Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
View attachment 2896931
Nimeanza Leo na mimi. Mniombee wadau maana majaribu yasinikute.
hii ni app gan namm niwe naleta humu update
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2896931
Nimeanza Leo na mimi. Mniombee wadau maana majaribu yasinikute.
hii ni app gan namm niwe naleta humu update
Tuache Kwanza Tupo Kwenye Challenge Mbususu Tutazirudia Tukimaliza Challenge.
Hakikisha umeyasema haya ukiwa na kipururu kabisa , usije kuta unasema hivi baada ya kutoka kujikamua😜😜Sex Ina Ufala Fulani Hivi, Ukimaliza Kufanya Ndio Unaona Kabisa Sex Ni Jambo La Kawaida Kabisa Si Kama Ilivyokuwa Overrated Na Jamii.
Acha Na Mimi Nipumzike Nitunze Afya Nianze Na Challenge.
Leo Ndio Day 1.
Challenge Accepted.
Hakikisha umeyasema haya ukiwa na kipururu kabisa , usije kuta unasema hivi baada ya kutoka kujikamua[emoji12][emoji12]
Kaza mkuuDay 1 Naenda Kumaliza Challenge Accepted [emoji23]
Keep up the good fight mkuu... pamoja sana.Day 3.
"No Sex... Nalala Mapema...Mbio Km 3...Nakunywa Maji Mengi...." ~T.I.D
Nimerelapse wadau, inanipa mawazo
Nilikua kwenye streak nzuri tu tokea Jan 26
Nahitaji msaada kwa kweli
pambanami niko siku ya 3
Keep up the good fight mkuu... pamoja sana.
Mkuu Anza Mdo Mdo Ni Kufanya MaamuziHali yangu mbaya niombeeni