Uingereza marekani na nchi nyingi za ulaya ziliungana na makaburu kukandamiza haki na kuwaua weusi africa kusini na kuwaita wapigania uhuru kama mandela magaidi, sasahivi israel kaitambua western sahara kama part ya morocco huku sunia nzima ikipinga hilo, maslahi ya nchi na nchi ya kihistoria ya zamani yasikufanye leo uhalalishe uonevu mfano uingereza ilititawala na kutuua lakini huwezi kusema eti leo tuichukie uingereza
 
Y
Na sababu huenda Idd Amin alikuwa muislamu mwenzao, unajiuliza kwa nini Nyerere aliwaunga mkono watu kama hawa.
Yaani sisi huwa tunaunga mkono mtu kulingana na haki yake, ila hawa majini watu wao mradi mtu ni dini yao hawajali ana haki au hana! Ni wabaguzi sana sasa watanzanja wameuwawa kikatili bila kuhukumiwa wao wanaunga mkono.
 
Y

Yaani sisi huwa tunaunga mkono mtu kulingana na haki yake, ila hawa majini watu wao mradi mtu ni dini yao hawajali ana haki au hana! Ni wabaguzi sana sasa watanzanja wameuwawa kikatili bila kuhukumiwa wao wanaunga mkono.
Kuna huyo anayeitwa THE BIG SHOW yeye kisa mtanzania aliyeuawa kikatili si wa dini yake kashupaza shingo kuwatetea waja wa mtume.
 
Achana na hayo ya marekani , Rudi kwenye hoja yangu, kwanini palestina wapigane upande wa amini dhidi yetu ? Kisha miaka mingi baadaye wanamuua mtanzania mwenzetu pamoja na kujitetea kwamba ni mtanzania ?
 
Haya ndio maswali wote tunayojiuliza na taarifa ya serikali ya israeli kumuhusi Joshua ilisemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Israel au hamasi kila mtu atasema hakuna aliyehusika na mauwaji hayo... Clip hiyo inaonekana serikali ya Israel ndio huenda kaisambaza ku Brainwashed waTz wao hawakuusika ni hamasi, wakati hata hamas nao wanaweza rekodi movie kama hiyohiyo na wakasema kilekile atakachosema Israel
 
Mkuu hata sisi tuliua makundi makubwa ya Waarabu kwenye Mapinduzi ya Zanzibar tena wengi walikuwa ni raia tu.

Mwanadamu ni rahisi sana kurudi katika Unyama wa mwitu.
 
Achana na hayo ya marekani , Rudi kwenye hoja yangu, kwanini palestina wapigane upande wa amini dhidi yetu ? Kisha miaka mingi baadaye wanamuua mtanzania mwenzetu pamoja na kujitetea kwamba ni mtanzania ?
Nyerere wakati anawasupport aliyajua hayo yote ingawa nikurekebishe walikuwa walibya sio wapalestina na ukimchukia mpalestina kwa hilo la zamani wachukie na wazungu kwa kuwaia na kuwadhalilisha babu zako,
Swala la joshua bado huwezi kuwalaumu palestine hadi sasa hatujui ukweli, maana kama unawajua hamas utakubali kwamba wale siyo hamas bali waisrael
 
Kuna kitu Amazon (AWS) wanaitaa face recognition jaribu kuangalia utaweza pata moja na mbili katika kuongeza maarifa
 
NA HILO TAIFA GAIDI LA MUNGU,WAKRISTO WENGI WAO WAKISHANGILIA...ILA WAKIULIWA WAISRAEL MNAKUJA KUSEMA HAMAS MAGAIDI

Wengine we can careless miarabu na miyahudi ikiuana wanaweza kumalizana wote wakitaka maana ndo njia waliyochagua ila wanapouwawa watu wetu ambao hawahusiki that's a different ball game.

Kuna ugumu kiasi gani wa Palestina kukanusha au kutoa mkono wa pole kama hawahusiki? Ukimya wao unaashiria nini? Hili nalo lipo nje ya uwezo wao hadi Israel iwape ruhusa?
 
Hata mimi kumbukumbu zangu zinaniambia walikuwa ni Walibya.
 
Ukumbuke Rais asiyetafuta Elimu ktk mambo mengi huwa ni Rais mvivu asiyefaa na huwa anaunga mkono mambo mengi bila ufaham wowote ndiye Rais tulienae.Ila wajinga wanamsifu tu kila uchao,wanamdanganya ila hajui.
 
Hivi unafikiri wafuasi wa mtume mudi wanakubali ukweli huu! tena alikuwepo gadafi akimsaidia iddi amini na ilikuwepo na urusi pia ikiwa upande wa iddi amin. na ukumbuke Idd amini alikuwa mfuasi wa dini ya mudi na alifanya mauaji ya kutisha na baadae akaenda ishi aaudi arabia!. Itoshe kusema hii imani ya mudi ni ya shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…