Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Hii challenge ngumu sana kama una mpenzi just imagine mimi mtu wangu alikuwa mbali sasa kafika wiki iliyopita tangu jmos namkwepa nisimshughulikie kaniona kama nasaliti ivyo nimekamua sana jana, Ninachoshukuru ni mkristo na anaenda kufunga kwaresma nitajitahidi katika siku hizo.

Au wenzangu wenye wapenzi mnafanyaje usimpoteze kipenzi chako kwa maneno yatayomfanya asione unamkwepa??
 
Kama una mpenzi sasa unataka nofap ya nini? Ww kula mbususu hiyo, ila tu usipige nyeto na kuangalia x
 
Bro ume potea jukwaa la series.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…