Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Heheheee...
Mtathubutu kweli kupeleka wengine mwakani?
Mwakani mbali sana mbona hata sasa wakati kuna nguruwe almost 20,000 zimeuwawa uko maghetoni kwa magaidi, kuna wabongo wanaenda Israel. Na hicho kichochoro cha wafuga majini bora kibadilishwe kuwa chemba za majitaka kutoka Israel. Hao ndugu zako wakakae kambi za maturubai tuone kama kuua Watanzania kutawasaidia.
 
Hamas waliingia Israel na hawakuua Watanzania tu, waliua kuanzia waisrael nk, kifupi mission za Hamas ziko wazi na zinajulikana siku zote, kuingia kwa kuvizia Istaeli na kufanya mauaji na utekaji kwa kila wanayeona kwao anafaa katika kile wanachoona wenyewe free Palestina na kurudishiwa ardhi yao..

Watanzania hufa kila mahala, wengine hufa hapahapa na mapolisi wetu kwenye issue za kijinga kabisa, wengine hufa SouthAfrica na wengine ndio kama hivyo wamekufa Israel..yote ni mauaji tu yasiyokubalika kwa raia kama yale yanayotokea kila mahala duniani.

Eneo la Israel na Palestina ni war zone kama ilivyo Afghastan, Syria, Iraq, Lebanon nk ukiwepo huko umekubaliana na kila hatari iliyopo mbele yako maana ukiingia kwenye ambush kupona ni maamuzi ya Mwenyezi Mungu mwenyewe.
 
Umeleta taarifa watu wajadili au unayo upande wako tena...mwanzo umesema tusilete ushabiki ila tayari umeshatoa hitimisho...ushabiki ni mbaya sana inapofusha.
Mtu yeyote mwenye akili timamu huwezi kusapoti kinachoendelea huko Gaza ni mauaji ya kimbari.
 
Bro, umecheki dogo walivom-mwagia njugu kama zotee driiiiiiiii heheheee...

Dogo anaambiwa taja shahada, hajui!!

Hivi qumamake utaendaje nchi yenye vita halafu unajiachia tu border peke yako kama upo Kisemvule shamba?

Mamaeeee...
wewe una roho ya shetani asilimia mia moja, haujijui naomba Mungu akuokoe kabla ya umauti haujakukuta.
 
Bro, umecheki dogo walivom-mwagia njugu kama zotee driiiiiiiii heheheee...

Dogo anaambiwa taja shahada, hajui!!

Hivi qumamake utaendaje nchi yenye vita halafu unajiachia tu border peke yako kama upo Kisemvule shamba?

Mamaeeee...
Mkuu naomba nitafsirie alicho kuwa ana ambiwa huyu dogo na hao jamaa walio muua.
 
Mkome mkome mkome.

Kwenda kujipendekeza Israel manina zenu.

Pelekeni wanafunzi wengine tena wakaliwe vichwa. Mamaee.

HAMAS chinja mashogaaaa
Ingekuwa kwenye nchi za wenzetu ambako tawala na Mamlaka zao ziko serious sana katika Ulinzi na Usalama wa Wananchi wake, Nina Uhakika watu wanaohusika na Masuala ya Counter- Intelligence and Counter-terrorism wangeanza na wewe.
 
Taarifa imetolewa na Israeli kwa mara ya pili kuwa ameuwawa na Hamas lakini hao hao Israeli mara ya kwanza walituambia kuwa joshua ametekwa na Hamas. Na hii taarifa ya pili inaonesha kuwa joshua aliuwawa siku ya kwanza tarehe 7.10.2023. Swali linakuja kwanini Israeli hawakutoa taarifa ya kifo siku za mwanzo? Je kama alitekwa na Hamas amefia Gaza au amefia Israeli? Hii clip tangu tarehe 7 ilikuwa wapi? Nani alirekodi? Kwanini iachiwe leo? Kama waliirekodi hamas Israeli wameipataje hii clip? Maswali bado ni mengi.
Hiyo haiondoi ukweli kuwa alikuwa anaishi Israel na Hamas wakavamia na kuua watu na kuteka wengine. Umesahau ile ilikuwa vurugu na kama umefika Israel utakubaliana na mimi kuwa kila Mahali kuna camera so kuhusu video hilo ni kawaida sana kuwa kwenye kuhakiki zile video ndio wameona. . Na kuhusu miili umesahau Israel mpaka leo inaendelea kuwatambua Marehemu walikuwa mataifa tofauti tofauti kwenye tamasha coz waliisomba miili mingine ikawekwa mochuari tu kwa uhakiki so so ajabu kuonyesha leo.
 
