Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Ukute hata hapo mtaani umeshindwa kua hata mjumbe
Unadhani urais kama makalio mkuu kama kila mtu awe nayo
Ila usilolijua tu nikwamba hata kama kwa bahati mbaya ungekua rahisi wa nchi usingeweza kuufuta uislam
Yaani anaeweza kuufuta uislam hakuna nahatakuja kutokea wewe endelea kupiga kelele halaf ukimaliza ukalale
Umeangalia video lakini au unabwatuka tu?
 
Lakini pia waisilamu tunatakiwa kulaani pia kwa sababu walioyafanya haya kwa dhahiri ni waisilamu,hivyo tunatakiwa kukemea kwani uisilamu hautaki hivyo.

Wale wanaotetea watambue kwamba jamaa hakuna na silaha yoyote,alikuwa ni mja dhaifu asiyeweza kuwashambulia.

UKristo wake haikuwa sababu ya kumuua kwa sababu hata mtume aliishi na wasiokuwa waisilamu kwa amani.

Ni sababu hiyo hapo.

sijakuelewa mantiki ya kuniquote mkuu

Kiufupi nimeijibu hiyo na kujazia kidogo ulichokisema.
 
THEN WANAKUJA NA VIDEO YA KIPUMBAVU KAMA ILE,WATU WANAMUUA HUKU WANASEMA ALLAHU AKBAR,ALLAHU AKBAR WAKIMAANISHA IONEKANE KUWA WANAOFANYA HIVYO NI WAISLAM,LAKINI HATA HIVYO WANACHOSHINDWA KUJUA NI KWAMBA ZAMA ZA PROPAGANDA KAMA HIZO KWA DUNIA YA SASA ZIMESHAPITA SANA,WANAJIDANGANYA WENYEWE TUH
Acha kua zuzu wewe mvaa kobazi wa buza kwa lulenge,
 
Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.

Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.

Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.

R.I.P mdogo wetu
Usiwe mwepesi wa kuamini kila kinachopandishwa kwenye mitandao !
Videos nyingi huwa ni feki kwa maana ya kwamba inafanyiwa editing ili ikidhi propaganda iliyokusudiwa !
RIP Joshua !! 🙏🙏🙏
 
Acha kua zuzu wewe mvaa kobazi wa buza kwa lulenge,

ZUZU NI WEWE MUIMBA KWAYA,TAARIFA KAMA HIYO UMEONA HATA KWENYE ALJAZEERA,CNN AU BBC MEDIA IKIRUSHWA??

SASA,KAMA KILA MTU AKIJA NA VIDEO CLIPS KAMA HIZO NA KUTAMBA KUWA WALIOFANYA HIVYO NI HAMAS NA UKAWAAMINI SI NI UPUMBAVU WA HALI YA JUU SANA.
 
Usiwe mwepesi wa kuamini kila kinachopandishwa kwenye mitandao !
Videos nyingi huwa ni feki kwa maana ya kwamba inafanyiwa editing ili ikidhi propaganda iliyokusudiwa !
RIP Joshua !! 🙏🙏🙏
Propaganda kivipi we umeangalia video kwa kutumia nini matako?
 
ZUZU NI WEWE MUIMBA KWAYA,TAARIFA KAMA HIYO UMEONA HATA KWENYE ALJAZEERA,CNN AU BBC MEDIA IKIRUSHWA??

SASA,KAMA KILA MTU AKIJA NA VIDEO CLIPS KAMA HIZO NA KUTAMBA KUWA WALIOFANYA HIVYO NI HAMAS NA UKAWAAMINI SI NI UPUMBAVU WA HALI YA JUU SANA.
Wewe zuzu la Mudi kua makini,
 
Nchi 14 barani Afrika zimeiondoa Israel kwenye Umoja huo AU.

Nchi zilizokubali uamuzi wa kuiondoa Israel kwenye muungano huo ni; South Africa, Tunisia, Eritrea, Senegal, Tanzania, Niger, Archipelago ya Qamar, Gabon, Nigeria, Zimbabwe, Liberia pamoja na Seychelles.

Hizo nchi zote viongozi wake ni Waislam?
Utahangaika na watu watu wasiopenda kuutafuta ukweli.huyu aliyeleta hii mada hajui kiini cha mgogoro huo.yeye anakurupuka tu na matokeo.
 
Hamas imeua Wayahudi elfu moja mia nne siku ile ya tarehe saba ambapo Joshua Mollel aliuwawa. Hilo mlijue nyinyi magaidi na msitafute hoja za kinguruwe kwamba "mbona wengine hawajauwawa"
WATU WAPUMBAVU SANA,KAMA HAMAS WAMESHAKAMATA MATEKA KIBAO WA ISRAEL NA WA NCHI MBALI MBALI NA HAWAJATHUBUTU HATA KUWAZURU UNYWELE WAO,HADI WANAFIKIA HATUA WANAFANYA PRISONER EXCHANGE HAPA MAJUZI HADHARANI NA KILA MTU ANAONA,IWEJE LEO ETI WAJE WAJIREKODI VIDEO WANAUA MTANZANIA NA WAITUME HADHARANI DUNIA IONE??WANADHANI VITA YA HAMAS NI KWA WATU WASIO NA VITA NAO??

