Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

It's illogical Kwa mtu mwenye akili timamu kumshambulia na mamvua ya risasi kijana mdogo kama yule.............

Au tumefichwa mdogo etu alipelekwa kufanya spying... Ukifanya spying mshahara wake Huwa ni Death

Kuna muda nilikua simuelewi NETANYAHU ila nimeelewa ni nini Cha kuyafanyia haya maharamia ya HAMAS...

Inauma sana Kwa mtanzania mwenzetu KUUWAWA kinyama na kikatili kwenye vita isiyo tuhusu pole Kwa familia ,ndugu, jamaa na marafiki wa mtanzania mwenzetu mdogo etu mollel
 
Propaganda ya kipuuzi sana halaf kuna mijitu inaibwiya tuuu
Pole kwa familia ya mollel

WATU WAPUMBAVU SANA,KAMA HAMAS WAMESHAKAMATA MATEKA KIBAO WA ISRAEL NA WA NCHI MBALI MBALI NA HAWAJATHUBUTU HATA KUWAZURU UNYWELE WAO,HADI WANAFIKIA HATUA WANAFANYA PRISONER EXCHANGE HAPA MAJUZI HADHARANI NA KILA MTU ANAONA,IWEJE LEO ETI WAJE WAJIREKODI VIDEO WANAUA MTANZANIA NA WAITUME HADHARANI DUNIA IONE??WANADHANI VITA YA HAMAS NI KWA WATU WASIO NA VITA NAO??

HAMAS ANAPAMBANA KUJUSTIFY UWEPO WAO NA UDHALIM WA ISRAEL,IWEJE LEO ETI AJE AANIKE UKATILI WAKE KWA DUNIA ILI HALI ANAJUA FIKA KUWA YUKO KWENYE MAPAMBANO YA KUDAI HAKI.
 
Tufanye huna uwezo wa kuitambua ile sura kama ni ya Joshua Mollel. Je huoni kama yule ni Muafrika?

Sasa Hamas inauaje Muafrika na ilhali inajua kabisa hawezi kuwa Myahudi wala Muisraeli.

Picha ipi ya Joshua Mollel uliyoona akiwa na mikono myeupe ili ufanyie reference?
Kwenye picha inayosambaa ya Mollel amepiga akiwa kwenye low light, ndani. Humo uso lazima uonekane ukiwa mweusi zaidi. Na vilevile uso wake ulikuwa na mabaka hasa upande mmoja, hivyo weusi unazidi. Na bado inajulikana kabisa mikono upande wa karibu na bega huwa ina weupe kutokana na kufunikwa na nguo muda mrefu. Hivyo hapa unatafuta utetezi uchwara wa magaidi wenzio.

Zipo video zaidi ya 50 za Hamas wakifanya mauaji na kujirekodi, mojawapo ndio hii. Wanapost online kwenye channels zao katika harakati za kuonyesha ushujaa na kumshukuru Allah.
Na mara nyingi wakishaua hupiga simu kuwataarifu watu wao wa karibu kwamba wameua kafiri kadhaa. Hiyo clip utaona mwishoni kuna jamaa kapiga simu.
Hamas wamefanya ukatili usiosameheka , hata shetani hawezi kusamehe ukatili ule..., washughlikiwe na Jumuiya ya kimataifa.

Ila chanzo cha vita kisiachwe, yale Mashenzy ya kiyahudi yadhibitiwe
 
Ukiambiwa hujielewi utaanza kutukana watu
Ila pole sana kijana

DUNIA IMEKUWA SEHEMU YA AJABU SANA KWA UZUSHI NA PROPAGANDA ZA HOVYO SANA,KWA USHAHID GANI SASA KUWA WALIOFANYA HIVYO NI HAMAS??

NA NI MAIN STREAM MEDIA GANI ZA DUNIA KAMA ALJAZEERA,CNN AU BBC WAMERUSHA HIYO HABARI NA KUPROVE KUWA NI SAHIHI??
Kwa hiyo hajauawa kwa sababu Aljazeera hawajarusha? Wakati mwingine ni vizuri kutumia akili kidogo, Naungana na waisrael, waue kila mtu huko Gaza, iwe wanawake au watoto kwani ndio hao hao wauaji. Mnabisha nini wakati clip inaonekana na hao ni HAMAS, ebu acheni udini ninyi. I hope Israel watawamaliza wote, kwanza si walijitafutia wenyewe, wabakaji wakubwa hao. Unataka kusema hawakuingia Israel na kuua watu 1400 wasio na hatia? acha udini wewe, sasa hao ndugu zako watamalizwa wote.
 
It's illogical Kwa mtu mwenye akili timamu kumshambulia na mamvua ya risasi kijana mdogo kama yule.............

