza Serikali ipi? Hamas ni magaidi kama magaidi wengine,huwezi laumu Palestine Kwa vitendo vya magaidi wa Hamas ambao sio tuu wamewaua Vijana Wetu kikatili Bali pia wanawasababishia maafa raia wa Palestine wasio na hatia.

Imeniuma sana Hawa mbwa wa Hamas kuua raia wasio na hatia.

Msimamo wa Serikali yetu ni wazi kupinga mauaji ya watu wasio na hatia ambao inafanywa na Israel na Hawa Hamas.
Akili za CCM izi. Hawa Hamasi wameanzisha balaaa lililogharimu maisha ya watu
 
Back
Top Bottom