Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

hii ni app gan namm niwe naleta humu update
超级截屏_20240207_141135.png

Kina ni NO RELAPSE IPO GOOGLE PLAYSTORE
 
Sex Ina Ufala Fulani Hivi, Ukimaliza Kufanya Ndio Unaona Kabisa Sex Ni Jambo La Kawaida Kabisa Si Kama Ilivyokuwa Overrated Na Jamii.

Acha Na Mimi Nipumzike Nitunze Afya Nianze Na Challenge.

Leo Ndio Day 1.

Challenge Accepted.
Hakikisha umeyasema haya ukiwa na kipururu kabisa , usije kuta unasema hivi baada ya kutoka kujikamua😜😜
 
Back
Top Bottom