Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Inawezekana kweli uislam ni dini ya shetani, unaskia hapo wanasema takbir allah akbar
 
Joshua Mollel, 21, an agricultural intern from Tanzania, was kidnapped by Hamas terrorists on October 7 from Kibbutz Nahal Oz. On December 13, his death was confirmed, and authorities said his body is being held hostage in Gaza.

Fellow Tanzanian Clemence Mtenga, who was originally thought to be held hostage following the October 7 attack, was declared dead on November 18, and his body was sent back to Tanzania for buria
Tunahitaji maelezo kuhusu huu utata wa kifo hiki kutoka kwa balozi wa Israel hapa Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo kanzu si hata wewe shoga unaweza ukavaa ukamwambia basha wako akupige picha😂
Na kuongoza ibada naweza siyo!? Usijitie upofu we mvaa gauni. Hao ni maimaam, wanaongoza ibada.
 
Nasikitika sana naungana na wazazi wa Joshua Mollel kuhusiana na kifo cha mtanzania mwenzetu..

Yapo maswali na sintofahamu nyingi na utata kuhusiana na taarifa za kifo cha Joshua ambapo si vibaya sisi kama watanzania tukahoji ingawa marehemu hatorudi lakini tusiwe ni kizazi cha kupokea tu bila kuhoji tutakuwa wajinga. Yapo mambo mawili ambayo yanahitaji ufafanuzi hapa.

Mosi huyu mtanzania mwenzetu tulipata taarifa kuwa amechukuliwa mateka na Hamas huko Gaza lakini leo tumeoneshwa hapa kuwa aliuwawa na Hamas nadhani tarehe 7.10.2923 ndani ya mipaka ya israeli.

Pili kama aliuwawa tangu tarehe 7.10.2023 kwanini serikali ya Israeli haikutoa taarifa ya kuuwawa kwake hadi leo walipotuletea hii clip?

Mwisho kabisa hii clip imekuja baada ya balozi wa palestina hapa nchini kuhojiwa na kituo cha radio cha clouds FM je kuna nini nyuma ya pazia? Naomba tujadili bila jazba wa mihemko.

Natoa Pole za dhati sana kwa familia ya Joshua Miller na watanzania wote kwa pamoja kwa kumpoteza Mtanzania mwenzetu.
Vita imeanza tareha ngapi na leo tarehe ngapi??

Picha nani kaisanbaza?
 
Mpu
Pamoja na kwamba Vijana Wetu wamekuwa ni wahanga wa mzozo wa Palestine na Israel ila inatuma ujumbe maumivu yaliyopo hapo Kwa Wapalestina.

Maumivu yaliyotupata Watanzania Kwa Vijana Wetu Kuuwawa ndio hayo hayo yanawakuta Wapalestina Kwa kuuwawa na kuporwa Ardhi Yao na Wayahudi.

Ndio maumivu hayo hayo yanawakuta raia wasio na hatia Kwa kuuwawa na Kukaliwa na Waasi wanaofadhiliwa na Rwanda huko DRC.

My Take
Tusimame na watu wote wanaoonewa,maana madhara yake ni mtambuka.Mifano mibaya Iko Russia,Israel,Rwanda nk.

R.I.P Vijana Wetu
Mpumbavu wewe, huwezi fananisha damu ya mweusi mwenzetu na hao mashetani wa kiarabu na kizungu.
 
Waulize hilo swali eti halafu ni Oktoba 7 ambapo vita imepamba moto ,hata ukisema alikuwa israel mashambani jiulize hao Hamas wana ubavu wa kuwafuata israel kweny ardhi yao🤣🤣.
Kwa hiyo ulitaka ashinde shambani muda wote pasipo kuenjoy leisure kidogo wakati wa weekend?
 
dogo mtanganyika mwenzetu amekufa vibaya mnoo...kakosea nn yeyee jamanii..
20231217_233214.jpg
 
wanasema takbir allah akbar
Allah Akbar ya sauti ya chini huku umeshika tasbihi na unyenyekevu hiyo hutumiwa kwenye ibada lakini ukisikia ALLAH AKBAR! hiyo ya sauti ya juu ni Battle cry hutumika zaidi kwenye mapigano na mauwaji na ugaidi.
 
Hapana mi nataka kuslim nikaongozwe na maimaam machoko kama wewe

Kanisa Katoliki lawatambua mashoga​

Maaskofu wa Kanisa Katoliki duniani wamekutana katika makao makuu ya Kanisa hilo mjini Vatican na kuafikiana kuwatambua watu wanaojihusisha na ndoa ya jinsia moja.
 
Acheni kuleta chuki na watu wanaopigania haki zao. Hizi picha au video zinatengenezwa kutumia AI packages na vikosi maalum vya kizayuni vya propaganda.
Kama huyu jamaa kauwawa basi kauwawa na wayahudi sababu kuna ushahidi hiyo siku aliotekwa ndege za wayahudi zilishambulia kwa pupa na kuuwa raia wengi wao. Au inawezekana ameuwawa kwa mabomu yaluokua yanamwagika gaza usiku na mchana.
Pole kwa wafia lakini hii ni vita na wapalestina wengi wanekufa.
Mapambano yanaebdelea mpaka mzayuni akipate cha mbwa koko.
Aluta continua.
Hapa ndipo upumbavu wenu nyie Waislamu mnapoonyesha upumbavu wenu, kwahy kama kauawa bc kauawa na Wayahudi ila Hutaki kuamini kuwa Hamas wanaweza ndio waliomuua
 
Hii ni video ya kutengeneza kutumi AI packge specific kwa kutengeneza filamu. Na hii ni kazi ya kitengo cha propaganda ndani Israel.
Pole kwa wafiwa. Marehemu alikua pahali pabaya na wakati mbaya pia. Inawezekana aliuwawa na wayahudi kwa paniki zao siku hiyo ya october 7 sababu ndege zao pia zilushambulia raia wao wakifikiri ni Hamas
 
Naamini sasa watanzania watakuwa wameelewa kwanini Israel haiwacheleweshi hawa magaidi kwenda kutunukiwa zile bikira 72
hii dini ya aya za shetani ni zaidi ya bangi
Waepuke watu wenye imani hii kaa nao mbali.
 
Back
Top Bottom