Umeangalia video lakini au unabwatuka tu?Ukute hata hapo mtaani umeshindwa kua hata mjumbe
Unadhani urais kama makalio mkuu kama kila mtu awe nayo
Ila usilolijua tu nikwamba hata kama kwa bahati mbaya ungekua rahisi wa nchi usingeweza kuufuta uislam
Yaani anaeweza kuufuta uislam hakuna nahatakuja kutokea wewe endelea kupiga kelele halaf ukimaliza ukalale
Lakini pia waisilamu tunatakiwa kulaani pia kwa sababu walioyafanya haya kwa dhahiri ni waisilamu,hivyo tunatakiwa kukemea kwani uisilamu hautaki hivyo.
Wale wanaotetea watambue kwamba jamaa hakuna na silaha yoyote,alikuwa ni mja dhaifu asiyeweza kuwashambulia.
UKristo wake haikuwa sababu ya kumuua kwa sababu hata mtume aliishi na wasiokuwa waisilamu kwa amani.
sijakuelewa mantiki ya kuniquote mkuu
Hana akili huyu balozi ni kama Hamas wenzieWizara yooote haijui ila wewe ndio unajua
Haya tangulia uende ukamfukuze halaf uje utupe mregesho
Acha kua zuzu wewe mvaa kobazi wa buza kwa lulenge,THEN WANAKUJA NA VIDEO YA KIPUMBAVU KAMA ILE,WATU WANAMUUA HUKU WANASEMA ALLAHU AKBAR,ALLAHU AKBAR WAKIMAANISHA IONEKANE KUWA WANAOFANYA HIVYO NI WAISLAM,LAKINI HATA HIVYO WANACHOSHINDWA KUJUA NI KWAMBA ZAMA ZA PROPAGANDA KAMA HIZO KWA DUNIA YA SASA ZIMESHAPITA SANA,WANAJIDANGANYA WENYEWE TUH
Wanaoporwa Ardhi ni kina nani huko Palestine?Akili za CCM izi. Hawa Hamasi wameanzisha balaaa lililogharimu maisha ya watu
Usiwe mwepesi wa kuamini kila kinachopandishwa kwenye mitandao !Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.
Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.
Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.
R.I.P mdogo wetu
Acha kua zuzu wewe mvaa kobazi wa buza kwa lulenge,
Propaganda kivipi we umeangalia video kwa kutumia nini matako?Usiwe mwepesi wa kuamini kila kinachopandishwa kwenye mitandao !
Videos nyingi huwa ni feki kwa maana ya kwamba inafanyiwa editing ili ikidhi propaganda iliyokusudiwa !
RIP Joshua !! 🙏🙏🙏
Wewe zuzu la Mudi kua makini,ZUZU NI WEWE MUIMBA KWAYA,TAARIFA KAMA HIYO UMEONA HATA KWENYE ALJAZEERA,CNN AU BBC MEDIA IKIRUSHWA??
SASA,KAMA KILA MTU AKIJA NA VIDEO CLIPS KAMA HIZO NA KUTAMBA KUWA WALIOFANYA HIVYO NI HAMAS NA UKAWAAMINI SI NI UPUMBAVU WA HALI YA JUU SANA.
Utahangaika na watu watu wasiopenda kuutafuta ukweli.huyu aliyeleta hii mada hajui kiini cha mgogoro huo.yeye anakurupuka tu na matokeo.Nchi 14 barani Afrika zimeiondoa Israel kwenye Umoja huo AU.
Nchi zilizokubali uamuzi wa kuiondoa Israel kwenye muungano huo ni; South Africa, Tunisia, Eritrea, Senegal, Tanzania, Niger, Archipelago ya Qamar, Gabon, Nigeria, Zimbabwe, Liberia pamoja na Seychelles.
Hizo nchi zote viongozi wake ni Waislam?
WATU WAPUMBAVU SANA,KAMA HAMAS WAMESHAKAMATA MATEKA KIBAO WA ISRAEL NA WA NCHI MBALI MBALI NA HAWAJATHUBUTU HATA KUWAZURU UNYWELE WAO,HADI WANAFIKIA HATUA WANAFANYA PRISONER EXCHANGE HAPA MAJUZI HADHARANI NA KILA MTU ANAONA,IWEJE LEO ETI WAJE WAJIREKODI VIDEO WANAUA MTANZANIA NA WAITUME HADHARANI DUNIA IONE??WANADHANI VITA YA HAMAS NI KWA WATU WASIO NA VITA NAO??
HAMAS ANAPAMBANA KUJUSTIFY UWEPO WAO NA UDHALIM WA ISRAEL,IWEJE LEO ETI AJE AANIKE UKATILI WAKE KWA DUNIA ILI HALI ANAJUA FIKA KUWA YUKO KWENYE MAPAMBANO YA KUDAI HAKI.
Kimsingi tanzania inakosea kushobokea israel kidiplomasia eti sasa tufuate diplomasia ya uchumi.Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.
Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.
Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.
R.I.P mdogo wetu
UNA USHAHID GANI KUWA HAO NI HAMAS??WEKA PROOF,AU UNAELEWA WALICHOKIZUNGUMZA??Kwanini waue mtanzania asie na silaha hata za kijadi? Kwanini wamuue?
Acha kua zuzu wewe inamaana hata HUONI kilichotendeka au unajitoa ufahamu sababu ya uislamu na anatajwa nani wakati wanafanya mauaji yao sema wanamtaja nani? Allahu Akbaru ndio nani?UNA USHAHID GANI KUWA HAO NI HAMAS??WEKA PROOF,AU UNAELEWA WALICHOKIZUNGUMZA??
WENZAKO WANASEMA SOURCE NI MTANDAO WA 'X',SASA KAMA HAKUNA CREDIBLE MEDIA YTE AMBAYO IMERIPOTI HIYO TAARIFA WALA USHAHID UNAWEZA VIPI KUAMINI TAARIFA HIZO NA KUTOA LAWAMA?
Maswali ya kipuuzi sana haya kutoka Kwa mpuuzi kwani ilikuwa lazima uanzishe UziWengi tumeiona clip ile. Ika naomba tujiulize maswali haya;
1. Kwanini Hamas wamuue mwanafunzi mgeni mwafrika? Siyo Myahudi wala Mzungu
2. Aliyepiga picha na kurekodi kama ni Hamas alikuwa na nia gani?
3. Hawa IDF wameikuta wapi hii clip?
4. Kwa nini wamekaaa nayo siku 70 ndiyo waitoe ?
hadi nashangaa kwanini hadi leo hii tunao ubalozi wa Palestina nchini hapa. pia najiuliza, hivi angeuawa ustaadhi hivi, serikali ingenyamaza kimya namna hii?