Uingereza marekani na nchi nyingi za ulaya ziliungana na makaburu kukandamiza haki na kuwaua weusi africa kusini na kuwaita wapigania uhuru kama mandela magaidi, sasahivi israel kaitambua western sahara kama part ya morocco huku sunia nzima ikipinga hilo, maslahi ya nchi na nchi ya kihistoria ya zamani yasikufanye leo uhalalishe uonevu mfano uingereza ilititawala na kutuua lakini huwezi kusema eti leo tuichukie uingerezaKama mnakumbuka kundi la askari wa kiarabu waliotekwa wakipigana upande wa idd amini palikuwepo idadi kubwa tu ya wapalestina. Manaake walikua wanaua wanajeshi wetu wakimpigania idd amini. Na Jambo Hilo lilimshangaza mwalimu JK Nyerere aliunga kwa asilmia mia harakati za PLO.
Kuna msemo unasema kunguru hafugiki.
na paka wa porini ni wa porini tu, hafugiki