Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Sex Ina Ufala Fulani Hivi, Ukimaliza Kufanya Ndio Unaona Kabisa Sex Ni Jambo La Kawaida Kabisa Si Kama Ilivyokuwa Overrated Na Jamii.

Acha Na Mimi Nipumzike Nitunze Afya Nianze Na Challenge.

Leo Ndio Day 1.

Challenge Accepted.
Hakikisha umeyasema haya ukiwa na kipururu kabisa , usije kuta unasema hivi baada ya kutoka kujikamua😜😜
 
Nimerelapse wadau, inanipa mawazo

Nilikua kwenye streak nzuri tu tokea Jan 26

Nahitaji msaada kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…