Au tumefichwa mdogo etu alipelekwa kufanya spying... Ukifanya spying mshaara wake Huwa ni Death

Kuna muda nilikua simuelewi NETANYAHU ila nimeelewa ni nini Cha kuyafanyia haya maharamia ya HAMAS...

Inauma sana Kwa mtanzania mwenzetu KUUWAWA kinyama na kikatili kwenye vita isiyo tuhusu pole Kwa familia ,ndugu, jamaa na marafiki wa mtanzania mwenzetu mdogo etu mollel
HAPO NILIPOBOLD HAPO PEKEE NDIPO PANAMAKE SENSE,VINGINEVYO HAMAS HAWAWEZI KUWA WAJINGA KURUSHA CLIP KAMA HIYO DUNIANI,NA MTUAMBIE NI MAIN STREAM MEDIA GANI IMERUSHA NA KUVERIFY HIYO TAARIFA
 
Pole kijana una hasira sana
Nenda ghaza ukapambane na hamas kama idf
Waislaam mna shida sana, mnafikiria kuua tu sasa mtaona moto. Nilikuwa nawasapoti, Israel endeleni kuwafyeka hao HAMAS na wapalestina wote. Hawana adabu, washenzi na wabakaji.
 
Video inaonekana alikufa siku ya shambulio la tarehe saba. Mbona video inatoka leo? Wakati video zote za mauaji yale tukiziona wakati ule?
Pia anaonekana kama amevaa boxer ya jeshi. Je unaweza kuwa moja ya sababu Hamas kumbqsibisha na wajenda wa IDF?

Najiuliza.
 
Balozi wa Palestine nchini Tanzania Mh. Hamdi Mansour Abuali alimwe barua mara moja na kutimuliwa kama persona non grata

Balozi wa Palestina badala ya kwenda wizara ya mambo ya nje kutafuta kuungwa mkono na Tanzania anaamua kuugawa umma wa waTanzania kwa kwenda msikitini kuomba kuungwa mkono na sehemu ya jamii inayounda Tanzania.

Video hapa chini ikionesha Mh. Balozi Hamdi Mansour Abuali akiwa anafanya shughuli zinazohatarisha usalama wq nchi kinyume na mikataba ya Vienna protocol kuhusu kazi za balozi

View: https://m.youtube.com/watch?v=auOKnvgArZ8&pp=ygUSQmFsb3ppIHdhIHBhbGVzaW5h

Waarabu wanawachukulia kwa tahadhari kubwa wapalestina, lakini sisi waswahili tuna fuata mkumbo



Huyu balozi aitwe wizara ya mambo ya nje kuonywa kuacha kukosoa sera za mahusiano kimataifa za Tanzania kutoingilia upande wowote, aache kutaka kuchochea maandamano.

Balozi huyu wa Palestina hajui mipaka yake ya kidiplomasia, muda mwingi anataka kutuamrisha kufanya mambo yasiyokwenda na sera za nchi yetu kimataifa za diplomasia ya kiuchumi, watalii waje wengi kupitia Tanzania Royal Tour, wawekezaji,

Anaweza kutimuliwa kutokana na mienendo yake isiyokuwa ya cheo cha balozi . Kule Chad balozi alitimuliwa kwa kufanya kazi sizizo za kibalozi.

Gov't of Chad orders Gordon Kricke to leave country within 48 hours for 'non-respect of diplomatic customs', ministry says.
Le Monde.fr
https://www.lemonde.fr › 2023/04/10
Chad expels German ambassador, blaming 'impolite attitude'

10 Apr 2023 — The German ambassador to Chad, declared persona non grata by the government for his "impolite attitude", was

Wizara yooote haijui ila wewe ndio unajua
Haya tangulia uende ukamfukuze halaf uje utupe mregesho
 
Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.

Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.

Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.

R.I.P mdogo wetu
Video ikon wapi weka
 
Ngoja wapumbavu wa mbagala wavaa kanzu na kibagarashia kilichochakaa wanavokuja kutetea upumbavu,.