HAMAS ANAPAMBANA KUJUSTIFY UWEPO WAO NA UDHALIM WA ISRAEL,IWEJE LEO ETI AJE AANIKE UKATILI WAKE KWA DUNIA ILI HALI ANAJUA FIKA KUWA YUKO KWENYE MAPAMBANO YA KUDAI HAKI.
 
Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.

Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.

Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.

R.I.P mdogo wetu
Kimsingi tanzania inakosea kushobokea israel kidiplomasia eti sasa tufuate diplomasia ya uchumi.
Hao mayahudi ni wabinafsi kupindukia na wabaguzi na wauaji tu. Mkataba wa kupeleka vijana wetu huko ni ili wakafanye vibarua tu kwenye mashamba ya wayahudi. Si jambo linawapendeza wapalestina ambao wamedhulumiwa nchi yao.
Hakuna watu wabinafsi duniani kama mayahudi. Sijui kwa nini hatujiulizi kwa nini karne nyingi zimepita huko ulaya wayahudi wakiwa ni watu wanachukiwa sana ulaya. Kwa nini vita vya pili duniani wajerumani waliwalenga wayahudi kuwamaliza huku wazungu wengi ulaya wakiona sawa tu. Huu ni ukweli hausemwi maana hadi leo chuki ulaya kwa wayahudi imebidi kutungiwa sheria kukatazwa kwa sheria ya 'antisemitism'
Kwa hii vita ya sasa netanhahu na wenzake ni watu wa kufikishwa ICC. Ngoja tuone nini kitatokea.
 
Kwanini waue mtanzania asie na silaha hata za kijadi? Kwanini wamuue?
UNA USHAHID GANI KUWA HAO NI HAMAS??WEKA PROOF,AU UNAELEWA WALICHOKIZUNGUMZA??

WENZAKO WANASEMA SOURCE NI MTANDAO WA 'X',SASA KAMA HAKUNA CREDIBLE MEDIA YTE AMBAYO IMERIPOTI HIYO TAARIFA WALA USHAHID UNAWEZA VIPI KUAMINI TAARIFA HIZO NA KUTOA LAWAMA?
 
hadi nashangaa kwanini hadi leo hii tunao ubalozi wa Palestina nchini hapa. pia najiuliza, hivi angeuawa ustaadhi hivi, serikali ingenyamaza kimya namna hii?
 
Wengi tumeiona clip ile. Ika naomba tujiulize maswali haya;
1. Kwanini Hamas wamuue mwanafunzi mgeni mwafrika? Siyo Myahudi wala Mzungu

2. Aliyepiga picha na kurekodi kama ni Hamas alikuwa na nia gani?

3. Hawa IDF wameikuta wapi hii clip?

4. Kwa nini wamekaaa nayo siku 70 ndiyo waitoe ?
 
Acha kua zuzu wewe inamaana hata HUONI kilichotendeka au unajitoa ufahamu sababu ya uislamu na anatajwa nani wakati wanafanya mauaji yao sema wanamtaja nani? Allahu Akbaru ndio nani?
 
Wengi tumeiona clip ile. Ika naomba tujiulize maswali haya;
1. Kwanini Hamas wamuue mwanafunzi mgeni mwafrika? Siyo Myahudi wala Mzungu

2. Aliyepiga picha na kurekodi kama ni Hamas alikuwa na nia gani?

3. Hawa IDF wameikuta wapi hii clip?

4. Kwa nini wamekaaa nayo siku 70 ndiyo waitoe ?
Maswali ya kipuuzi sana haya kutoka Kwa mpuuzi kwani ilikuwa lazima uanzishe Uzi

Mods ungamisha na ule

USSR
 
hadi nashangaa kwanini hadi leo hii tunao ubalozi wa Palestina nchini hapa. pia najiuliza, hivi angeuawa ustaadhi hivi, serikali ingenyamaza kimya namna hii?

UBALOZI WA PALESTINE UKO HAPA TOKEA ENZ ZA NYERERE,NA I THINK UBALOZI AMBAO HAUPASWI KUWEPO HAPA NI UBALOZI WA ISRAEL,
 
Sasa kama wanasema kwenye kitabu Chao yoyote asie muamini auwawe ulitegemea NINI KWA MTU ANAE ITWA JOSHUA

JINA TU LIMEMPONZA achilia mbali mengine

LAKINI SISI TUMESHASAMEHE MSINGI WA KRISTO NI UPENDO
 
Back
Top Bottom