Nimeona kitu kwa mke wangu ambacho nilitamani kujua kama ni kweli

Kabla ya kumpeleka nitajifunza jinsi ya kulitumia, likinipa matokeo ninayotaka naishi nalo.
Halow halow ya Kingwendu😃😃😁🤣, nimecheka sana.

Ujue nini mkuu, sijawahi kusikia kwa mwanamke yeyote akisema namna hiyo.

Comment yako imenifanya kujenga taswira ya haiba yako, nakuona ni mwanamke unayejitosheleza kielimu na kiutashi.

Hauendi kama bendera kufuata upepo, upo vizuri.
 
Unaweza kuwa sahihi sijui!!!!!!
Kabla hujakimbia tatizo unalitatua kwanza la sivyo utakuwa mtu wa kuanza na moja kila siku.
 
Unaweza kuwa sahihi sijui!!!!!!
Kabla hujakimbia tatizo unalitatua kwanza la sivyo utakuwa mtu wa kuanza na moja kila siku.
 
Mwafrika katika viwanja vyake vya nyumbani...!!

Hongera kwa mafanikio hayo makubwa.
 
Na share experience,, muda mwingine unajiachia Haina haja ya kukaza san

Na share experience,, muda mwingine unajiachia Haina haja ya kukaza sana
Nami Najua Una Eksipiriensi Na Naamini Si Haba Ni Yakutosha Kabisa,,,Na Kwenye Swala La Kujiachia Jiachie Mama,,Si Dhambi Na Ni Sunnah Kwa Mtoto Wa Kike,,Na Kwenye Kukaza Ni Kweli Wala Haina Haja Kipenzi.....
Nb:Sema Nini..!!Umenididisha Kinoma...!!​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…