Kila siku tunasema humu kwamba mwarabu aliye hai sio mtu ila mwarabu aliyekufa ndio mtu.

Tunakumbuka jinsi waarabu walivyo watesa mababu zetu kwenye biashara yao haramu ya utumwa, walivyokuwa wakitoboa tumbo za wanawake wajawazito na kuchomoa watoto na kuwauwa kikatili.

Jinsi watumwa wa kiume walivyo hasiwa kama ng'ombe huku wakigeuzwa mashoga.

Jinsi walivyotobolewa miguu na kuingiziwa minyororo na kutembezwa huku wakicharazwa kwa mijeledi, hata wanyama hawajawahi kufanyiwa hayo. Hayo wanayofanya leo hao waarabu ni cha mtoto tu.

Waarabu sio watu, acha wapagazi wao wawaunge mkono lakini sisi wenye akili zetu hatuwezi kamwe kuwashabikia hayo magaidi.
 
Subhanallah

Wallah

Hakuna uislamu unaokubali kuuuwa na kudhulumu nafsi za watu hakuna

Ile video mwana "hamas" anasema shabab ya mashara shabab[emoji24][emoji24] pia akasema asalam alaykum [emoji24]marehemu hapo anaamua kujitetea kwa kiingereza.... Nais alikuwa anasema "I'm innocent, don't kill me"[emoji24]

Vivyo hivyo kijana ameonekana alivaa boxa ya jeshi so sad [emoji24][emoji24][emoji24] wakamchukulia kama kachero daah

Ndugu zangu tuache udini katika hili

Uislam hauruhusu haya mambo Qattu

Daah nimeumia mno
Kwa mara ya kwanza naona muislam anaejielewa humu.
 
Kila siku tunasema humu kwamba mwarabu aliye hai sio mtu ila mwarabu aliyekufa ndio mtu.

Tunakumbuka jinsi waarabu walivyo watesa mababu zetu kwenye biashara yao haramu ya utumwa, walivyokuwa wakitoboa tumbo za wanawake wajawazito na kuchomoa watoto na kuwauwa kikatili.

Jinsi watumwa wa kiume walivyo hasiwa kama ng'ombe huku wakigeuzwa mashoga.

Jinsi walivyotobolewa miguu na kuingiziwa minyororo na kutembezwa huku wakicharazwa kwa mijeledi, hata wanyama hawajawahi kufanyiwa hayo. Hayo wanayofanya leo hao waarabu ni cha mtoto tu.

Waarabu sio watu, acha wapagazi wao wawaunge mkono lakini sisi wenye akili zetu hatuwezi kamwe kuwashabikia hayo magaidi.
Mwarabu nikimkuta,,mbinguni naondoka
 
HAPO NILIPOBOLD HAPO PEKEE NDIPO PANAMAKE SENSE,VINGINEVYO HAMAS HAWAWEZI KUWA WAJINGA KURUSHA CLIP KAMA HIYO DUNIANI,NA MTUAMBIE NI MAIN STREAM MEDIA GANI IMERUSHA NA KUVERIFY HIYO TAARIFA
Wameuawa wengi tu na wengine kutoka Africa kusini, na nchi zingine za kiafrika, The Philipines, Cambodia, Canada. Waisrael wanaijua vizuri Gaza, West bank etc. Hawahitaji wapelelezi kaka. Rejea history kama umekwenda shule kidogo ya Elimu dunia. Kama umeenda ya Quraan....pole
 
Kuwa mpole hapa tunaeleweshana.

October 7 na leo ni tarehe ngapi mkuu ???

Kwanini video ije sasa wakati mauwaji niyakitambo??

Kwanini video inadai ni hamas, kwani Israel wao hawawezi kufanya kitendo kama hicho

Naimani na yeye huwa ni muangalia movie! Hivi hili tukio tukisema tulitengeneze short clip kama hii ya jamaa inawezekana??
Issue sio video imetoka lini, issue ni wewe umeiona lini kwani una hakika hii video imetoka jana???

Huhitaji akili ya zaida kujua hawa ni watu gani, kuanzia muonekano mpaka lugha sema tu kama umeamua kukaza fuvu , kitu ambacho siwezi kuzuga kuwa hawa sijui wakina nani ilhali we fika unaona ni HAMAS

hawa mbwa wapigwe mpaka wachakae kudadeki zao
 
Back
Top Bottom