Ni wapumbavu pekee wanaoshabikia watu kuuwawa,mtoto wetu sio muisraeili ILa chakushangaza wanamuua kisa mkristo ukiambiwa Hamas ni magaid sio wapalestina

Chakushangaza Hamas wa mbagala wanavyoshabikia upumbavu ad wanaboa

Ningekua rais wa nchi hii dini ningeifuta rasmi nakuwaletea dini za matambiko
Ukute hata hapo mtaani umeshindwa kua hata mjumbe
Unadhani urais kama makalio mkuu kama kila mtu awe nayo
Ila usilolijua tu nikwamba hata kama kwa bahati mbaya ungekua rahisi wa nchi usingeweza kuufuta uislam
Yaani anaeweza kuufuta uislam hakuna nahatakuja kutokea wewe endelea kupiga kelele halaf ukimaliza ukalale
 
Ndio maana Israel wanaendelea kuwaua hao washenzi hadi inapelekea wanaanza kuuana wenyewe kwa wenyewe sababu ya ushenzi walioufanya yaan hao wamalizwe wote mpaka vizazi vyao kisibakie chochote kinachowahusu
 
Hapa una wekeness tatu ZINAZOONYESHA UPUNGUFU WAKO WA BUSARA

(a) Picha unazoleta hazionyeshi watu hao aliuwawa na nani anayestahili kulaaniwa kwa mauaji yao lakini hakulaaniwa; ni speculative na argumentantive opinion tu zilizoletwa kwa hisia. Pamoja na hayo hatuwezi kusema watu hao walikufa vifo vya kawaida tu, ndiyo maana tumekuwa tunahimiza serikali ifanye uchunguzi kamili juu ya vifo vyao miaka yote hii. Tunaheshimu uhai wao hatuwezi kusema vifo hivyo ni vya kawaida tu.

(b) Hata kama una ushahidi kuwa watu hao waliuwawa na serikali au kikundi fulani kilichojulikana lakini hakikulaaniwa, haina maana kuwa kwa hali hiyo basi yule aliyeuwawa na magaidi na mauaji kuonyeshwa dunia nzima eti ni "kifo cha kawaida" tu

(c) Ukishasema hicho ni kifo cha kawaida tu, basi huna haja ya kuoji vifo hivyo unavyoleta kwani navyo utaviweka kuwa ni "vifo vya kawaida tu."
Mkuu ww huna busara yoyote, Bali unaweza kuandika tu kwa usahihi na kuweka paragraph. Ni hivi watu wameuwawa hapo Zanzibar kwenye uchaguzi ili ccm iendelee kusalia madrakani, na ushahidi wa hayo upo. Sikuona busara zako kwenye mauaji Yale, Sasa Leo unapata wapi nguvu za kutaka kuonyesha una busara? Acha utapeli usio na tija boss.
 
Kwa hiyo wale maiti waliokufa siku ile tarehe 7 walizikwa kwenye mass grave au wapi maana inaonekana alipigwa tu akaachwa?
 
EVEN UISLAM NA WAISLAM TUNAPINGA MAUAJI YA WATU WASIO NA HATIA VILE VILE,ILA KATIKA HIKO KINACHOENDELEA HUKO KUSIWE NA DOUBLE STANDARDS,DAMU YA TAIFA TEULE LA MUNGU ISIWE NA THAMANI KUSHINDA DAMU YA WAPALESTINE,NA MVAMIZ BAINA YAO ANAFAMIKA HAPO,UKWELI USEMWE
Mna tabia mbaya ninyi, Mnaua ndio maana waisrael wamekuwa wakorofi na watawamaliza HAMAS wote....Inshallah
SASA UNAWASAPOTI WAISRAEL NA UKO HAPA JF,,NENDA KULE UWANJA WA MAPAMBANO
Waisrael wanatosha kabisa ku-deal nao hao magaidi na wapalestina wote, sihitaji kwenda kupigana. Ila naona wanafanya kazi nzuri sana, bado wanatakiwa waporomoshe majengo yote na wawafukuze hapo walipo, waende Saudia, Egypt au Qatar, si ndiyo kwao hao waarabu? Sihitaji kufanya lolote. Hiyo wizara ya mambo ya nje inaongozwa na tapeli la kiislaam, ambaye ni mwizi, na rais pia anasapoti ujinga wake.
 
Huyo mdau aliyesema anamjua mpaka kwao kama yuko upande wa Israeli?
halafu hapa mleta mada anauliza kuhusu "Joshua anayeuawa" amejulikana vipi kuwa ni yeye kwenye video ambayo mhusika haonekani sura, na hata sehemu inayoonekana rangi yake siyo sawa na Joshua?
Au HAMAS wametaja jina lake kwenye hiyo clip?
THEN WANAKUJA NA VIDEO YA KIPUMBAVU KAMA ILE,WATU WANAMUUA HUKU WANASEMA ALLAHU AKBAR,ALLAHU AKBAR WAKIMAANISHA IONEKANE KUWA WANAOFANYA HIVYO NI WAISLAM,LAKINI HATA HIVYO WANACHOSHINDWA KUJUA NI KWAMBA ZAMA ZA PROPAGANDA KAMA HIZO KWA DUNIA YA SASA ZIMESHAPITA SANA,WANAJIDANGANYA WENYEWE TUH
 
Back
Top Bottom