Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Npo hapo lakini balaa lake sio mchezo usiku nakesha tu yaani hakuna kulala najigeuza kama nyoka daah asee hii kitu inabidi kupambana kwelikweli, hasira nyingi

Bado naendelea
 
Huu uzi sijawahi hata usoma nilikuwa nadhani ni zile nyuzi za ngono za kina binti ya....

Kumbe mzuri hivi, kuna na app naanza sasa bahati mbaya kesho huyu amenambia anakuja ila akiondoka tu napakua app najiunga na treni hili. Nisukume siku.
Unajua mkuu, kupitia nyuzi zako na michango yako hapa jf,basi Mimi nilidhani wewe ni mtu mzima Sana asee!!

Kuna Uzi siukumbuki niliona umecomment "nikifikisha miaka 40..." Nikasema huyu mwamba kumbe janja Bado Yuko 30+ ?πŸ˜…

Anyways kwenye michango yako kwenye maswala ya geopolitics Huwa natulia na nasoma na najifunza. Uko vizuri nikupe maua yako.
 
Aah mkuu watu huwa hawajui kukadiria umri wangu humu na huwa sitaji dharau zinakuwa nyingi πŸ˜€
 
Npo hapo lakini balaa lake sio mchezo usiku nakesha tu yaani hakuna kulala najigeuza kama nyoka daah asee hii kitu inabidi kupambana kwelikweli, hasira nyingi

Bado naendeleaView attachment 3408149
Dah! Wewe Jamaa utaweza kweli kufikisha hizi siku? Kama unasumbuka mapema hivyo



Anyway mwanzo ni pagumu sana ila Ukisha kaa mwezi unazoea kabsa.. lazima ujithibiti sana..

Hapo nigonge 200 na ni kijana tu 20s mda wote damu inachemka tu, lakini nimejitibiti mpaka 200 days
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…